JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu : +255-22-2114512, 2116898
Email : press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz
Faksi : 255-22-2113425
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM,
TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Rais
John Magufuli amesema azma ya Serikali yake kuhamia Dodoma haraka
iwezekanavyo ipo pale pale huku akiwaonya wale wataong'ang'ania kubaki
Dar es Salaaam kuwa watakuwa wamejifukuzisha kazi wenyewe.Alitoa msimamo huo mjini Singida jana kwenye mkutano wake wa kwanza wa hadhara ...
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU SABABU ZA KUTOKUCHAGULIWA KWA BAADHI YA WALIOOMBA KUDAHILIWA
KATIKA KOZI ZA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017
Baraza linapenda kuwaarifu wote
walioomba kudahiliwa...
Taarifa kwa Wanafunzi Wote Kuhusu Kufungua Chuo
Kurugenzi ya Mafunzo na
Utafiti Inapenda Kuwatangazia Wanafunzi Wote wa Wakala Wa Elimu na
Mafunzo ya Uvuvi (FETA) kwamba, Tarehe...
CALL FOR APPLICATIONS INTO POSTGRADUATE PROGRAMMES FOR 2016-2017ACADEMIC YEAR
GRADUATE STUDIES FEES STRUCTURE FOR 2016-2017
late GS ADVERT FOR 2016-17 for Applicantions Final
PhD Application Forms 2015-2016 word revise...
Fresh graduates required
The School of Agricultural Economics and Business Studies (SAEBS) at the Sokoine University of Agriculture
(SUA) is looking for fresh graduates in BSc Agricultural Economics,
Agri-business Management or any other Agriculture-related disciplines
with...
Rais
wa Malawi, Peter Mutharika juzi alitoa amri ya kukamatwa kwa Eric Aniva
ambaye hivi karibuni alibainika kufanya kibarua cha kuwabikiri mabinti
wa chini ya umri wa miaka 13 zaidi ya 100.
Amri hiyo ya Rais imekuja baada ya kubainika kuwa mwanamume huyo maarufu kwa jina...
JUMLA
ya wanafunzi 69,820 wameomba mikopo kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa
Elimu ya Juu (HESLB) hadi sasa ikiwa zimebaki siku tatu kufikia mwisho
wa kupokea maombi hayo.
Akizungumza jana
jijini Dar es Salaam , Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa
bodi hiyo,...