Tuesday, 27 June 2023

WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA WANAOTOA HUDUMA KATIKA MIGODI WALIA MALIPO KUCHELEWA

Imeelezwa kuwa  kuchelewesha malipo Kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wanaotoa Huduma katika migodi kunachangia kuzorotesha mzunguko wa Biashara za wajasiriamali pamoja na kuishiwa mitaji ya kuendeleza biashara zao.

Hayo yamebainika leo katika warsha ya kutoa matokeo ya ripoti ya Utafiti wa ushirikikishwaji wa wazawa Kwenye sekta madini Tanzania iliyofanyika katika mkoa wa Mara na Geita.

Akitoa taarifa ya Utafiti huo Afisa ufuatiliaji,Tathimini na mafunzo Kutoka Hakirasilimali Francis Mkasiwa amesema kuhusu Hali ya ajira kwa wazawa Utafiti unaonyesha kuwa wazawa wanapewa kazi za kuuza mbogamboga,Huduma za usafiri,malazi,kuuza Chakula na kuuza vifaa vya ujenzi.

Francis ameongeza kuwa tafiti waliofanya inaonyesha watoa Huduma hawalipwi fedha zao Kwa wakati Hali inayokwamisha mzunguko wa Biashara zao pamoja na kuishiwa mitaji Yao.

Sambambam na hayo ripoti inaonyesha kuwa Hali ya kuhamisha maarifa Kwa wazawa ni ndogo kwani elimu na mafunzo hutolewa Kwa Watu wachache na yasiyo ya kudumu Kwa wazawa hao.

Awali akifungua warsha hiyo mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi mtandao wa mashirika yanayofanya kazi katika sekta ya madini na Gesi (Hakirasilimali) Jimmy Luhende amependekeza kuendelea kufanyika tafiti nyingi za kisayansi katika migodi inayozunguka wananchi ili kunufaisha pande zote  za wawekezaji na wananchi.

Nao baadhi ya washiriki wa warsha hiyo Bonny Matto Kutoka tarime na Asia Hussein Kutoka Gieta wamewashauri viongozi hususa wenyeviti na madiwani kutetea na kusimamia sheria ndogo Ili kuwe na manufaa ya pamoja kati ya wananchi na wawekezaji.

Akitoa ufafanuzi kuhusu ucheleweshaji wa malipo Kwa watoa Huduma Meneja mahusiano wa AKO GROUP LTD Waisile Bairi amesema utaratibu wa malipo Huwa unafanyika ndani ya siku thelathini baada ya mtoa Huduma Kupeleka Ankra (Invoice) Kwa mwekezaji.

Warsha hiyo ya Siku moja iliyofanyika Mkoani Geita  ya uzinduzi wa ripoti ya Utafiti wa Ushirikikishwaji wa wazawa Kwenye sekta ya madini iliyoandaliwa na Hakirasilimali na Policy Forum imejumuisha wadau wa madini Kutoka mkoa wa Mara,Shinyanga na Geita.
Share:

BARRICK BULYANHULU NA GGML WAONYESHANA UBABE MCHEZO WA KIRAFIKI WA BASKET BALL

Wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya kutoka Barrick Bulyahulu na GGML wakiwania mpira wakati wa mchezo huo wa kirafiki
Wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya kutoka Barrick Bulyahulu na GGML wakiwania mpira wakati wa mchezo huo wa kirafiki
Wachezaji wa GGML katika picha ya pamoja baada ya mechi hiyo ya kirafiki kumalizika
Wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya kutoka Barrick Bulyahulu na GGML wakiwania mpira wakati wa mchezo huo wa kirafiki
Wachezaji wa GGML wakipata mawaidha kutoka kwa kocha wao
Wachezaji wa Barrick Bulyanhulu wakipata mawaidha kutoka kwa kocha wao
Baadhi ya wafanyakazi wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu wakifuatilia mchezo huo
 ****

Timu za mchezo wa kikapu za wafanyakazi kutoka migodi mikubwa ya dhahabu nchini ya Barrick Bulyanhulu na Geita Gold Mine Ltd. (GGML) zilionyeshana umwamba katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika viwanja vya michezo vya mgodi wa Bulyanhulu.

Katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkali GGML ilibuka na ushindi wa magoli 85 dhidi ya magoli 81 yaliyofungwa na timu ya Barrick Bulyanhulu.

Mchezo huo mbali na kudumisha urafiki na kuleta furaha ni mwendelezo wa programu za makampuni hayo ya kuhakikisha wafanyakazi wake wanafanya mazoezi ya kujenga afya zao.

Kampuni ya Barrick nchini imekuwa na program za mazoezi kwa ajili ya kuhakikisha wafanyakazi wake wanakuwa na nguvu na afya bora.

Kila mwaka kampuni imekuwa ikiwezesha wafanyakazi wake kushiriki mashindano mbalimbali ya michezo ikiwemo mashindano ya mbio za kilomita 42 ya Bulyanhulu Healthy Lifestyle Marathon,
yanayofanyika kila mwaka.

Share:

ICTC YATOA RAI KWA VIJANA WENYE BUNIFU ZA TEHAMA


Mkurugenzi wa Tume ya Tehama (ICTC), Dk. Nkundwe Mwasaga,akizungumza kuhusu mwamko wa vijana wenye bunifu na umuhimu wa Tume hiyo.


Na Mwandishi Wetu

MKURUGENZI wa Tume ya Tehama (ICTC), Dk. Nkundwe Mwasaga ametoa rai kwa vijana wenye bunifu za Tehama kufika katika Tume hiyo ili kupewa fursa mbalimbali ikiwamo tararibu za kuzisajili ili kulinda ubunifu wao.

Dk. Mwasaga ameyasema hayo Juni 26, 2023 alipokuwa akizungumzia kuhusu mwamko wa vijana wenye bunifu na umuhimu wa Tume hiyo.

“Dhamira ya serikali ni kuhakikisha vijana wanapata fursa za ndani na nje ya nchi, mikopo na hili tuliona tukuze kupitia vijana tangu tumeanza tumeona vijana wana uwezo mkubwa wa kubuni na wanajituma,”amesema.

Amesema Tume hiyo ina jukumu la kukuza bunifu zao. Katika kukuza bunifu zao ni vizuri wenye bunifu kuzisajili na Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA). Tume itaratibu mchakato huo.

“Nitoe rai kwa vijana wenye bunifu kuzisajili ili kuwa na uhakika kwamba hakuna atayeuchukua ubunifu wako bila ruhusa yako. Tume imetambua kuwa kikubwa zaidi kwamba kuna watu wanatoka nje ya nchi kwa nia ya kununua bunifu za vijana wa Tanzania lakini hawapendi kununua kitu ambacho hakijasajiliwa. Kwa mnunuzi ubunifu ambao haujasajiliwa unaweza kumjengea hali ya kuhisi umemuibia kutoka kwa mtu mwingine,”amesema.

Amesema watu wenye bunifu za Tehama wafike kwenye Tume hiyo ili kuwapa ushauri na kuwafungulia fursa za kunufaika na bunifu zao.

“Watu ambao wana mitaji na wapo tayari kutoa ili ubunifu ukue wapo na wapo wengine Tanzania wameshakuja kuniona mimi wapo wengi ila sasa bunifu kuwa katika hatua ambayo mtu anaweza kuweka fedha yake inatakiwa vitu vingine vifanyike.”

“Kuna kitu nimekiona kwa wabunifu wengi wana uwezo mkubwa sana katika kufanya vitu kwenye eneo la kiufundi kama kutengeneza mfumo na vitu vingine wanajua lakini eneo ambalo tunahitaji kuwasaidia zaidi ni eneo la biashara,”amesema.

Awali, ametaja sababu ya serikali kuanzishwa Tume hiyo ni kuwasaidia watanzania ikiwamo vijana wenye bunifu za Tehama

“Tume hii ina miaka nane tangu imeanzishwa na serikali. Tathmini ya sera ya kwanza ya TEHAMA ya Taifa ambayo ilitengenezwa mwaka 2003 iliyofanyika baada ya miaka 10. Tathmini ambayo iliangalua jinsi sera ilivyotekelezwa na changamito zingine za utekelezaji. Tathmini hiyo ilionyesha cha kwanza sera haikuwa na mwenyewe iliyopelekewa kila mmoja kuitekeleza kwa namna anavyojua,”amesema.

&&&&
Share:

KITUO CHA MABASI YA MWENDOKASI CHAGEUZWA GESTI YA BIASHARA YA NGONO


Kama ulidhani kutokukamilika kwa mradi wa mwendokasi awamu ya pili kutoka Gerezani hadi Mbagala Rangi Tatu kunawakera wakazi wanaohangaika na usafiri kila linapokucha au kukuchwa unajidanganya. Ipo adha nyingine ya vituo vyake kugeuzwa madanguro, walalamikiwa wakubwa wakiwa baadhi ya askari polisi wanaodaiwa ‘kutengeneza fedha’ kupitia biashara hiyo ya ngono.

“Naogopa kusema, nikikuambia tutakuwa hatuachiwi tena. Au lengo lako tulale ndani? (rumande),”anauliza Grace.

“Pale inategemea, magari ya doria yanapita kuanzia saa nne usiku hadi saa tano usiku hayo hayakamati watu, lakini yapo matatu yanapita kuanzia saa sita hadi saa saba usiku hayo ndiyo yanakuwa na askari wenye sare na wasio na sare (anawaita sungusungu). Hao ndio hukamata,”anasema.


Grace anasema askari wasio na sare huwakamata na kuwapandisha katika gari kisha kuwachukulia fedha na kisha kuwaacha waendelee na biashara yao.

Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNI 272023

 



 

















Share:

Monday, 26 June 2023

MCHEZO WA PUMPKIN PATCH MERIDIANBET UNALIPA VIZURI


Mchezo wa Pumpkin Patch

Kila wakati unapohitaji kuongeza kipato chako usiache kuifikiria Meridianbet, wanakupa nafasi ya kubashiri soka, ofa, promosheni na bonasi kibao za michezo ya kasino mtandaoni na soka.

 

Moja kati ya njia rahisi kutengeneza hela nyingi kwa mara moja, ni michezo ya kasino ya mtandaoni, na Meridianbet wameliona hilo na kushirikiana na watengenezaji nguli wa michezo ya kasino ya mtandaoni Habanero, wamekuletea mpaka kiganjani mwako mchezo wa Pumpkin Patch.

Mchezo wa Pumpkin Patch kasino ya mtandaoni una kolamu 5 na mistari 25 ya malipo ya ushindi kingine ni kwamba,unakujia na jackpoti kubwa mbili za ushindi nafasi ni yako tu kucheza na kushinda.

Jinsi ya Kucheza na Kushinda Pumpkin Patch

 

Jinsi ya kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ni rahisi sana, anza kwa kubofya Kitufe chenye neno *Spin kuanzisha mzunguko. Sloti ya Pumpkin Patch ina alama mbili kuu.

 

Alama ya Boga linalo cheza likiwa kwenye kifukuzia kunguru na alama ya Wild. Ikiwa alama ya Kunguru ikaangukia pembeni ya Boga, itasababisha boga hilo kusambaa kwenye kolamu na kutengeneza alama ya ushindi yenye kukuletea malipo ya kiwango kikubwa iitwayo Complex Wild. Na hii ni Sloti ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

 

Kama Kindi (Squirrel) akiangukia pembeni ya Boga, basi Boga hilo litabadilika na kuwa alama ya ushindi ambayo itakutea malipo mara mbili ya mwanzo iitwayo Wild.

 

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye sloti ya Pumpkin Patch inakupa nafasi ya kushinda mizunguko kibao ya bure. Jiunge kwa kubofya hapa na upate bonasi ya bure ya kuanzia.


Share:

LICHA YA KUFIKISHA MIAKA 38 NIMEPATA MUME

  Jina langu ni Frida mkazi wa Tabata, Dar es Salaam, nafanya kazi ya Uhasibu, nimefanya kazi hii kwa miaka 15, tangu niajiriwe katika kampuni yetu ambayo kila siku hupokea wateja wengi. 


Kama mnavyofahamu, mimi ndiye hasa niliyekuwa nahusika na mambo yote ya fedha, kila mara watu mbalimbali walibisha hodi katika ofisi yangu, wakati wote nilikuwa bize sana na majukumu yangu.


Baadhi ya watu ambao walikuwa wanakuja ofisini haswa wanaume wengi wao walikuwa wanaomba kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mimi kutokana na muonekano wangu, wengi walikuwa wananiuliza kama nimeolewa, nilikuwa nacheka tu kisha naendelea na kazi zangu.


Siku moja nikiwa kazini alikuja kijana mmoja anaitwa Revokatus, kijana ambaye niliweza kuvutiwa naye pia na yeye alivutiwa na mimi kutokana na jinsi tulivyokuwa tunatazamana usoni ila mimi nilijitahidi kuficha hisia zangu kwake kisha nikamuhudumia kisha akaondoka zake.


Baada ya mwezi mmoja akarudi tena ofisini kwetu, kama ulivyo utaratibu wetu wa kazi nikamuhudumia kisha akaniomba namba yangu ya simu nikampatia.


Baada ya kutoka kazini alinipigia simu na kujitambulisha kwa mara nyingine tena kuwa anaitwa Revokatusi, tuliweza kuongea kwa muda wa masaa 2 kisha akaniomba siku ya Jumapili tukutane Mbezi Beach tupate chakula cha mchana wote.

Sikuweza kumjibu kwa muda huo zaidi nilimwambia kuwa nitamjulisha siku ya Ijumaa kama inawezekana au hapana kisha nikakata simu yake.

Baada ya maongezi nilijua kuwa Revokatusi anataka tukutane ili aweze kunitongoza hali ya kuwa mimi tayari nilikuwa nimeshachoka kabisa na kitu kinachoitwa mapenzi kwa sababu nilikuwa nimeshakutana na wanaume wengi katika mahusiano ila atimaye wote waliniacha na kuoa wanawake wengine.


Nakumbuka kuna kijana alikuwa anaitwa Nelson, tulipendana sana kwa miaka miwili hadi ikafika hatua akanitambulisha kwa wazazi wake na kujitambulisha kwa wazazi wangu na baada ya muda akaoa mwanamke mwingine na kuniacha mimi nikichekwa mtaani kwetu.

Ila Revokatus alikuwa amenivutia sana, ndipo niliamua kuwa nikutane naye tuongee ila akinitongoza sitamkubali kwa sababu nafanya kazi nzuri ambayo inanipatia fedha ya kujikimu kimaisha pia nilikuwa sitaki tena mambo ya kunisumbua.


Siku ya Jumapili ilipofika, hatimaye nikakutana na Revokatusi, baada ya kula na kunywa aliniomba niwe mchumba wake, ila kabla ya kumaliza kuongea hilo nilimkatalia kisha nikatoka zangu pale na kurudi nyumbani.

Nilipofika nyumbani alinipigia simu na kuniomba msamaha kama amenikwaza sehemu yoyote, alizidi kuniambia kuwa anahitaji kunioa nimpe nafasi hiyo.

Kwangu ikawa ngumu nilivyokuwa nakumbuka wanaume wengine walivyonifanyia ila nikitazama upande wa pili tayari nina miaka 38, sina mtoto, sina mume nikaamua nitoe uwamuzi wa kumkubalia Revokatusi ombi lake.

Basi miezi mitatu katika mahusiano na Revokatusi, naye alibadilika sana, hata simu yangu akawa hapokei tena baada ya kunitambulisha kwao nami kumtambulisha kwetu!.

Sikuweza kujua nilikuwa na shida gani hasa hadi wanaume wanikimbie kiasi hiki, nilifikia hadi hatua ya kufikiria kujitoa uhai ila nashukuru rafiki yangu Imelda aliniambia kuwa African Doctors wana uwezo wa kunisaidia kutatua shida yangu na kumfanya Revokatusi abadilishe mawazo yake.

Niliwasiliana na African Doctors kwa namba +254 769 404965 na kumueleza mwenendo wa maisha yangu tangu mwanzo ndipo akasema nimipigie simu baada ya dakika 35 hivi.

Muda wa dakika 35 ulipotimia nilipiga simu ndipo African Doctors akaniambia kuwa mwenye shida ni mimi siyo wanaume ninaopendana nao.

Aliweza nisaidia kisha akaniambia kuwa baada ya masaa 72 tu nitapata majibu kutoka upande wa Revokatusi, kesho yake asubuhi Revokatusi alikuja kwangu na kuniomba msamaha na kuniambia hata yeye hajui kwa nini alikuwa hataki kupokea simu yangu na kwa sasa tumeoana na maisha yetu vizuri tu.

Kumbuka African Doctors wanaweza kukufanya kupandishwa cheo kazini, kupata kazi, kupata mpenzi wa ndoto zako, wanatibu magonjwa sugu kama Sukari, Pressure na Kisonono.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com.

Mwisho.

 

 

 

 


Share:

NILIPOTEZA MATUMAINI BAADA YA KUVUNJWA MOYO NA MWANAMKE WA NDOTO ZANGU

Baada ya mahusiano yetu ya muda mrefu sana na mwanamke aliyekuwa wa ndoto zangu ambaye nilianza kumpenda angali bado mdogo nikaamuwa kumsomesha kwa jasho langu mwenyewe , kumtunza na hata kumpangia chumba chakuishi pale alipofika ngazi ya juu ya elimu Chuo kikuu Dar-es-salaam lakini bado hakuuona upendo wangu wa dhati na kuamuwa kunisaliti waziwazi kwa macho makavu bila ya kunificha chochote kile.


Kwa kweli niliteseka sana baada ya kuyajua hayo na kuhangaika kwa kukosa amani na msongo wa mawazo hata kazini sikuwa nikienda tena nikajiapiza sitokuja tena kuoa na kumpenda mwanakke yoyote yule lakini ni daktari BAKONGWA ndiye aliyeniponya kwenye janga hilo la msongo wa mawazo na kunusurika kufukuzwa kazi kwa matendo yangu ambayo kwakweli hayakuwavutia mabosi pale kazini kwetu.


Ni yeye huyohuyo mzee mwenye nambari zake za whatsapp +24399067777ndiye aliyenirudisha kwenye hali yangu ambaye kwakweli ilinitesa sana kwa muda mrefu na kunifanya niwachukie wanawake wote nilio waona mbele zangu.

Nilimpenda sana Devotha ambaye kila alichokisema nilihakikisha nimekifanya kwa , nililipa ada kwa wakati ni kafanya kila alilosema hata pale aliposema tusishiriki tendo la ndoa mimi na yeye nilikubali na kungoja wakati ambao yeye aliouna ni sahihi kwake, nilimlazimisha nikawafahamu wazazi toka mapema niliona dalili za yeye kukataa lakini nilidanganywa na upendo wangu baada ya kumlazimisha sana nilifika mpaka kwao kwa mzee Baraka nikatowa posa na kishika uchumba.


Tabia za devo hazikubadilika aliendelea kuringa lakini nikajitia nguvu kwa kuwa angalau amekaribia kumaliza masomo sasa majukumu yangu makubwa yatakuwa yamekwisha na nitapata nafasi nzuri ya mimi kuishi nay eye kama mume na mke.


Nilishangazwa sana na tabia zake kubadilika kipindi cha mwishoni kabis kabla hajamaliza chuo alianza kuzikata simu zangu kila nilipompigia na wakati mwingine alikuwa akijibu majibu ambayo kwa kweli sikuyapenda, nilijaribu kuwatafuta marafiki zake wakaribu nikasema nao walijibu kwa aibu kuhofia mapenzi yetu kuwa kwa kweli evo kabadilika sana sio yule niliyemfahamu mimi wa zamani.

Devotha alikuwa akitoka kimapenzi na mwalimu wake wa pale chuoni baada ya kufuatilia sana niligundua hilo , iliniumiza sana nilipokaa naye kwa hasira alinijibu wazi hakuwahi kunipenda na wala hawezi kunipeda na aliniambia tayari yuko na ujauzito wa mwanaume anayempenda.


Majibu yale yaliniumiza sana nikapata msongo mkubwa wa mawazo nilipowashirikisha rafiki zangu wakasema yatapita nijihusihse sana na maswala ya kikazi na mazoezi ya mwili ingeweza kunipunguzia kumuwaza lakini nilishindwa kabisa , miezi mitano baadaye nilichanganyikiwa kabisa nikaanza kuhudhuria kazini pale nilipojisikia nikawa mtu wa kushinda kwenye glosari na vilabuni lkila nilichokuwa nimekitengeneza kiliharibiwa na Devotha .


Kazini walinipa onyo zaidi ya mara tatu juu ya tabia yangu ya ulevi lakini haikukoma, niliharibika kwa sababu za Devotha, likizo mmoja ya kikazi alipokuja kunitembelea dada yangu alishangazwa sana na tabia ile hakuamini nilimueekeza nini chanza na kisha kunifahamisha kwa daktari bakingwa nidye ,huyo aliyenitengeneza ni kawa sawa, nilimpigia kwenye nambari zake za whatsapp kisha tukazungumza nikamuelekeza kila hatua nilizopitia na hali yangu ya sasa yeye akasema hilo limekwisha kwa kuwa nimelifikisha sehemu sahihi.


Bakongwa akanitengenezea dawa nikamtumia pesa amabyo aliihitaji kisha baada ya siku hiyo niliupokea mzigo wa dawa uliokuwa na maelekezo ya kutumuia dawa ile kwa siku mbili, nilifanya hivyo na mara baada ya kumaliza nilishangazwa na matokeo yake mazuri ninakushukuru sana kwa dawa zako sahihi na za haraka asante sana daktari https://bakongwadoctors.com .


Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU JUNI 262023



























Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger