The aim is to assess whether the Parenting Education Programme has been implemented effectively and whether it has brought about positive change in the knowledge and behaviour of parents and caregivers in how to protect their children from violence. UNICEF works in some of the world’s toughest places, to reach the world’s most disadvantaged in […]
The post Individual National consultancy at UNICEF...
Wednesday, 30 September 2020
HESLB Yatoa Siku Tano (05) Kwa Wahitimu Mafunzo Jkt Kuomba Mikopo

Na Mwandishi Wetu, HESLB
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa siku 5 kuanzia Oktoba mosi hadi 5 mwaka huu ili kuwawezesha wanafunzi waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) hivi karibuni kuingia katika mfumo wa kuomba mkopo kwa njia ya mtandao na kukamilisha...
Barabara za juu kutoka Mwenge kwenda Buguruni katika makutano za barabara ya morogoro,Nelson Mandela na Sam Nujoma zaanza kutumika rasmi leo

Barabara za juu kutoka Mwenge kwenda Buguruni katika makutano za barabara ya morogoro,Nelson Mandela na Sam Nujoma zaanza kutumika rasmi leo( Picha- MAELEZO)
...
PICHA: Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dr Magufuli ahutubia wananchi wa Mbeya mjini

PICHA: Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dr Magufuli ahutubia wananchi wa Mbeya mjini
...
Vijana Kagera Watakiwa Kutosubiri Ajira kutoka Serikalini.

Na Avitus Benedicto Kyaruzi,Kagera.
Vijana katika halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera wameaswa kutosubiri ajira kutoka serikalini bali wajikite katika kujiajili haswa katika kilimo,uvuvi na ufugaji ili kuweza kujikwamua na umasikini.
Hayo yamesemwa na bwana Agape Ishabakaki wakati...
Serikali Kusimamisha Mishahara Ya Maafisa Utumishi Watakaosababisha Watumishi Kutolipwa Mishahara

Na. James Mwanamyoto-Dodoma
Maafisa Utumishi watakaozembea na kusababisha Watumishi wa Umma nchini kutolipwa mishahara yao kwa wakati, watasimamishiwa mishahara na Serikali mpaka watakapohakikisha watumishi hao wamelipwa mishahara yao.
Hayo yamesemwa jana na Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,...
Sumaye aishukia CHADEMA, asema hawawezi kuongoza nchi

Na John Walter-Hydom, Mbulu
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Frederick Sumaye amesema vyama vya Upinzani nchini haviwezi kuongoza nchi kwa sababu hawana sera.
Ameyasema hayo Leo septemba 30,2020 akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mbulu Vijijini katika mkutano wa Mgombea...
Wahamiaji Haramu 32 Wakamatwa Wilayani Pangani

ASKARI wa Hifadhi ya Taifa ya Saadani kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wilayani Pangani wamefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 32 waliokutwa wakiwa karibu na hifadhi hiyo wakisafirishwa kupelekwa nchi za kusini mwa Afrika.
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kukamatwa kwa wahamiaji...
Tundu Lissu adai bado hajapokea wito wa malalamiko

Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kuwa hadi sasa bado hajapokea wito wala malalamiko yoyote kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kama taarifa ya tume hiyo ilivyoeleza hapo jana.
Lissu ametoa kauli hiyo hii leo Septemba 30, 2020, wakati akizungumza...
Armenia yakataa upatanishi wa Urusi katika mzozo na Azerbaijan Huku Mapigano Yakizidi Kupamba Moto

Armenia Jumatano imekataa pendekezo la Urusi la kutaka kuwa mpatanishi katika mazungumzo ya amani na hasimu wake mkubwa Azerbaijan, huku mapigano yakiwa yanaendelea kupamba moto kwa siku ya nne katika jimbo linalotaka kujitenga la Nagorno Karabakh.
Waziri mkuu wa Armenia Nikol Pashinyan...
Benki ya Maendeleo ya Afrika yaipa Tanzania bilioni 15

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imetoa zaidi ya shilingi bilioni 15 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miradi mbalimbali ya miundombinu ya kutoa huduma kwa jamii katika Wilaya ya Buhigwe, Kasulu Mjini, Kasulu Vijijini na Kibondo mkoani Kigoma.
Hayo yamesemwa na na Meneja wa TANROADS Mkoa wa...
Hospitali Ya Wilaya Karagwe Yakamilika Kwa 98%

SERIKALI ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imetumia sh. bilioni 1.8 kujenga majengo mbalimbali ya hospitali ya wilaya ya Karagwe ambayo yamekamilika kwa asilimia 98.
Hayo yamesemwa jana (Jumanne, Septemba 29, 2020) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kassim...
Vijiji 73 Kati Ya 77 Misenyi Vyapatiwa Umeme

VIJIJI 77 kati ya vijiji 73 vya wilaya ya Missenyi mkoani Kagera vimepelekewa huduma ya umeme na vijiji 4 bado havina umeme.
Hayo yamesemwa jana (Jumanne, Septemba 29, 2020) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa wakati akizungumza...
GGML, RAFIKI SURGICAL MISSION WATOA GARI LA WAGONJWA KWA ZAHANATI BUKOLI – GEITA
Makamu Rais wa GGML, Simon Shayo (kulia) akimkabidhi kadi ya gari Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Geita, Ali Kidakwa (kushoto.)
Makamu Rais wa GGML, Simon Shayo (kulia) akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Kituo cha Afya Bukoli- Geita katika hafla ya kukabidhi gari la kubeba...
Wellness & Customer Service Manager at CVPeople Tanzania
CVPeople Tanzania | Full time Wellness & Customer Service Manager Dar es Salaam , Tanzania Job Description Our client is looking for Wellness & Customer Service Manager, the ideal candidate will supervise day-to-day operations in the customer service medical department Responsibilities: Respond to customer service issues in a timely manner. Create effective customer service procedures, […]
The...
Systems & Database Adminstrator at CVPeople Tanzania
CVPeople Tanzania Systems & Database Adminstrator Dar es Salaam , Tanzania Job Description The ideal candidate will be responsible in structuring, monitoring and adminstration of the network environment (LAN, WAN) including any new installations, upgrades, .Maintenance of Cisco, Alcatel and 3COM equipment utilized on the LAN and WAN networks. Configuration, monitoring and management of servers...
Head of Finance at CVPeople Tanzania
CVPeople Tanzania | Full time Head of Finance Dar es Salaam , Tanzania Job Description Monitor expenditure and revenue in the organisation to ensure these are aligned with the Business Unit/ company’s operational plan. Partake in Financial Planning process [budgeting, modelling, forecasting and reporting] Oversee and ensure the efficient management of Accounts Payable, Accounts Receivable,...
Security Technician at CVPeople Tanzania
CVPeople Tanzania Security Technician Dar es salaam , Tanzania Job Description Install, maintain, or repair security systems, alarm devices, and related equipment, following blueprints of electrical layouts and building plans Mount and fasten control panels, door and window contacts, sensors, and video cameras, and attach electrical and telephone wiring in order to connect components Test […]
The...
Deputy Principal (Academic) at SJUIT
St. JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA VACANCY ANNOUNCEMENT We have been retained by our client, who is a leading college of HEALTH AND ALLIED SCIENCES in Dar-es- Salaam. We invite applications from suitable qualified and experienced Tanzanians to apply for the following vacant positions available in Dares Salaam. The college offers various NACTE approved Diploma […]
The post Deputy Principal...
Principal at SJUIT
St. JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA VACANCY ANNOUNCEMENT We have been retained by our client, who is a leading college of HEALTH AND ALLIED SCIENCES in Dar-es- Salaam. We invite applications from suitable qualified and experienced Tanzanians to apply for the following vacant positions available in Dares Salaam. The college offers various NACTE approved Diploma Programmes. […]
The post Principal...
Sr. Tutors and Tutors at SJUIT
St. JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA VACANCY ANNOUNCEMENT We have been retained by our client, who is a leading college of HEALTH AND ALLIED SCIENCES in Dar-es- Salaam. We invite applications from suitable qualified and experienced Tanzanians to apply for the following vacant positions available in Dares Salaam. The college offers various NACTE approved Diploma Programmes. […]
The post Sr. Tutors...
Research & Innovation Hub Coordinator at International Rescue Committee
Requisition ID: req10496 Job Title: Research & Innovation Hub Coordinator Sector: Research & Development Employment Category: Fixed Term Employment Type: Full-Time Open to Expatriates: No Location: Dar es Salaam, Tanzania Job Description Job Overview/Summary: IRC’s Airbel Impact Lab / Research and Innovation (R&I) Unit brings together a multi-disciplinary team...
Tuesday, 29 September 2020
Tanzia : MWANAMUZIKI SAID MABELA WA MSONDO NGOMA AFARIKI DUNIA

Gwiji wa ukung’utaji gitaa la solo hapa nchini na kiongozi wa Bendi ya Msondo Ngoma, Said Mabela amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Mabela ambaye ameitumikia Msondo Ngoma tangu mwaka 1973 bila kuhama hata mara moja, amefariki baada ya kuugua kwa zaidi ya miezi miwili.
Mtoto wa marehemu,...
TBS : UPATIKANAJI WA MAFUTA NCHINI NI TANI LAKI 2 KWA MWAKA

Takwimu zinaonesha mahitaji ya mafuta ya kula nchini ni tani laki nne kwa mwaka wakati uzalishaji unaofanyika ni tani laki mbili kwa sasa hivyo Serikali imeamua kutoa mafunzo kwa wazalishaji wa mafuta ya kula ili kuongeza wingi wa mafuta hayo kwa mahitaji ya nchi.
Hayo yamesemwa leo na Meneja wa...