Saturday 24 July 2021
WAZIRI ALLY AFARIKI DUNIA, MAZISHI KUFANYIKA KESHO KWAO PONGWE
Senior Digital Health Advisors at Pathfinder International Tanzania
Senior Digital Health Advisor Job Category: Monitoring, Evaluation & Learning Requisition Number: SENIO01151 Posting Details Posted: July 21, 2021 Full-Time Locations Watertown, MA, USA Dar es Salaam, Tanzania Dar es Salaam, TZA Washington, DC, USA DHA , Karachi, PAK Cairo, Egypt Cairo, EGY Nairobi, Kenya Nairobi, KEN Maputo, Mozambique Maputo, MOZ Niamey, NER Kampala, […]
This post Senior Digital Health Advisors at Pathfinder International Tanzania has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Executive Director of Digital Health at Pathfinder International Tanzania
Executive Director of Digital Health Job Category: Executive Leadership Requisition Number: GLOBA01153 Posting Details Posted: July 21, 2021 Full-Time Locations Washington, DC, USA Watertown, MA, USA Dar es Salaam, Tanzania Dar es Salaam, TZA Dhaka, Bangladesh Dhaka, BGD Ouagadougou, BFA Abidjan, Cote d’Ivoire Abidjan, CIV Kinshasa, Democratic Republic of the Congo Kinshasa, COD Cairo, […]
This post Executive Director of Digital Health at Pathfinder International Tanzania has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Various Posts at Zuri Zanzibar Resort
Job Opportunities at Zuri Zanzibar Resort. Zanzibar is an archipelago in the Indian Ocean, lying on the eastern coast of Tanzania, which consists of Unguja and Pemba, the two largest islands, and about 50 smaller isles and sand banks. With just a few degrees dividing Zanzibar from the Equator, the tropical climate offers warm sunshine […]
This post Various Posts at Zuri Zanzibar Resort has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Graduate in Training (GIT) Program at Coca-Cola Kwanza
Graduate in Training (GIT) Program Coca-Cola Kwanza is looking to place outstanding recent graduates into a one year Graduate in Training (GIT) program across exciting role opportunities including finance, logistics, manufacturing, and sales intelligence functions. This program will help develop world class leaders through functional and cross functional rotation, challenging assignments, business projects, integrated […]
This post Graduate in Training (GIT) Program at Coca-Cola Kwanza has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Operations Manager at Frankfurt Zoological Society (FZS)
Operations Manager FZS Nyerere – Selous Conservation Project (NNP) (2 year post) Job Advertisement FZS Vision in Tanzania: Frankfurt Zoological Society (FZS) works in Tanzania to support its government partners to conserve wildlife and ecosystems focusing on protected areas and outstanding wild places. We work with and for people to secure biodiversity in key […]
This post Operations Manager at Frankfurt Zoological Society (FZS) has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Friday 23 July 2021
ALIYEIBA GARI NA KUTAMBA NALO MTAANI AGONGA NA KUUA WANAWAKE WANNE
TANGA UWASA YAKUTANA NA WADAU KUPATA MAONI YA MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
Mkuu wa Kitengo cha Uhasibu Tanga Uwasa CPA Hussein Ubbena akizungumza wakati wa mkutano huo |
Afisa Uhusiano wa Tanga Uwasa Devotha Mayala akizungumza wakati wa kikao hicho |
MKUTANO wa Wadau wa Tanga Uwasa kwa ajili ya kupata maoni kuhusu mkataba wa huduma kwa mteja ambao umefanyiwa marejeo mwaka 2021 umefanyika leo Jijini Tanga kwa kuwashirikisha Madiwani wa viti Maalumu,Maafisa Tarafa wa Jiji la Tanga na Maafisa Watendaji wa Kata.
Akizungumza wakati akifungua mkutano huo,Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Geofrey Hilly alisema wameamua kukutana na viongozi hao kwa sababu wana watu wengi ambao wanawawakilisha na maoni yao ni kwa ajili ya wananchi wote na sio yao tu.
Alisema kwa sababu wao ndio viongozi waliopo kwenye maeneo hayo hivyo wajitahidi kuhakikisha ushiriki wao kwenye mkutano huo unakuwa na tija kubwa na sio bora mambo yaende hivyo hakikisheni mnatumia vizuri uwepo wenu.
“Tunazungumzia mkataba wa huduma kwa mteja amesema mwenyekiti hapa ni utawala bora lazima mnapokuwa mnapeana huduma muwe na kitu ambacho kinawaunganisha na kitu kinatuunganisha ni huu mkataba haki na wajibu wa pande zote mbili mtoa huduma na mpokeaji wa huduma “Alisema
Alisema wawasilishaji wa mada watawapitisha ili iwe rahisi kwenu kueleza muundo wa mkataba upoje?haki na wajibu upoje,zawadi na adhabu zipoje na mwisho wa siku ukikiuka mkataba tunakufanyaje hayo mambo yote inabidi tuyajadili kwa pamoja leo hapa“Alisema
Aidha alisema huo mkataba ni kwa wale watu ambao wana huduma na wale ambao bado hawana maana mwisho wa siku wataomba kwa ajili ya kuunganishiwa maji kwa sababu kuna vitu ambavyo anapaswa kufanya yeye na mtoa huduma na ukishafahamu hivyo itakuwa rahisi.
“Hiki ni kikao cha wadau tunakaa kwa ajili ya kupitia kwa sababu ni zoezi shirikishi na watakapomaliza hapo wataenda kukutana na wadau wengine halafu baada ya maoni yao yakishafanyiwa kazi yatapelekwa kwa mdhibiti Ewura kwa ajili ya kupitishwa rasmi na baadae watatengeneza vitabu watavigawa kwa wadau wao kwenye ofisi mbalimbali ikiwemo za Kata na watatoa nakala za kutosha ili kila mmoja aweze kupata.
Awali akizungumza katika kikao hicho Mwenyekiti wa Kikao hicho ambaye pia ni Diwani wa Viti Maalumu Tarafa ya Chumbageni (CCM) Jijini Tanga Saumu Bendera alisema madhubuti ya mkutano huo ni kupitia maboresho ya mkataba kwa wateja .
Alisema kama wanavyojua maboresho mkataba ni kwamba mteja kuna haki na wajibu na pia vilevile mtoa huduma hivyo ni jambo jema ambalo linawapa wigo mpaka wa kutambua mambo mbalimbali.
Alisema kama wanavyojua Serikali imekuwa ikifanya maboresho ya kila siku na huo maana yake ni utawala bora kwa hiyo wamefika kama wadau kuweza kusikiliza maboresho hayo na wao wajue haki zao na wajibu wao na pia mtoa huduma na baadae watapitia na kuchangia.
Naye kwa upande wake,Afisa Uhusiano wa Tanga Uwasa Devotha Mayala akizungumza katika mkutano huo wakati akiwasilisha mada ya Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa Tanga Uwasa.
Alisema kwamba mkataba wa huduma kwa mteja unatakiwa kufanyiwa maboresho kila baada ya miaka mitatu na maboresho hayo yanapofanyika lazima wadau wahusishwe kuhusiana na nini ambacho kinajiri.
Alisema watawapitisha kwenye mkataba wote ili wapate kufahamu na kuona huo mkataba umehusisha nini na nini na maeneo gani ambayo yamefanyiwa maboresho.
Awali akizungumza wakati akiwasilisha mada kuhusu Haki na Wajibu wa Mteja Tanga Uwasa Mkuu wa Kitengo cha Uhasibu Tanga Uwasa CPA Hussein Ubbena alisema lengo la mkutano huo ni matakwa ya sheria kwamba serikali inataka Taasisi zake zote zinazotoa huduma ziwe zinaingia mikataba ya huduma bora na wateja wake hivyo leo walikuwa wanatimiza takwa hilo la kisheria.
Alisema kwamba Mamlaka iliandaa mkataba wao wa kutoa huduma na leo wamefanya wasilisho kwa wadau ambao ni watendaji wa serikali za mitaa na madiwani viti waliwasilisha mkataba ambao waliitengeza kama drafti ili waweze kupata maoni yao jinsi ya kuuboresha na hatimaye uweze kutumika.
Picha : MATUKIO KUTOKA TUME YA UTUMISHI WA UMMA –JIJINI DAR ES SALAAM LEO JULAI 23 2021
MBUNGE WA CHALINZE ATEMBELEA SHULE YA KIWANGWA ILIYOUNGUA MOTO
Mfanyabiashara Tabora Atiwa Mbaroni Kwa Kukutwa Akiuza Vifaa Tiba na Dawa Ambazo ni Mali ya Serikali
Mamlaka ya dawa na vifaa tiba kanda ya magharibi imefanikiwa kumkamata mfanyabiashara Zakayo Bagomwa aneyemiliki Duka la Dawa muhumu ilinaloitwa Maliza na Yesu akiuuza dawa za kifua kikuu TB ,kadi za kliniki za Kina mama Wajawazito, kutoa huduma za matibabu ndani ya duka , vifaa tiba mali ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kenya vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 4,869,900.
Akizugumza na waandishi wa habari leo Kaimu meneja wa Mamlaka ya hiyo kanda ya magharibi Christopher Migoha alisema kwamba tukio hilo litokea julai 20 mwaka huu mara baada ukaguzi maalumu wa duka la dawa katika Kijiji cha Kanindo, Kata ya Kanindo, Tarafa ya Ulyankulu, Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora.
Alisema kwamba katika duka hilo walikuta Dawa za Serikali ya Tanzania zikiwa zimetunzwa na kuhifadhiwa kwa ajili ya kuuzwa kinyume cha Kifungu cha 312(1) cha Kanuni ya Adhabu Sura 16.
Alisema kuwa walikuta Vitendanishi vya kupima UKIMWI pamoja na Vitendanishi vya kupima Malaria ambavyo ni Mali ya Serikali ya Tanzania vikiwa vimehifadhiwa na kutunzwa kwa ajili ya kuuzwa kinyume cha Sheria.
Aidha kaimu meneja huyo alisema kwamba kwenye duka hilo kulikuwa na Dawa zisizosajiliwa kutumika nchini zikiwa zimehifadhiwa na kuuzwa kinyume cha Sheria
Migoha aliendelea kusema kwamba ndani duka walikuta dawa mali ya Serikali ya Kenya zikiwa zimetunzwa na kuhifadhiwa kwa ajili ya kuuzwa .
Alisema kwamba ndani ya duka hilo walikuta dawa zisizoruhusiwa kuuzwa katika maduka ya dawa muhimu na kukuta dawa zikiwa zimetunzwa na kuhifadhiwa kwa ajili ya kuuzwa kinyume cha kanuni ya 63 ya Makundi ya Dawa ya Mwaka 2015.
Hata hivyo meneja huyo wa kanda ya magharibu alisema kwamba walikuta dawa zilizokwisha muda wake wa matumizi zikiwa zimetunzwa na kuhifadhiwa kwa ajili ya kuuzwa kinyume cha Kifungu cha 75(1) cha Sheria ya Dawa na Vifaa Tiba Sura 219.
Alisema kwamba mmiliki hyo hakuweza kuwasilisha risiti za manunuzi wala mauzo ya dawa zote alizokutwa nazo kinyume cha Kanuni za Uendeshaji wa Biashara ya Dawa za Binadamu.
Migoha aliendelea kusema kwamba kulikutwa Vifaa Tiba ambavyo ni Seti ya kufanyia tohara vikiwa vimetunzwa kinyume cha Sheria pamoja na dawa za wangojwa wa kifuu kikuu ambazo hazikustahili kuwepo ndani ya duka hilo wala kuunzwa kwenye maduka ya dawa muhimu.
Aidha aliwataka wadau wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA) na Wafanyabiashara wote wa bidhaa za Dawa, Vifaa tiba na Vitendanishi kufanya biashara zao kwa kuzingatia Sheria ya Dawa na Vifaa tiba Sura 219 pamoja na Sheria zingine .
Wakulima 99,468 Bariadi kunufaika na mfumo mpya wa kilimo cha pamba
Bariadi. Bodi ya pamba Tanzania (TCB) imewafikia wakulima 99,468 waliopo wilaya ya Bariadi katika kampeni ya kitaifa ya kuongeza tija ya kilimo cha pamba nchini .
Kampeni hiyo iliyozinduliwa wilayani hapo juma lililopita ikilenga kuwawezesha wakulima kupata uelewa wa vipimo sahihi na vyenye tija katika maandalizi ya kilimo cha pamba pamoja na upandaji wa mbegu.
Akizungumza na watendaji wa vijiji,kata, maafisa kilimo na ugani pamoja na wakuu wa idara katika wilaya ya Bariadi baada ya kukamilisha mafunzo barozi wa kilimo cha pamba nchini Agrey Mwanri amesisitiza kuendelea kutoa mafunzo ya mfumo bora wa kilimo cha pamba kwa wakati ili msimu wa kilimo unapo anza kila mkulima awe na uelewa wa kutosha.
Mwanri amesema kuwa ili kila mkulima tumie mfumo wa kisasa wa sentimita 60 kwa 30 ni lazima viongozi wote katika wilaya washiriki kikamilifu katika kutoa elimu kwa kuonyesha tija iliyopo iwapo mkulima atatumia mfumo huu wa vipimo pamoja na manufaa yake katika uzalishaji.
"Shirikiana na mkulima tangu hatua za awali muelimishe namna ya kuweka mbolea msimamie hadi mavuno na yeye akiwa anaona shamba lako la lake yote yapo sawa sio unaenda kumpangia masharti tayari anakaribia mavuno, tuanze nao tangu mwanzo".
Ameongeza kuwa lengo ni kuhakikisha mkulima anajikwamua kiuchumi na kuona thamani ya kilimo, hivyo kwa watendaji watakaokuwa wazembe na kufanya kinyume itakuwa ni ukaidi wa sera ya kitaifa katika kilimo.
Kwa upande wake Renatus Luneja Mkaguzi wa kutoka bodi ya Pamba alieleza kuwa pamoja na kuhamasisha matumizi ya samadi na mbolea za viwandani pia viongozi wananwajibu wa kuhakikisha wakulima wote wanakuwa katika vyama vya ushirika.
"Ni rahisi kuwafikia wakulima wanapokuwa Katika vyama vya ushirika hamasisheni wajiunge katika ushirika huku mkiendelea kuwapa elimu ili tija ya kilimo ionekane".
Kampeni ya kuongeza tija ya kilimo cha pamba nchini imelenga kuwafikia wakulima zaidi ya laki tano katika mkoa wa Simiyu ambapo hadi sasa zaidi ya wakulima laki moja wa wilaya ya Busega na Bariadi tayari wamefikiwa.