Tuesday, 30 May 2023
WAZIRI GWAJIMA AMUAGA ALIYEKUWA MUWAKILISHI MKAZI WA UNICEF BI.SHALINI BAHUGUNA JIJINI DODOMA
TUMIENI NJIA SAHIHI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYAKAZI- PROF. MSHANDETE
WAZIRI NDALICHAKO ASHIRIKI KIKAO CHA MAWAZIRI KAZI NA AJIRA SADC
KLABU YA KWANZA YA MKONGE YAZINDULIWA
Monday, 29 May 2023
WADAU WA USAFIRI WA MAJINI KIBITI WAPATIWA ELIMU YA USALAMA, ULINZI NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
Na Mwandishi Wetu,Pwani
SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetoa elimu ya Usafiri Salama Majini kwa wadau mbalimbali wa wilaya ya Kibiti katika mialo ya Nyamisati Mkoani Pwani Mei 25 mwaka huu
Elimu hiyo iliyotolewa katika mialo iliyozunguka Nyamasati iliwajumuisha wavuvi, manahodha wa vyombo, wamiliki wa vyombo, wafanyabiashara na watumiaji wa vyombo vidogo vya usafiri majini.
Katika utaoji wa elimu hiyo watoa mada mbalimbali kutoka TASAC, TPA na BMU walitoa elimu ya jinsi ya kutumia vifaa vya uokoaji pindi inapotokea dharura au ajali majini; utumiaji vifaa vya uokoaji pamoja na matumizi ya kizimia moto (fire extinguisher) na umuhimu wa kuwa na kifaa hicho kwenye vyombo vidogo vya majini.
TASAC imeendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya usafiri majini kutoa elimu katika maeneo mbalimbali kwa lengo la kuwahamasisha wamiliki wa vyombo kuweka vifaa vya kujiokolea lakini pia manahodha na wavuvi kuvaa jaketi okozi wakati wote wawapo safarini au kuendesha shughuli za uvuvi.
WANANCHI WAHIMIZWA KUNUNUA BIDHAA ZILIZOTHIBITISHWA UBORA NA TBS
MCHENGERWA, WANANCHI WA VIJIJI VYENYE MIGOGORO YA MIPAKA HIFADHI YA SERENGETI WAYAJENGA, WAIPONGEZA SERIKALI, WATAKA USHIRIKISHWAJI.
AMUUA BABA YAKE KISHA KUMPIKA KAMA MBOGA
DAWA SAHIHI YA SHINIKIZO LA DAMU NA SUKARI
Isingekuwa shida sisi kama familia tusingemjua daktari bingwa BAKONGWA aliyemtibia baba yetu ugonjwa wa sukari ya kupanda na shinikizo la damu ambalo kwa hakika hospitali walituhakikishia kuwa baba yetu asingeweza kuishi zaidi ya miezi kumi kisha kufariki.
Familia yetu yenye kulelewa na baba aliyekuwa akifanya kazi serikalini haikuzijua shida wala njaa kama wengi walivyopitia changamoto.
Hali hii ilibadilika ghafla tulipo pata taarifa za baba kuanguka na kushindwa kufanya majukumu yake ya kila siku huko ofisini kwake Jijini Dar es salaam.Watoaji wa huduma za kwanza hapo kazini walimpeleka hospitali mara mmoja na kumpa huduma kisha vipimo vilifuata vilivyoonesha kuwa baba anashida ya sukari na shinikizo la damu la muda mrefu.
Haya yote baba aliyajua lakini aliyafanya siri akihofia kuwa tungeyajua mapema nguzo ya familia ingedondoka, alichokihofia sasa kilikuwa kimefika ugonjwa ule ulimsumbua baba kwa muda wa miaka nane bila ya kumfahamisha yeyote pale nyumbani.
Madaktari bingwa wa muhimbili walisisitiza kuwa hakuna cha kufanya zadi ya mionzi ya chemo na vidonge baadhi vya kumpa nguvu akingoja miezi hiyo kumi na kufariki.
Tulihangaika sana kubadili madaktari kila kona kwa muda wa miezi saba ikiwa ni miezi mitatu tu imebaki baba atutoke kama walivyosema madaktari lakini bado hatukupata msaada.
Mtumishi mmoja wa serikalini Bugando aliiona hofu ya familia yetu kumpoteza baba na kutuambia kuwa tujaribu njia nyingine kwa kuwa hizi za kiofisi tayari zimekuwa na kikomo cha muda.
Alitupatia nambari za whatsapp +243990627777 na tovuti zake pia https://bakongwadoctors.com na kusisitiza tumtafute.Tulifanya hilo mapema sana kwa kuhofia kumpoteza baba na mara tulipompata daktari akatuanzishia dawa iliyomtaka baba atumie siku mbili mfululizo.
Mara baada ya kutumia dawa jambo la ajabu sana tulishangaa kuona baba ameanza kutembea na kurejea kwenye shughuli zake za kila siku.Tunashukuru sana daktari kwa msaada wa kumponya baba yetu mpendwa.
ALIYEMPIGA NA KUMNG'OA JINO, KUMTOBOA JICHO MKEWE AKAMATWA ARUSHA
MAJERUHI 18 WAMERUHUSIWA HOSPITALI YA TEMEKE KUFUATIA AJALI UWANJA WA MKAPA
Sunday, 28 May 2023
YANGA SC YACHAPWA 2-1NA USM ALGER FAINALI YA KWANZA CAFCC
PROF. NDALICHAKO : BILIONI 3 ZIMETOLEWA KUJENGA VYUO VITATU VYA WATU WENYE ULEMAVU
SEHEMU ZANGU ZA SIRI ZIMEVIMBA BAADA YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA
Mume wake ni Afisa wa Polisi na mwanamke huyo ni mfanyakazi katika bandari ya Mombasa, basi tukaanza urafiki kama majirani, wote walinichukulia kama ndugu yao na mara kadhaa nilienda nyumbani kwao kwa ajili ya maongezi.
Nilizoeana na mke wa bwana yule hadi ikafikia hatua ambayo nilianza kupika chakula kila nilipoenda kwenye nyumba yao, haikuchukua muda mimi na mwanamke yule tukaanza kutamaniana kimapenzi.
Tulibadilishana namba za simu na hapo tukaanza kutumiana jumbe za kimapenzi kila mara kwani mapenzi yalikua yamenoga baina yetu, huku mume wake akiwa hajui lolote.
Alhamisi moja bwana mwenye nyumba alitumwa katika maeneo ya Msambweni kwa ajili usalama, ilikuwa ni fursa nzuri kwangu kwenda katika nyumba yake ile kupiga stori na mke wake kama ilivyokua kawaida yangu. Nilipofika ndani ya nyumba ile, nilimkuta mke yule amevalia nguo za kulalia, hapo mwili wangu ukawaka sana hisia.
Tulizungumza kwa muda wa dakika 20 hivi kisha akanza kunipapasa kwa mikono yake iliyolainika, nilifahamu kuwa maishani fursa kama hiyo huwa inakuja mara moja tu, hivyo nikaamua kumega tunda la mwenzangu kwa raha zangu mwenyewe.
Jumamosi asubuhi nilishtushwa usingizini na maumivu niliyokuwa nahisi katika sehemu zangu za siri, nilisema labda maumivu yale yanatokana na nguvu nyingi ambazo nilitumia katika tendo lile na jirani yangu.
Lakini siku zilivyozidi kwenda maumivu nayo yalizidi kuwa makali, hapo ndipo nilipogundua kuwa mume wake alikua ametumia dawa ya kumkinga mke wake asiweze kufanya mapenzi na mwanaume mwingine yoyote yule nje ya ndoa yao.
Nilishindwa hata kutembea kwani sehemu zangu za siri zilikuwa zimevimba sana huku maumivu yakiwa yakutisha, niliamua kuwasiliana na African Doctors kuomba msaada, akaniambia kuwa mume wa mwanamke yule alikuwa amemkinga mke wake na yeye ndiye aliyemuokea kinga hiyo!.
Alinishauri niende kwa bwana yule ambaye anaitwa Rashid ili nimuombe msamaha kwa yale niliyafanya kwani yeye African Doctors kama mtaalam ndiye alikuwa mshauri wake wa jambo hilo.
Nilikumbwa na msongo wa mawazo na hapo nikachanganyikiwa nikifikiria naanzaje kwenda kuomba msamaha, wakati ule sikuwa hata na uwezo wa kutembea kwani sehemu zangu za siri zilikua zimevimba sana.
Nilipiga moyo konde na kwenda kuomba msamaha kwa bwana Rashid, nashukuru alinisamehe ila aliniamuru nimpigie African Doctors kwanza, nilizungumza naye na kunitoza Ksh30,000 kama faini ya kosa lile na siku iliyofuata mambo yakarudi kama ilivyokuwa kawaida.
African Doctors anatibu kaswende, kifua kikuu, pia anasuluhisha migogoro ya ndoa, kuinua biashara, kukusaidia kupata kazi, kupanda cheo kazini, kuongezwa mshahara na mengine mengi.
Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com