Friday 30 January 2015

AJIRA MPYA: WIZARA YA AFYA 2015

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
(Ndugu wasomaji wetu wa blog hii ya MASWAYETU tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi kwenye blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote,tutaweka tangazo lako bure kwa siku tano baada ya hapo tunaweka mkataba kama utaridhika,Tafadhali wasiliana nasi kwa kupiga namba 0768260834 au 0653791475)
                                  

Habari zenu ,kuna majina ambayo yameongezwa katika ajira za wizara ya afya tofauti na zile zilizotoka mwanzo,kama kawaida yetu maswayetu blog tupo vizuri kukuhabarisha ewe mpenzi msomaji wetu .
Pia tunaendelea kutoka huduma ya kuangalizia watu kama umeajiriwa au la kwa haya majina yalioongezewa katika ajira hizi(OFA TUTAKUANGALIZIA JINA LAKO NA RAFIKI YAKO KWA GHARAMA ILE ILE),
 Fanya yafuatayo;
1.Tuma jina lako kamili,fani uliyosomea mfano nurse grade II 
2.kwenda namba 0768260834
3.Huduma hii utatozwa tshs.1000 tu,
4.Pesa zote zitumwe kwenda namba 0768260834 (mpesa) au 0653791475-tigo pesa na aitel money
5.SMS zote lazima zijibiwe,hutajibiwa hadi tupokee pesa yako,tuma kwanza pesa then jina.

ORODHA YA MAJINA YA WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI KWA KADA YA AFYA 2014/2015

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger