Tuesday, 2 July 2024

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO JULAI 3, 2024

Share:

UNAWEZA KUONGEZA MAUZO MARA MBILI KATIKA BIASHARA YAKO KWA KUFANYA HILI!

Naitwa Saidi, sasa ni miaka 10  nafanya biashara lakini haijawahi kuwa rahisi hata mara moja kwani changamoto ambazo nimekuwa nikikumbana nazo ni nyingi sana hadi kuna wakati ulifikia nikaanza kukataa tamaa.

Nimekuwa nikifanya biashara ambayo nashukuru kipato ambacho nimekuwa nikipata kinaniwezesha kumudu gharama za maisha ya kila siku.

Biashara yangu ya kuuza vyakula vya mifugo inaniwezesha kuitunza familia vizuri, kusomesha watoto  wangu, kuwasaidia wazazi wangu na kufanya mambo mengine ya kimaendeleo kama kujenga na kununua mashamba kwa ajili ya uwekezaji wa hapo baadaye.

Hata hivyo ghafla wateja walinikimbia licha ya kuwa na bidhaa nzuri na zaidi nilikuwa tayari najulikana na watu wengi lakini wote wakawa hawanunui tena kwangu bali kwa wafanyabiashara wenzangu wa jirani.

Jambo hilo lilinifanya nianze kufikiriki kuna mchezo umefanyika dhidi ya biashara yangu maana nilikuwa sijaiwekea kinga licha ya kusikia watu wakisema biashara lazima iwekewe kinga.

Mara moja nilianza kumtafuta mtaalamu ambaye anaweza kutoa kinga ya kuaminika dhidi biashara yangu, nilitafuta kwa muda bila mafanikio hadi pale nilifanikiwa kumpata Kiwanga Doctors.

Nilimpigia Kiwanga Doctors na kumuelezea kuwa biashara yangu imevamiwa na inahitaji ulinzi wa mara moja kwani wateja wangu wamekimbia wote.

Nashukuru Kiwanga Doctors alinielewa na kunifanyia tiba na kuniambia ndani ya siku tatu nitapata majibu ya jambo hilo.

Ukweli ndani ya siku tatu wateja walianza kuja kwenye biashara yangu kama ilivyokuwa hapo awali, cha kushangaza zaidi ni kwamba niliiuza kuliko ilivyokuwa mwanzo.

Na sasa biashara yangu inaenda vizuri hadi majirani zangu wanatamani kujua ni kipi hasa nimefanya, hawa ndio waliovamia biashara yangu kwa uganga wao lakini safari hii nimefanikiwa kuwakomesha vilivyo.

Mauzo yangu yameongezeka mara tatu ya ilivyokuwa mwanzo, sikuwahi kutarajia jambo kama hili.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com na namba ya simu +255763926750 au +254769404965.

Mwisho

 

 


Share:

DAWA HII INATIBU MADONDA YA TUMBO, U.T.I , CHANGO, GANZI , STROKE

 


 
Sheikh Juma Mkamba anakukaribisha kwenye Maduka ya Dawa za kiarabu na asili Kigoma!

Dawa hizi ni za uhakika!

Kusafisha Nyota, Zindiko, Biashara, Stroke, Mvuto, Mapenzi, Chango, Shamba, Ofisini, Chuma Ulete, Nguvu za Kiume, Maradhi ya Mshipa, PID. Bawasiri, UTI Sugu, Kisukari, Moyo, Presha , Henia, Madonda ya tumbo n.k

Simu : +255 755 705 090
+255 787 730 901




Share:

Monday, 1 July 2024

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 2, 2024

Share:

AUSTRALIA NA AFRIKA MASHARIKI WAIMARISHA UHUSIANO KUPITIA KOMBE LA AFRIKA MASHARIKI LA SOKA

Mchezaji wa Taifa Stars na klabu ya Shakhtar Donetsk ya Ukraine, Novatus Dismas, akizungumza na vijana kutoka Kenya, Tanzania na Uganda wakati wa uzinduzi wa mashindano ya East Africa Cup hivi karibuni katika viwanja vya Moshi Tech, jijini Moshi mkoani Kilimanjaro. Mashindano hayo yaliandaliwa chini ya udhamini wa Ubalozi wa Australia na UNESCO kwa lengo la kukuza uwezo wa vijana waweze kuwa mawakala wa kuleta mabadiliko Chanya ndani ya jamii zao na kukuza ushirikiano baina ya vijana kutoka nchi za ukanda wa Afrika Mashariki. Picha: Mpiga Picha wetu.

Australia imeendelea kukuza mahusiano ya karibu na nchi za mashariki mwa Afrika kupitia tukio la wiki hii la mashindano ya kombe la Afrika Mashariki (East Africa Cup) – mashindano yanayofanyika kila mwaka kwa lengo la kuhamasisha michezo kama nyenzo ya kuwawezesha vijana. 

Mchango endelevu wa Australia katika kombe hilo umechangia ongezeko la ushiriki wa mabinti Pamoja na kuvuta uwakilishi zaidi kutoka mataifa mbalimbali katika ukanda huu.

Mashindano ya kombe hilo yanafanyika wiki hii mjini Moshi, Tanzania ambapo vijana watashiriki kwenye michuano ya mpira wa kikapu (basketball), mpira wa miguu na chess Pamoja na kushiriki kwenye karakana zinazolenga kuimarisha amani, uraia na uhusiano wa kijamii.

Mchezaji mpira mkongwe, Novatus Dismas ambae kwasasa anachezea klabu ya Shakhtar Donetsk ya nchini Ukraine ambayo inashiriki michuano ya mabingwa wa ulaya UEFA anatarajiwa kuungana na mwamuzi wa FIFA kutoka Tanzania, Ahmed Arajiga kuzindua rasmi hafla ya mashindano hayo, Juni 20, 2023.

Wachezaji wenye uraia mchanganyiko wa ukanda wa Afrika mashariki na taifa la Australia wamekuwa wakifanikiwa sana kwenye mpira wa miguu ambapo Nestory Irankunda, mchezaji wa Australia mwenye asili ya Tanzania ambae anaiwakilisha timu ya taifa ya wanaume ya Australia na kujiunga na klabu ya Bayern Munich, mwezi Julai 2024. Mwanasoka mwenza kutoka Australia mwenye asili ya Kenya, Awer Mabil, ambae hivi sasa anaichezea timu ya taifa ya Australia pamoja na Klabu ya Grasshoppers inayoshiriki michuano ya Swiss Super League club.

Akizungumzia mashindano hayo, balozi wa Australia nchini Kenya, Jenny Da Rin, amesema: “Australia inajivunia kuunga mkono mashindano ya Kombe la Afrika Mashariki ili kusaidia kuwezesha, kuhamasisha na kukujuza ujuzi wa vijana wa Afrika Mashariki kupitia michezo.

“Mchezo wa Soka nchini Australia umekuwa ukikua kwa kasi sana. Mwezi Julai 2023, Australia ilikuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la dunia la wanawake na inatarajia kuwa mwenyeji wa michuano ya wanawake la kombe la bara la Asia ya AFC. Tunajivunia kuona namna wachezaji wa Australia wenye asili ya Afrika Mashariki wanavyofanya vizuri duniani na nchini Australia, jambo linalowahamasisha wanamichezo wapya. Tunatarajia kuona zaidi wanamichezo kutoka Afrika Mashariki wakichezea timu zetu za taifa na katika viwango vya juu katika michuano ijayo ya kombe la dunia,” alisema.

Kwa upande wake, Elly Goro, Mratibu wa Kombe la Afrika Mashariki (East Africa Cup) alisema kuwa michuano hiyo ni zaidi ya mashindano ya soka, akibainisha kuwa kumekuwa na ushirikiano wa karibu na washirika ili kusaidia kukuza uwezo wa vijana waweze kuwa mawakala wa kuleta mabadiliko Chanya ndani ya jamii zao.

Share:

CCM YATEUA WANACHAMA WATAKAOGOMBEA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI UVCCM

 


Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger