Thursday, 29 February 2024

KERO ZA ARDHI MOTO ZIARA YA RC MNDEME KAHAMA, VIONGOZI WANNE WASIMAMISHWA KAZI ...."POLISI KAMATENI WAUZAJI NA WATEJA BIASHARA YA NGONO"

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwa ameshikilia hati wakati akisikiliza kero ya ardhi kutoka mmoja wa wananchi katika Manispaa ya Kahama.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme ameendelea na ziara ya kupokea, kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi ambapo leo amekutana na wananchi wa Manispaa ya Kahama ambapo kero zilizotawala ni kuhusu migogoro ya ardhi lawama nyingi zikitolewa Ofisi ya ardhi Manispaa ya Kahama.

Akizungumza katika mkutano wake na wananchi uliofanyika katika viwanja vya Parking ya Malori katika kata ya Majengo Manispaa ya Kahama, Mhe. Mndeme amewasimamisha kazi viongozi wa Idara ya Ardhi Manispaa ya Kahama.

"Malalamiko mengi Kahama ni ardhi, ardhi, ardhi, Rais samia anataka wananchi waishi bila migogoro, waishi kwa amani na usalama, hakuna aliye juu ya sheria. Viongozi wengi wamekuja hapa kero kubwa ni ardhi, huko ardhi kuna nini?, baada ya kuona ardhi ni changamoto kubwa hapa Kahama. Nimeamua kuwasimamisha kazi viongozi wanne Idara ya ardhi Manispaa ya Kahama. Naagiza wasimame kazi kuanzia leo, kuna sehemu zingine hati wanapewa watu wawili,Katibu Tawala simamia hili, unda tume ichunguze viongozi hawa kama watabainika hawana makosa watarudishwa kazini", amesema Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.

Mbali na migogoro ya ardhi ikiwemo ya Maimuna Misana na  Caroline Dotto Magege iliyochukua muda mrefu kupatiwa ufumbuzi, kero zingine ni ubovu wa barabara, ukosefu wa huduma ya maji kwenye baadhi ya maeneo pamoja na uhalifu kwenye baadhi ya maeneo likiwemo eneo la Majengo linalodaiwa kuwa na vibaka huku wanawake wanaofanya biashara ya Ngono wakihusishwa na vitendo vya wizi.

Mhe. Mndeme ameliagiza jeshi la polisi kufanya doria za mara kwa mara ili kuwakamata wanawake wanaofanya biashara ya ngono pamoja na wateja wao kwani serikali hairuhusu biashara hiyo haramu.

“Naliekeza Jeshi la Polisi kufanya doria za mara kwa mara kwenye maeneo yote ambako panafanyika biashara ya ngono, kamateni anayefanya biashara ya ngono, mteja wake, mlinzi wake pamoja mmiliki wa nyumba inayohifadhi wanafanyabiashara ya ngono. Tunataka kila mmoja afanye kazi halali,wengine wanajificha kwenye biashara hii na kufanya vitendo vya uhalifu ikiwemo wizi. Bidhaa na mnunuzi wa biashara ya ngono wote kamata, wanaowahifadhi nao kamateni”,amesema Mhe. Mndeme.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme anaendelea kusikiliza kero za wananchi muda huu

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akizungumza wakati akisikiliza kero za wananchi katika Manispaa ya Kahama.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akizungumza wakati akisikiliza kero za wananchi katika Manispaa ya Kahama.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwa ameshikilia hati wakati akisikiliza kero ya ardhi kutoka mmoja wa wananchi katika Manispaa ya Kahama.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwa ameshikilia hati wakati akisikiliza kero ya ardhi kutoka mmoja wa wananchi katika Manispaa ya Kahama.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiandika dondoo muhimu wakati akisikiliza kero za wananchi katika Manispaa ya Kahama.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiandika dondoo muhimu wakati akisikiliza kero za wananchi katika Manispaa ya Kahama.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akizungumza wakati akisikiliza kero za wananchi katika Manispaa ya Kahama.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akisikiliza kero za wananchi katika Manispaa ya Kahama.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwa ameshikilia hati wakati akisikiliza kero ya ardhi ya Maimuna Misana (aliyesimama)
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwa ameshikilia hati wakati akisikiliza kero ya ardhi ya Maimuna Misana (aliyesimama)
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwa ameshikilia hati wakati akisikiliza kero ya ardhi ya Maimuna Misana (aliyesimama kushoto)
Caroline Dotto Magege akielezea kero ya mgogoro wa ardhi
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akisikiliza kero ya ardhi ya Caroline Dotto Magege (aliyesimama kushoto)

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita wakati Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akisikiliza kero za wananchi katika Manispaa ya Kahama.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita wakati Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akisikiliza kero za wananchi katika Manispaa ya Kahama.

Share:

NJIA RAHISI SANA NILIYOTUMIA KUPATA KAZI YA HOTEL!

Jina langu ni Flowrance kutokea Mpwapwa, Dodoma nchini Tanzania, katika maisha yangu nakumbuka nilichoka kutafuta kazi na nilichoka kukaa nyumbani pia, ilikuwa kila nachofanya kinagoma.

