Thursday, 29 June 2023
Wednesday, 28 June 2023
AJERUHIWA VIBAYA KWA KUMWAGIWA TINDIKALI NA WASIOJULIKANA
WATOTO WAFARIKI DUNIA KWA KUPONDWA MAWE
HATUA ZA KUSHINDA JACKPOTI YA MERIDIANBET
Shinda Jackpoti
Watu wengi sana hujiuliza inakuaje mtu Fulani anashinda Jackpoti je huwa vigezo gani vinatumika, haswa katika kampuni nambari moja kwa ubashiri na kasino ya mtandaoni Meridianbet, Leo nakupitisha hatua kwa hatua namna ya kushinda Jackpoti.
Hatua za Kufanya Kushinda Jackpoti za Meridianbet
Promosheni ya Jackpoti huwa ipo kwenye aina mbili upande wa Jackpoti ya Soka yaani kubeti soka, na Jackpoti ya michezo ya kasino ya mtandaoni, hapa kuna utofauti mdogo unapaswa kufahamu.
Jackpoti ya kubeti soka mfano ile Jackpoti ya Meridianbet kubashiri na kitochi ya Tsh Mil 80, hii ni ngumu kidogo kwakuwa unahitaji kusuka jamvi lako kwa utulivu huku ukifanya tafiti ya timu unazozipa ushindi.
Lakini ukicheza Jackpoti ya kasino ya mtandaoni huhitaji kutumia akili sana bali, unachotakiwa kukifanya kuchagua michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni unaweka dau lako kisha unacheza, kadiri unavyocheza ndio unajiweka kwenye nafasi kubwa ya kushinda Jackpoti ya Meridianbet.
Vigezo na masharti kwa kila jackpot hutegemea, lakini Jackpoti ya Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ndiyo jackpot pekee ambayo inakuwa rahisi zaidi. Usikae mbali na kurasa za Meridianbet ya ofa na promosheni kuona kapu la jackpot linapokuwa hewani.
Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet huratibu jackpot nyingi za kasino kwa nyakati tofauti ambazo huhusisha waandaaji wa michezo ya kasino, michezo ya Sloti, na Meridianbet wenyewe. Wachezaji wa kasino ya mtandaoni Meridianbet wanakuwa na nafasi sawa ya kupata ushindi mkubwa wa jackpot ya kasino.
Nini ufanye kushinda Jackpot ya kasino kwa Meridianbet?
Hili ni swali rahisi, ambalo unaweza kujibiwa na nguli wa ubashiri wa Meridianbet na wale wanaofuatilia promosheni mbali mbali za kasino za Meridianbet. Siri ni kufuatilia kwa ukaribu ukurasa wa promosheni wa Meridianbet, na kucheza zaidi michezo ya kasino ya Meridianbet kujiweka kwenye nafasi ya kushinda jackpot ya kasino.
Pia, una nafasi ya kufanya bashiri za kawaida na Meridianbet, pale kunapokuwa na matukio yanayokuvutia zaidi ya kimichezo. Unaweza kubashiri kwa tovuti, App ya simu au kwa kupiga *149*10# ukiwa na Tigo au Airtel kubashiri.
AMPONYA MJOMBA KICHAA KILICHO MUANZA GHAFLA
Tunaishi kwenye famila ya pamoja na baadhi ya ngugu zake mama wa kiume ambao wao hawakuwa wameoa tayari, ni wajomba wawili na shangazi mmoja dada yake baba naye pia bado hakuwa ameolewa. Mimi ni mtoto wa pili kwenye familia ya watoto watano ambapo wamwisho ni mapacha mmoja wa kike na mmoja wa kiume.
Familia yetu siyo yenye uwezo sana lakini tunakula milo yote mitatu kwa wakati na pamoja kuwa na ndugu baadhi wa pande zote mbili hatukuwahi kuona mafarakano ndani ya nyumba baina ya baba, mama wala hao ndugu zao ambao tuko kuishi nao pale nyumbani.
Siku mbili kabla ya sherehe ya sikukuu ya kikristu ya Christmas ya mwaka 2020 ndio mara ya kwanza kuona changamoto kubuwa imetukumba pale nyumbani ule usiku ghafla mama alipigiwa simu na marafiki zake wa mitaani wakimwambia kuwa mjomba wangu ambaye ni mdogo wake wa pili wa kiume yuko barabarani ameshikwa na kichaa ghafla analala barabarani tena kwenye ‘traffic lights’.
Kwa kweli isingekuwa msaada wa daktari BAKONGWA ambaye tulichelewa sana kumjuwa kabla ya wageni wa kikundi cha vikoba kumfahamisha mama na kumpa nambari zake daktari huyo za whatsapp +243990627777 na tovuti zake https://bakongwadoctors.com tungeishia kumlea mjomba ndani kwa kuogopa kichaa ambacho kilimshika.
Mjomba alikuwa amekuja mjini kujiendeleza kielimu tu hakuwa na jjambo lolote lile ambalo kwa kweli alilifanya kwa siri sisi tusilijue, taarifa zilipotufikia haraka tukakodi bajaji na kumchukuwa tukijuwa ni homa ya ghafla au maralaria kali tukamuwaisha hospitali mara moja.
Hospitali pale alikaa kwa muda wa miezi mitatu bila ya mafanikio hakukuwa na dalili yoyote ile ya mjomba kuamka, hali yake ilikuwa mbaya zaidi hakuwa anamjuwa yoyote katika sisi kila aliyemsogelea kumpa pole mjomba alikuwa akitukana na kutishia kusema nitakuua mimi, tuliamua kufanya mbadala tukaleta masheikh kulingana na imani yetu wao wakafanya dua na dua wiki nzima masheikh walizunguka hospitalini pale lakini kichaa cha ghafla cha mjomba hakikupona.
Hospitali wakasema tumtowe pale au tuwe tayari apelekwe wodi ya vichaa jambo ambalo mama hakulikubali kabisa ni mwezi wa tisa sasa ya mwka 2021 ni miezi kumi toka kichaa cha ghafla kimshike mjomba na kila msaada wa maombi na wa hospitali haukuwa umemponya changamoto yake.
Kikundi cha kina mamakikawa kinakaa kikoba kikafayikia nyumbani kwa wakati huwo tayari mjomba alikuwa amerudi nyumbani tumemfungia ndani asitoke kwa kuogopa madhara ambayo tungeyapata au angeyafanya kwa watu, kwa bahati rafiki wa mama ndiye aliyemuona na kumwambia mama amtafute daktari Bakongwa atatusaidia.
Baada ya kikundi kuisha mama aliniita akanikabidhi nambari zile alizopewa na mwenzake kisha nikampigia daktari ambaye tulifanya naye mazungumzo kwa kipindi kirefu mama akamuelekeza haliyote ilivyoanza mpaka mwisho, daktari akataka majina mawili ya mgonjwa pesa ya kumuangalizaia kisha akasema atatupigia.
Alipotupigia alitowa taarifa kuwa kuna alikuwa anamchezea ambaye aliona nyota ya mjomba na kuamuwa kuitumia kwa kumfanya awe kichaa na ndiyo sababu kichaa chake kilianza ghafla mara mmoja akatutumia dawa ambayo ilikuwa na kikaratasi kilichotaka mjomba anywe ile dawana kupga kwa siku tatu mchana na asubuhi.
Baada ya siku hizo tatu maajabu tuliyaona mjomba alianza kubadilika na kurudi kwenye hali yake ileile hakuwa tena mchafu , wa kudondosha mate, kutukana watu wala kuwafokea akaanza kututambua sote mpaka kichaa chake cha ghafla kikakoma kabisa , asante sana daktari kwa tiba zako nzuri na za muda mfupi.
NIMEPOTEZA HAMU YA TENDO NAJILAZA TU KAMA GUNIA KITANDANI
Mimi nimeamua kueleza niliyoyapitia na jinsi nilivyoweza kupata msaada kupitia African Doctors, ni matumaini yangu haya nitakayoeleza hapa yanaweza kuwasaidia na wengine kutafuta usaidizi wa changamoto hiyo.
Jina langu ni Wanjiku, ni mwanamke ambaye umri wangu umeenda kidogo ila sio sana, nilifunga ndoa miaka mitano iliyopita, tulipofunga ndoa na mpenzi wangu tulitumaini kuishi maisha ya furaha nyakati zote ila mwaka wa tatu tu baada ya ndoa mambo yalianza kuenda mrama.
Nilikosa na kuipoteza furaha niliyokuwa nayo mwanzoni mwa ndoa, nilipoteza hamu ya kushiriki tendo na mume wangu, kwa vile nilimpenda kwa dhati na nilikua na mapenzi yasiyo na kifani kwake, wakati wote tungeshiriki tendo la ndoa ningejifanya kufurahia lakini haikuwa hivyo.
Nilijilaza kama gunia la mahindi na kumpa mume wangu alichohitaji, upande wake alineokana mwenye kufurahishwa lakini hakuwai kujua kuwa mkewe sijisikii raha kabisa wakati wa kufanya tendo hilo.
Maji yalipozidi unga niliamua kuanza kutafuta suluhu kwa kuwa nilikua najihisi kukosa maana ya kuwa kwenye ndoa, kamwe singeweza kumuacha mume wangu kwa kuwa nilimpenda sana.
Niliamua kuomba ushauri kutoka kwa wasikilizaji wa redio moja maarufu nchini Kenya, Radio Jambo kupitia kipindi chao cha Mahusiano na Ndoa kiitwacho Mahaba, niliweza kuwapigia simu watangazaji wa kipindi hicho na kuwaeleza yote niliyokuwa napitia katika ndoa.
Nilisikiliza kwa umakini maoni ya wasikilizaji wao, na kuamua kutumia ushauri wao lakini sikupata suluhu, bado niliendelea kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa na mume wangu.
Hata hivyo, baada ya kupita huku na kule, niliamua kwenda kumuona Daktari wa uzazi katika Hospitali moja Jijini Nairobi, alinipa tembe, nilizomeza kwa miezi mitatu ila bado sikupata suluhisho lolote.
Wakati mmoja nilipokuwa na safari zangu Nairobi nilikutana na tangazo la African Doctors kuhusu huduma zao, miongoni mwa mambo waliyokuwa wanatibu ni pamoja na tatizo langu la kukosa hamu ya tendo la ndoa.
Bila kusita nilichukua namba yao na kuwapigia simu na kuwaeleza nahitaji kuonana nao ili niweze kupata huduma yao, basi siku iliyofuata niliweza kukutana na African Doctors, alinipa matumaini kuwa naweza kupona tatizo langu kwa asilimia 100.
Alinipatia madawa ya miti shamba na kunieleza ningeyaona mabadiliko kwa siku chache zijazo, siku tatu baadaye hamu ya kushiriki tendo la mdoa ilirejea, na mara kwa mara nilikua na hamu ya kutaka kushiriki tendo hilo, shukrani za dhati kwa African Doctors.
Pia kumbuka African Doctors anatibu magonjwa kama Saratani ya mapafu, Kisonono na mengine mengi, pia wanatatua matatizo kama kulinda boma, kulirejesha penzi lililopotea na mengine mengi.
Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com.
Mwisho.
Tuesday, 27 June 2023
WAZIRI AWESO AHAIDI KUMALIZA TATIZO LA MAJI JIMBO LA ULANGA
Waziri wa Maji Jumaa Aweso(Mb) amemuahidi Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe.Salim Alaudin Hasham kuwa atatoa ushirikiano wa kina yeye na ofisi yake katika mapambano ya kuhakikisha wilaya ya Ulanga inamaliza Changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama.
Waziri Aweso ameyasema hayo wakati alipotembelewa Ofisini kwake Dodoma na Mbunge Salim akiwa na wafadhili kutoka Nchini Uswisi ambao wamekuja kwa lengo la kuangalia Changamoto ya maji wilayani Ulanga ili kuona namna bora ya kuisaidia kuondokana na shida hiyo.
Naye mfadhili wa maswala ya maji kutoka nchini Uswisi Bi. Rubab Jawad Aziz amesema kilichomvutia kusaidia wilaya ya Ulanga kuondokana na tatizo la maji ni kwasababu wazazi wake waliishi hapo na yeye alilelewa hapo hivyo anajua Changamoto hizo tangu akiwa mtoto mdogo kabla ya kwenda nje ya nchi kutafuta maisha.
Kwa upande wake Mbunge Salim amesema lengo la kutafuta wafadhili kwa wingi ni kuona namna bora ya kuisaidia Serikali katika kutatua Changamoto mbalimbali.
Jimbo la Ulanga linazalisha kiasi cha lita 8000 hadi 9000 wakati mahitaji ya maji ikiwa ni lita 1,600,000.