Friday, 5 May 2023
TAASISI YA HOLLYSMILE, WASHINDI WA TUZO MDAU SHUPAVU WATOA ZAWADI KWA WAGONJWA HOSPITALI YA MKOA SHINYANGA
HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA TANGA BOMBO KUNUNUA BASI LA WATUMISHI.
Meza kuu wakifuatilia matukio mbalimbali katika maadhimiosho hayo
Katibu wa Tana Tawi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Mwanaisha Nyangasa akisoma risala |
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo Dkt Juma Ramadhani akizungumza wakati alipotembelea mabanda mbalimbali |
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo Dkt Juma Ramadhani kulia akigawa zawadi kwa mgonjwa aliyelazwa kwenye Hospitali hiyo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wauguzu Duniani |
Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo Andrew Tusiwe akigawa zawadi kwa wagonjwa katika hospitali hiyo |
Maandamano ya wauguzi kutoka Kituo cha Toyota kuelekea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo ikiwa ni kuadhimisha siku ya wauguzi duniani
Wauguzi wakianza maandamano ikiwa ni siku ya maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani
Mkuu wa Idara ya Tehama katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo William Masika akicheza wakati wa maandamano hayo ya siku ya wauguzi duniani yalipopokelewa |
Mkuu wa Idara ya Tehama katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo William Masika akicheza wakati wa maandamano hayo ya siku ya wauguzi duniani yalipopokelewa |
Sehemu ya wauguzi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa maadhimisho hayo |
Na Oscar Assenga,TANGA
KAIMU Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo Dkt Juma Ramadhani leo amewaongoza wauguzi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa kwenye maaadhimisho ya siku ya Wauguzi Duniani ambapo kilele chake kitafanyika Mei 12 Jijini Mwanzasiku ya wauguzi Duniani.
Maadhimisho hayo yalianza na maandamano kutoka eneo la Toyota mpaka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo kulipofanyika kilele cha maadhimisho hayo
Akizungumza wakati wa maadhimisho hayo,Dkt Juma alisema kutokana na uwepo wa changamoto ya usafiri kwenye mkoa huo ambayo ilielezwa wakati wa risala ya wauguzi hao alieleza mipango ya uongozi wa hospitali hiyo kwenye bajeti zijazo na jitihada walizoweka kama taasisi wana mpango wa kununua basi ili kupunguza adha ya usafiri kwa watumishi.
Dkt Juma alisema basi hilo kwa ajili ya Hospitali hiyo ambalo linaweza kupunguza changamoto ya uchelewaji kazini kutokana na hali hiyo na kwamba tayari wameshaliona na wameliweka kwenye mpango wao kuweza kulitatua
“Hili la changamoto ya kuchelewa kazini kutokana na changamoto ya usafiri kwenye mkoa wetu hilo tumeliona kama uongozi wa Hospitali kwenye bajeti zijazo na jitihada tulizowekeza taasisi wana mpango wa kununua basi kwa ajili ya hospitali ambalo linaweza kupunguza changamoto ya uchelewaji kazini “Alisema Kaimu Mganga Mfawidhi Dkt Juma.
Awali akisoma risala hiyo Katibu wa Tana Tawi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Mwanaisha Nyangasa alisema maadhimisho hayo ni kutafakari na kufauta nyayo za mwanzilishi wa huduma za uuguzi na ukunga Bi Florence Night Ngare.
Alisema wauguzi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo wamemuenzi kwa kutoa huduma mbalimbali wakati wa maadhimisho hayo ikiwemo za uchunguzi wa saratani ya kizazi na matiti kwa wakina mama ,uchunguzi wa kisukari na macho,shinikizo la damu,kuhamasisha uchangia damu ,upimaji wa VVU kwa hiari na sambamba na utoaji elimu ya afya na lishe kwa wateja mbalimbali
Aidha alisema pia katika maadhimisho hayo wametoa chanjo za Covid 19 ambapo wananchi waliohudumiwa tokea walipoanza maadhimisho hayo ni 154 ambao walihudumiwa kwa siku moja.
Hata hivyo alisema kwamba Ukunga ni kada muhimu sana katika kufanikisha utoaji wa huduma nzuri za afya kwenye jamii na unapozungumzia afya bora muuguzi ni sehemu sahihi ya kufanikisha kila mtanzania anakuwa na afya bora.
Alisema kwamba pamoja hayo kuna mafanikio makubwa ikiwemo mazingira ya kufanyia kazi yameboresha na miundombinu ya hospital na kuwezesha wanafanyakazi kufanya kazi kwenye mazingira mazuri.
Aidha alisema kwamba pia ni wauguzi kupata nafasi ya kujiendeleza kimasomo,wauguzi kupata motisha mbalimbali,kuongezeka kwa hamasa kwa wauguzi .
Akizungumzia changamoto wanazokabiliana nayo alisema kwamba changamoto kubwa ni upungufu wa watumishi idara ya ukunga na uuguzi kulingana na mahitaji ya jamii kutokana na kuongezeka kwa vitengo na idara ambazo wauguzi wanahitajika.
Alisema pia changamoto nyengine ni kuchelewa kufika kazini kwa watumishi kutokana na kuwepo kwa changamoto ya usafiri kwenye mkoa wa Tanga hivyo upo umuhimu wa uwepo wa usafiri.
Mwisho.
GONJWA LILILO NIKOSESHA NDOA ZA KIFAHARI
Ethan, ndiye alikuwa mwanaume wangu wa kwanza kumpenda naye pia akanipenda sana tumekuwa naye kwenye kipindi cha mahusiano na uchumba tukachunguzana na kujuwana vizuri kwa muda wa miaka mine bila ya yoyote yule kuona changamoto yoyote juu ya mwenzake.
Sasa kipindi kirefu kilikuwa kimepita na sisi tukakubaliana kama wapenzi ni muda sahihi wa kuwashirikisha wazazi wa pande zote mbili lakini kabla ya kufanya hivyotukaamuwa tupime magonjwa yote nilishangazwa sana na majibu yalitoka kuwa mimi ni mgonjwa wa ukimwi lakini cha ajabu Ethan mpenzi wangu hakuwa na ugonjwa huo, sikuelewa ni nini kinanitokea lakini nikajua kuwa mapenzi yangu na Ethan yameishia hapo na kweli kuanzia siku ile Ethan hakuwahi kunitafuta tena hata jumbe zangu zote nilizomtumia hakujibu yoyote ile.
Siku zikasogea nikaamua nikapime mwenyewe baada ya wiki majibu yakaja kuwa siko na Ukimwi na mimi ni mzima wa afaya nilijaribu kumtafuta ethan alijuwe hilo lakini sikumpata wala sikuwa kwenye akili yake tena.Nikapata mpenzi mwingine jina lake aliitwa Kelvin naye tukawa kwenye mahusiano kwa miaka miwili ila ilipofika wakati wa kupima ukimwi awamu hii nikiwa ninajiamini kwa kuwa nilikwisha kupima mara ya mwisho lakini maajabu akaja kwenye majibu nilikuwa muathirika tena wa ukimwi kwa mara nyingine ya pili.
Likanikondesha tena na kunipa mawazo naye Kelvin akaniambia kuwa hawezi kumuoa mwanamke muathirika pia akaniacha nikawa singo tena upya.
Nilikata tamaa nikajua kuwa mimi niwa kufariki nikaamua nikapime tena peke yangu tena hospitali tofauti nikakuta siko na ugonjwa wowote mimi ni mzima sio muathirika.
Kwa urembo wangu nikajua kuwa haitochukua muda nitapata mtu na kweli nilipata mwanaume mwingine upendo wake ulikuwa wa juu zaidi ya wote niliokuwa nao mwanzoni ilipofika wakati wa kupima tena nilikutwa mimi ni muathirika wa ugonjwa wa ukimwi.
Nikaamua nimwambie ukweli mpenzi wangu kuwa hali hiyo huwa inatokea nikipima na mtu ila nikipima mwenyewe nakutwa ni mzima siko na ugonjwa wowote ule.Kwa upendo wake wa dhati na kwa kujuana kwake na daktari BAKONGWA ambaye alimsaidia kupata ajira huko TRA akanishauri tumtafute kwenye nambari zake za whatsapp +243990627777.
Tukafanya hivyo daktari Bakongwa alifanya mambo yake kisha akaniambia kuwa hali hiyo ni ya kutengenezwa na aliyekuwa mpenzi wangu kipindi cha nyuma sana hakupendezwa na mimi kumuacha na kuamua kunifanyia ukimwi wa kutengenezwa ili nisiolewe.Daktari alinipa dawa ya kutumia na kujilinda ambayo nilitumia siku nne kisha tukaenda kupima tena hospitali ileile tuliyokwenda mwanzoni kila mmoja alishangaa hata madaktari nao walishangaa kuona mimi sio mgonjwa ni mzima wa afya sio muathirika nimepona.
Nakushukuru sana daktari kwa kunitatulia shida hii nisingeolewa na isingekuwa wewe nitakuja kukushukuru vizuri huko kwenye tovuti zako https://bakongwadoctors.com .