Ilifika hatua nilikuwa tayari kwa lolote lile, nikaamua kutafuta kazi ila sikufanikiwa, siku moja nikiwa nasoma gazeti moja nikakutana na tangazo la Kiwanga Doctors kuwa anasaidia watu kupata kazi na zenye maslai mazuri.

Basi nilichukua namba zake katika gazeti lile ambazo ni +254 769 404965 na mara moja nikapiga, tuliongea kwa muda na kumueleza shida yangu, alichukua muda mfupi kunihudumia kisha akaniambia nijiandae na kazi kwani nitapata muda wowote ule.

Sasa siku kadhaa mbele niliona tangazo la kazi la hotel fulani linahitaji muhudumu, nilikaa nikajiwazia moyoni, nikasema hii ndio nafasi yangu.

Kesho yake mapema nikiwa smart na nimependeza nilikuwa nishafika pale ofisini, bahati nzuri nilikuwa napafahamu hivyo sikuhangaika kupatafuta.

Niliomba kuonana na HR, maana tangazo lilitoka kwake, muda ule alikuwa bado hajafika.

Alivyofika alijulishwa kuwa kuna mgeni wake, alitoka kuja kuonana na mimi, baada ya salamu aliniuliza ni nini kimenileta pale. Kwa kujiamini nilijibu kuwa nimeenda kuanza kazi maana nimeona wanahitaji muhudumu.

Alicheka ila bado niliendelea kusisitiza kuwa ni kazi imenileta pale, alitoka na kumuita mtu aliyemtambulisha kama meneja wa hotel, kisha alimueleza kwanini nipo pale.

Alishangaa kwa ujasiri wangu, alianza kuniuliza maswali ya hapa na pale, baadaye walitoka na kuniacha, alirudi HR na kuniambia itabidi wanifanyie interview.

Nilikuwa mchangamfu sana kwahiyo kuna namna tayari nilikuwa nimeshawazoea nao, interview haikuwa ngumu sana. Muda mwingi waliniuliza maswali ya kutaka kunijua tu.

Mwisho meneja aliniambia "imani yako imekuponya, kesho njoo uanze kazi:. Hivyo ndio nilivyopata kazi.

Siku zote kumbuka Kiwanga Doctors anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto.

Vilevile anatoa huduma ya kukusaidia kupata kazi au ajira, kupandishwa cheo na mshahara kazini, kuwasaidia wenye urahibu wa dawa za kulevya, sigara na pombe, kwa wanaotafuta mume au mke pia anawasaidia tena ndani ya siku chache.

Anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake.

Basi chukua hatua ya kuwasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba; +254 769 404965.

Mwisho.

Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI FEBRUARI 29, 2024

Share:

Wednesday, 28 February 2024

POLISI SHINYANGA WAKAMATA SUKARI, NGOZI YA CHATU, NYAYA ZA UMEME

Share:

WAFANYAKAZI WA BARRICK BULYANHULU NA NORTH MARA WALIVYOSHIRIKI KILIMANJARO MARATHON 2024

Wakimbiaji kutoka kampuni ya Barrick wakitimua mbio wakati wa mashindano hayo.

***
Wafanyakazi wa Migodi ya Barrick ya Bulyanhulu na North Mara ambao wamekuwa mahiri kushiriki katika mashindano ya aina mbalimbali kupitia klabu zao za michezo zijulikanazo kama wameshiriki mbio za Kimataifa za Kilimanjaro 2024 zilizofanyika mkoani Kilimanjaro ambapo baadhi yao wamemudu kukimbia mbio za masafa marefu.

Kampuni ya Barrick inayo sera madhubuti katika kusaidia wafanyakazi kwenye upande wa michezo kwa kuwa na miundo mbinu ya mazoezi kama gym, swimming pool, viwanja vya mpira wa miguu , viwanja wa mpira wa kikapu pamoja na viwanja vya mpira wa pete. Vilevile kampuni imekuwa inatoa vifaa na nyenzo mbalimbali za kufanyia mazoezi, na kugharamia wafanyakazi wake kushiriki mashindano yanayofanyika nje ya migodi yake ikiwemo nje ya nchi.

Kampuni pia kupitia kitengo cha Afya na Usalama huwa inaandaa mashindano ya ndani kwa kushindanisha idara mbali mbali hii ni kama njia moja wapo ya kuweza kuweka vizuri afya za mwili na akili za wafanyakazi wawapo kazini. Mgodi wa Bulyanhulu pia umekuwa ukiandaa mashindano ya riadha yajulikanayo kama Bulyanhulu Healthy Lifestyle Marathon ambayo yamekuwa yakishirikisha wafanyakazi na wanariadha kutoka nje ya Mgodi.
Wakimbiaji kutoka kampuni ya Barrick wakitimua mbio wakati wa mashindano hayo.
Baadhi ya wakimbiaji kutoka kampuni ya Barrick wakifurahi na baada ya kumaliza mbio za Marathon za Kilimanjaro

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger