Na Dotto Kwilasa, DODOMA
Mganga mfawidhi wa hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma, Dk. Ernest Ibenzi amethibitisha kupokea miili ya wanafunzi wawili wa shule ya Sekondari ya Mpalanga wilayani Bahi mkoani Dodoma waliokufa katika ajali ya lori aina ya Canter lenye namba T519 DSY walilokuwa wamepanda kupinduka wakati wakiwa safarini kwenda kwenye kambi ya michezo ya Umiseta.
Akizungumza na waandishi wa habari Dk.Ibenzi pia amethibitisha kupokea majeruhi 31 wanaohusishwa na ajali hiyo na kwamba wanaendelea kupata matibabu katika hospitali ya rufaa.
“Majira ya saa 7:30 tulipokea majehi hao wanafunzi kutoka shule ya sekondari Mpalanga na wanne kati yao wamefanyiwa upasuaji na wengine walikuwa na majeraha madogo ya majera wanaendelea vizuri”amesema Dk. Ibenzi
Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo waliolazwa katika hospitali ya Rufaani ya mkoa wa Dodoma wameeleza chanzo Cha ajali hiyo kuwa ni mwendokasi .
Amani Yobwa, mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Mpalanga, alisema walipanda usafiri huo kwenda kushiriki michezo ya Umiseta ambayo ilikuwa imepangwa kufanyika katika kijiji cha Magaga.
“Tulipakiwa kwenye gari lile asubuhi ili kuwahi michezo ya Umiseta lakini tulipofika katika kijiji cha Chidilo kuna eneo kuna kona kali dereva alipokata kona gari likapoteza mwelekeo na kupinduka na kusababisha wenzetu wawili kufa na sisi kujeruhiwa’alisema Yobwa
Magreth Masinga mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule hiyo alisema sababu za ajali hiyo ni mwendo kasi na tatizo kubwa ni aina ya gari walilotumia ambalo siyo kwa ajili ya abiria.
“Kama tungepanda gari la abiria kusingekuwa na shida kama hii kwani alipokata kona wanafunzi waliyumba na kulala upande mmoja na kusababisha kupinduka kwa gari hivyo tunaomba magari ya mizigo yasitumike kubeba abiria”alisema Masinga
Mmoja wa wazazi wa wanafunzi waliopata ajali hiyo Manase Matonya, alisema wanaiomba serika kwenye matukio mbalimbali ya wanafunzi kuacha matumizi ya magari ya mizigo kwa ajili ya kubeba abiria.
“Siku hizi hata minadani abiria hawapandi magari ya mizigo lakini tunashangaa leo watoto wetu kupanda gari la mizigo kwa ajili ya kwenda kwenye michezo ya Umiseta”alisema
Aidha,taarifa iliyotolewa na uongozi wa wilaya ya Bahi inasema kuwa ajali ya gari hilo imetokea kijiji cha Chidilo majira ya saa 5 Asubuhi Kata ya Mpalanga,Tarafa ya Chipanga.
Taarifa hiyo inaeleza kuwa gari ilikuwa aina ya canter ilikuwa imebeba jumla ya wanafunzi 46 wakitokea Mpalanga Sekondari kwenda Magaga Sekondari kwenye michezo ya Umiseta.
“Wanafunzi wawili wa kike wamefariki dunia hapohapo majina yao ni Neema Yohana Hoya (17) kidato cha tatu mkazi wa Chidilo na Magreth Juma (19) mkazi wa Nholi na wanafunzi 31 wamepelekwa hospitali ya Rufaani Dodoma kwa matibabu zaidi na wengine 14 wamepatiwa matibabu zahati ya Mpalanga”inasema sehemu ya taarifa hiyo
---------- Forwarñded
Thursday, 11 May 2023
JINSI NILIVYOWEZA KUWA MWANASOKA TAJIRI KENYA
Nilikuwa kijana ambaye nilizaliwa katika familia ya walalahoi kwenye kauti ya Migori, Kenya, ndoto yangu ilikuwa ni kuwa mwanasoka maarufu nchini, hiyo ilikuwa ndio talanta yangu hasa.
Nilivutiwa na wachezaji kama vile Mbwana Samatta wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa barani Ulaya, wazazi wangu walinitia moyo kwani pia walifahamu kuwa iwapo ningefaulu kwenye soka maisha yao pia yangebadilika.
Nilianza kufuatilia usajili wa wachezaji katika vilabu mbalimbali nchini na kila mara nilitemwa wakisema kuwa sikuwa na uwezo, hii ilikuwa ni mojawapo ya changamoto zilizonifanya kukaribia kukata tamaa.
Kadiri siku zilipoenda ndipo ndoto yangu ya kuwa mchezaji maarufu zilikuwa zinapotea, marafiki walinicheka kwani wengi wao walisema sikuwa na kipaji ingawa mimi nilijiamini sana kuwa nina uwezo huo.
Baba yangu siku moja alinieleza kuna tovuti (www.african-doctors.com) inaweza kunisaidia kufikia ndoto zangu kwani watu wengi wameweza kusaidika kupitia tovuti hiyo. Nilipitia kila kitu katika tovuti hiyo na kubaini kuna watu wengi wameweza kupata mafanikio kupitia wao, African Doctors.
Nilikusanya fedha ya nauli kwani nilitaka kufika katika Ofisi za African Doctors pande za Nakuru ili nipate usaidizi wao kwani ndoto yangu ya kuwa mwanasoka maarufu ilikuwa inanisumbua sana.
Kwa kweli African Doctors alinitabiria kuwa kipaji changu kilikuwa ni kucheza kabumbu, nilishangaa alivyojua lakini akanieleza kuwa ana uwezo huo.
Siku tatu baada ya kutoka kwa African Doctors, nilipata nafasi ya kuichezea klabu moja ya ligi ya Kenya, nilicheza kwa muda wa miezi nane hivi. Maisha yangu pamoja na wazazi wangu yalianza kubadilika kwa kasi, baada ya muda mchache nilipata klabu China na hapo nililipwa mshahara mzuri tu.
Kumbuka African Doctors wanasuluhisha mizozo ya ndoa, migogoro ya mashamba n.k, wanatibu magonjwa kama kisukari, kisonono, presha, upungufu wa nguvu za kiume na mengineo.
Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com.
Mwisho.