Saturday, 6 April 2024
Friday, 5 April 2024
DAWA HII ITAKUSAIDIA KUTATUA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya tendo la ndoa kikamilifu ,shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kutokuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.
Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;
1. Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo
2. Kuvuta sigala na unywaji wa pombe
3. Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
4. Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
5. Kisukari
6. Kuwa na mawazo na wasiwasi
7. Matumizi ya madawa mbalimbali
8. Umri hasa wazee
9. Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili
10. Kuwa na tatizo la kibofu
11. Tabia za kujichua kwa muda mrefu
12. Kutopata usingizi kamili
13. Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine
DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana, hizo dalili zake ni kama;
1. Kuwahi kufika kileleni
2. Kukosa hamu ya mapenzi
3. Kushindwa kurudia tendo la ndoa
4. Uume kusimama kwa ulegevu au kushindwa kusimamisha
5. Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
6. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
7. Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
8. Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji
TIBA SAHIHI YA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME
FULL POWER
⇨Ni dawa ya vidonge ya miti shamba inaongeza nguvu za kiume na kutibu kabisa tatizo hilo.
⇨Inaongeza hamu ya tendo la ndoa
⇨Inakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya Dakika 30 na kurudia tendo zaidi ya mara nne na zaidi.
ZAT 50
⇨ Inarutubisha maumbile ya uume na kunenepesha urefu nchi 6,unene sentimita 4
⇨Dawa hii ni ya kutibu kabisa tatizo hilo.
Pia tunatibu Magonjwa mengine kama
Matatizo ya pumu,Bawasiri, vidonda vya tumbo, Kisukari, Magonjwa sugu ya zinaa,Kaswende,U.T.I , kiuno,miguu kuwaka moto, Fangasi sehemu za Siri, kupunguza unene wa mwili,tumbo kuunguruma,kujaa gesi, matatizo ya uzazi kwa wanawake, kurutubisha mbegu za uzazi kwa akina baba, matatizo ya meno tunatibu bila kung’oa
Ndugu mteja Epuka midawa inayouzwa mitaani ambayo sio sahihi kwa matumizi ya binadamu JALI AFYA YAKO OKOA NDOA NA MAISHA YAKO
Kliniki yetu inapatikana Zanzibar, Dar es salaam na Shinyanga
Wasiliana nasi kwa simu namba 071770 22 27 au 0754568767 utatumiwa sehemu yoyote ulipo
BENKI YA CRDB YAKABIDHI MADAWATI URAMBO
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Jumanne Wambura Wagana (kushoto) akimkabidhi madawati Mkuu wa Wilaya ya Urambo Mh. Eribariki Bajuta.
Meneja wa CRDB Kanda ya Magharibi Ndg Jumanne Wambura Wagana amekabidhi madawati 50 kwa mkuu wa Wilaya ya Urambo Mhe. Elibariki Bajuta ikiwa ni mwendelezo wa benki hiyo ya CRDB katika kutekeleza sera yake ya uwekezaji kwa jamii lakini kuunga mkono jitihada za Serikali kwenye sekta ya elimu wilayani Urambo.
Akipokea Madawati hayo Aprili 4,2024, Mkuu wa Wilaya ya Urambo Mhe. Elibariki Bajuta ambaye aliambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Urambo , Wakuu wa Idara wa Halmashauri pamoja na viongozi wengine ameishukuru sana Benki ya CRDB kwa msaada huo mkubwa na kuahidi kuendelea kuwapa mashirikiano makubwa zaidi kibiashara.
WANAFUNZI WANAOTARAJIA KUHITIMU KIDATO CHA SITA WAHIMIZWA KUTUMIA VYEMA ELIMU WALIYOIPATA
Wanafunzi wanaotarajia kuhitimu masomo ya kidato cha Sita katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wamehimizwa kutumia elimu waliyoipata shuleni kuleta mabadiliko katika jamii inayowazunguka na kujiepusha na makundi yasiyofaa hasa wakati watakaokuwa wakisubiri matokeo ya mitihani yao.
Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Bukoba Mjini James Nyamanza wakati alipokuwa mgeni Rasmi katika Mahafari ya Kidato cha Sita ya Umoja wa Wanafunzi Wasabato Kanda ya Bukoba Mjini(ASSA) yaliyofanyika shule ya Sekondari Nyakato.
Nyamanza amewahimiza wanafunzi hao wanaotarajia kufanya mitihani yao ya kuhitimu kidato cha sita kuhakikisha elimu waliyoipata inakuwa chachu ya maendeleo katika jamii zao na sio kwenda kuwa kikwazo kwa kujiingiza katika makundi yasiyofaaa wakati watakaokuwa wakisubiri matokeo ya mitihani yao.
Amesema kuwa walimu wao wametumia muda mwingi kuhakikisha wanapata elimu hiyo lakini pia wazazi wametumia gharama kubwa ya kuwasomesha hivyo wanatakiwa kuwa mfano mzuri kwenye jamii na kuwa mfano bora wa kuigwa na wanafunzi wengine wanaoendelea na masomo.
Katika mahafali hayo mgeni Rasmi aliendesha Harambee kwa kushirikiana na Wazazi,Viongozi wa dini, Walimu na Wageni waalikwa ambapo katika harambee hiyo kiasi kilichopatikana kilielekezwa kukarabati Kanisa lililopo jirani na shule ya Sekondari Nyakato.
Mahafali hayo yameshirikisha shule zote za Sekondari zenye wanafunzi Wasabato ambao wameshiriki kwa pamoja kuwaaga wanafunzi wenzao wanaotarajia kuhitimu kidato cha Sita ikiwemo shule ya Sekondari Nyakato, Ihungo, Kahororo,Rugambwa, Kagemu,Bukoba Sekondari, Mugeza, Buhembe, Maruku na Bakoba.