Tuesday 6 January 2015

TAKWIMU:VYUO VINAVYOONGOZA KWA MATUMIZI YA SIMU ZA SMARTPHONE ,WAKATI WATUMIAJI WAKE WAKITOKA KATIKA FAMILIA DUNI-KIUCHUMI

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
slide2
Habari yenu wadau pendwa wa blog hii ya MASWAYETU ,leo tunawaletea takwimu mpya za matumizi ya simu aina ya smartphone kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ukilinganisha na maisha ya nyumbani kwao jinsi yalivyo.
Kutokana na simu hizi kuwa gharama huku wanafunzi wa chuo wakilalamika kuongezewa pesa ya matumizi na serikali yao,ndipo tulipoamua kufanya takwimu hizi na kugundua kuwa kati ya wanafunzi 7 wenye smartphone 5 kati yao maisha ya nyumbani kwao ni duni.
Vyuo vifuatavyo ndivyo hadi mda huu vinaongoza kwa Matumizi ya smartphone Tanzania.

1.DODOMA UNIVESRITY(UDOM) - 68%
2.UNIVESRITY OF DAR ES SALAAM(UDSM)-64%
3.SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE(SUA)-61.29%
4.INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT(IFM)-60%
5.ST.AGUSTINE UNIVERSITY(SAUT-MWANZA)-56%
6.COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION(CBE)-55%
7.MUHIMBILI UNIVERSITY(MUHAS)-53%
8.TUMAINI UNIVERSITY-51%
9.JODARN UNIVESITY-51%

10.KAMPALA UNIVERSITY(KIU)
11.SAUT-SONGEA
12.ST.JOSEPH UNIVERSITY-DAR ES SALAAM
13.MOCCU
14.MUSLIM UNIVERSITY
15.ST.JOSEPH-SONGEA
16.SAUT-TABORA
17.MWENGE UNIVERSITY
18.DIT
19.MBEYA UNIVERSITY
20.BUGANDO UNIVERSITY
21.IMTU
22.HERBERT KAIRUKI UNIVERSITY
23.ST.JOSEPH-ARUSHA
24.ARUSHA UNIVERSITY
25.MAKUMIRA BIBLE KNOWLEDGE

Hata hivyo vijana hao wameaswa kuangalia maisha yao ya nyumbani kuliko kuiga maisha ya wanafunzi wenzao waliyoyakuta chuo,pia watakiwa kuzingatia masomo yao.

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger