Thursday, 4 May 2023
MRADI UJENZI BWAWA LA MEMBE WAFIKIA ASILIMIA 45.83%.
WAUGUZI HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO TANGA WATOA HUDUMA ZA UPIMAJI KWA WANANCHI
Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo Andrew Tusiwe akiwa kwenye eneo ambaalo huduma za upimaji kwa wananchi zinaendelea kwenye Hospitali hiyo ikiwa ni kuelekea siku ya maadhimisho ya Wauguzi Duniani
Wananchi wa Jiji la Tanga wakipatiwa huduma ya upimaji katikati Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo Andrew Tusiwe
Wananchi wakiendelea kupata huduma mbalimbali
Wananchi wakiendelea kupata huduma mbalimbali
Na Oscar Assenga Tanga
WAUGUZI katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo leo wameanza kutoa huduma mbalimbali kwa wananchi ikiwemo utoaji wa Elimu ya Lishe Bora,utoaji wa chanjo ya Uviko 19,upimaji wa magonjwa mbalimbali ikiwa ni kuelekea siku ya maadhimisho ya sherehe ya wauguzi duniani inayo adhimishwa kesho Mei 5 mwaka huu.
Akizungumza leo Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo Andrew Tusiwe alisema kwamba watasherehekea siku ya wauguzi ambayo mwanzilishi wake Florence Nightingale; "Mwanamke wa Taa" ambaye alisimama kidete katika kuinua viwango vya uuguzi pamoja na kuwaelimisha Wauguzi kuwa na upendo kwa watu wenye uhitaji.
Tusiwe alisema kwa upande wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo wao wataadhimisha siku hiyo kwa kutoa zawadi kwa wagonjwa na kuwafariji.
Tusiwe alisema kwamba pia watafanya upimaji wa sukari,Presha,VVU na Satarani ya Shingo ya Kizazi, shinikizo la damu ,huku akitoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi ili kuweza kupima afya zao na kama kuna dalili za viashiria vyoyote aweze kupata huduma mapema.
Hata hivyo alitoa ushauri kwa wananchi ni muhimu wakajiwekea utaratibu mzuri wa kucheki afya zao mara kwa mara ili wanapogundulika na matatizo waanze kupata huduma za matibabu kwa haraka.
AOTA SEHEMU YA SIRI USONI KISA KUTEMBEA NA MKE WA MTU
Hata hivyo, rafiki yangu mmoja alikuwa analalamikia kwamba mke wake kila alipoenda katika dhehebu hilo alichelewa kurejea nyumbani, alirejea nyumbani usiku kwa madai alikuwa na mkutano wa faragha na kiongozi huyo.
Baada ya tabia ya mkewe kuzidi kuwa mbaya, tulimshauri amtembelee African Doctors kwa ajili ya ushauri na kumfanya mkewe kuwa mwaminifu na kutokuwa na mwanaume mwingine nje ya ndoa yao.
Basi alienda kwa African Doctors na akahudumiwa na kurejea nyumbani kwani alipewa hakikisho kwamba yeyote atayejaribu kula tunda lake basi atapata cha mtema kuni kwa wakati wowote.
Basi mke wake kama kawaida alienda katika dhehebu lile na hakujua kuwa mume wake alikuwa amemkinga kutoka nje ya ndoa, alirejea nyumbani mwendo wa jioni na mume wake alipomuuliza alipokuwa alisema kwamba alikuwa kwenye mkutano wa faragha na kiongozi yule.
Jumapili ilipofika waumini walishangazwa na kiogozi yule wa kidini kwani kila mara alikuwa anajikuna sehemu za siri wakati akitoa neno, ghafla hali ile ilimzidi na kutupa chini vitabu vyake ambavyo alitumia kufundishia.
Baadaye alianguka chini na kuanza kugaragara mithili ya mtu aliyekuwa anataka kufa, kilichoshangaza katika uso wake kuna kitu kama sehemu ya kike ya mwanamke kilijichora kitu kilichopelekea waumini wake kupigwa na butwaa.
Hadi hapo yule mwenye mke alijua fika kwamba siku za mtu aliyekuwa akila tunda lake zilikuwa zimefika, basi Richard alienda kwa kiongozi yule na kumuuliza iwapo alikuwa amewahi kutembea na mke wake.
Uzuri alikiri ni kweli aliwahi kufanya jambo hilo, basi alimpigia simu African Doctors na kumueleza kuhusu tukio hilo, African Doctors alimueleza kiongozi yule kuwa anapaswa kulipa Ksh40,000 ili hali yake iweze kurejea kama kawaida.
Mke wake alituma fedha zile kwa njia ya simu na hapo hapo akarejeshewa kwenye hali yake ya kawaida, tangu siku ile aliacha kuwa kiongozi wa dini na kuamua kuwa mkulima.
Kumbuka African Doctors anaweza kutibu magojwa kama vile kifafa, kisonono na mengineyo, anaweza kukukinga na maadui zako, kukuwezesha kupata kazi, kupandishwa cheo kazi na hata kuongezewa mshahara.
Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com.
Mwisho.
Wednesday, 3 May 2023
MKE ASHINDWA KULINDA UNYUMBA KWA HEDHI ISIYOKOMA
Naitwa Aines kabla ya kuolewa niliishi kwa furaha sana na baada ya kuolewa siku za mwanzo wa ndoa yangu sikuzijua karaha nilizo hadithiwa na mashosti zangu kuhusu ndoa mpaka yaliponikuta, kwa kweli mwenye niliolewa nikiwa binti mdogo sana wa miaka ishirini na mmoja tena sikuwahi kuwa na mahusiano yoyote yale kabla ya mimi kuolewa kiufupi ni kwamba mume wangu ameniowa mimi nikiwa bado bikira simjuwi mwanaume yoyote tena kwa sheria za kwetu huko Songea kwa Wamwera nilifundwa na kukalisha kuyajua mambo ya ndoa.
Ndani ya ndoa sikuwahi kubahatika kupata mtoto kabla ya sisi kutambulishwa kwa daktari BAKONGWA , yaani mwanzoni ilikuwa ni rahisi na furaha tulifanya kila kitu ndani ya ndoa na mume wangu ariridhika kwa ufundi niliofundwa kwetu kila mtindo alioutaka na kila mahali alipotaka nilimpa.
Kama wengi wanavyojua kwa sisi wanawake huwa tunaingia hedhi kutowa uchafu na taka za mwiili –hapa ndipo hali yangu ilianza kubadilika na kuwa mbaya zaidi ndoa ikawa chungu kwangu nikaichukia kwa kiasi kikubwa mno, mwanzoni nilidhania kuwa ni kawaida au labda kwa sababu za mimi kutokuzoea kuwa na mwanamume kila siku lakini haikuwa hivyo.
Kipidi cha nyuma nilikuwa nikiingia hedhi kwa siku tatu tu lakini nilishangaa awamu hii nilipoingia hedhi kwa zaidi ya siku tatu nikafikiri labda kwa siku ya nne hali itakwisha lakini ilikuwa ndio mwanzo wa hedhi ikaendelea hali ile kwa zaidi ya mwezi mzima mume wang akafanya mpango tukaenda hospitali wao wa kafikiria kuwa ilikuwa mimba imeharibika wakatupa dawa na kutusafisha lakini baada ya siku ne tu hali ile ikarudi tena damu zikaanza kuvuja upya.Tukaweka ratiba za kuwaona madaktari wa uzazi lakini hata kwao pia hawakujuwa nini kinaendelea zaidi ya kutupa dawa ya kujisafisha na kufikiria kuwa labda mimi nilikuwa nimetowa mimba au kuharibika yenyewe.
Hasira ndani ya ndoa zikaongezeka sasa ikawa ni zaidi ya mwaka mzima ninavuja damu na ume wangu hajapata unyumba kutoka kwangu nikaona dalili za kila aina kuwa mume wangu anachepuka.Aliamuwa kunidhihirishia hili na kuniambia kuwa anataka aowe mwanamke wa pili nyumba ndogo kwa kuwa mimi simpi haki yake ya ndoa.
Msongo wa mawazo ukaongezeka na kila nilipofikiri kuwa hata mtoto naye sina nikaona ni mwisho wa ndoa yangu kabisa, zaidi ya miaka miwili sasa sikuwa nimefanya mapenzi na mume wangu na dmau hazikuisha kuvuja.
Kwa kuogopa aibu za watu na maneno ya walimwengu mtu pekee wa karibu niliyemshirikisha hili ni wifi yangu ndiye aliyenitambulisha kwa daktari bakongwa na kunipa nambari zake za whatsapp +243990627777 akanishauri nimtafute akisema yawezekna akatatuwa shida niliyokuwa nayo.
Nilifanya hivyo na kwenye tovuti zake https://bakongwadoctors.com niliandaa miadi naye , daktari alinisikiliza kwa makini kisha akaniambia kuwa hedhi ile ni y kutengenezwa na maadui zangu waliokuwa wapenzi wa mume wangu kipindi cha nyuma, alinipa dawa ya kutumia wiki nzima kwa kuwa tatizo langu lilikuwa limekomaa sana ila baada ya kama siku tisa nilikuwa nimekwisha ona mabadiliko hedhi ilikata hakukuwa na damu yoyote iliyoendelea kutoka kwangu.
Furaha kwenye ndoa yetu ilirui upya nikamshirikisha mume wangu na kumueleza kuwa aliyekuwa ametufanyia hayo ni huyo mke wa pili ambaye alipanga kumuowa hakika bila daktari bakongwa tusingejuwa haya wala kupona, asante sana daktari bakongwa.
Video Mpya Kali balaa!! NTEMI OMABALA 'Ng'wana Kang'wa' - MERINA
NAIBU WAZIRI ASISITIZA KAMPUNI ZA MADINI KUTOA FURSA ZA AJIRA, ZABUNI KWA WATANZANIA
BENKI YA CRDB YAPATA LESENI KUFANYA BIASHARA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO (DRC)
Tuesday, 2 May 2023
KATAMBI AFAFANUA MFUMO WA KUWALIPA KIINUA MGONGO WAZEE
MSANII WA NYIMBO ZA ASILI 'DAWA DAWA' ATUPWA JELA KWA KUMTUKANA RAIS KWENYE WIMBO WAKE
WAZIRI WA KAZI CHARLES ENGOLA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI
NTOBI : PUUZENI HICHO KIPEPERUSHI KINACHOSAMBAA MTANDAONI
SASA NAPELEKA MOTO HATARI BAADA YA KUACHWA NA WAKE WAWILI
Mimi ni mwanaume ambaye naheshimu na kumjali mwanamke yoyote katika dunia hii, naheshimu sana jinsia ya kike kwa sababu Baba yangu mzazi alimuacha Mama yangu nikiwa bado mdogo kabisa, Mama yangu alijitahidi kadiri awezavyo kunitunza.
Mwaka 2015 nilipata mke, kutokana na malezi ambayo nilipata kwa Mama yangu mzazi nilimuheshimu, kumpenda na kumjali mke wangu. Nilifanya kila kitu niwezacho kwa ajili ya kumfurahisha mke wangu ila hayo yote yakawa bure kwani mwaka 2016 aliniacha bila sababu yoyote.
Haikuchukua muda nilipata mwanamke mwingine kutoka mkoa wa Mara, pia nilimpenda mke wangu wa pili kadiri niwezavyo hadi ilifikia hatua mke wangu ananikosea nashindwa kusema kisa naogopa aibu endapo akiondoka kama mke wangu wa kwanza.
Maisha yaliendelea pole pole ila baada ya miezi sita mke wangu akaanza tabia ya kutoka nje ya ndoa jambo ambalo liliniumiza sana kama mume wake.
Nilimkalisha chini na kumuuliza kitu gani amekosa kwangu hadi anaanza kutembea na wanaume nje na kunivunjia heshima, ndipo kwa kinywa chake akasema kuwa kitandani sijiwezi, hivyo mwili wake kuna kitu unakosa ndio maana yeye analala na wanaume wengine nje.
Moyo wangu uliumia sana ila sikuweza kukataa kwa sababu kuna muda hata mimi nilikuwa nahitaji kumridhisha ila uwezo wa mashine yangu kukaa uwanjani muda mrefu ulikuwa ni mdogo.
Nilikuwa najikuta kwa wiki naweza kuwa uwanjani mara mbili na kupiga bao mbili tu, zaidi nilimuomba mke wangu anivumilie, lakini mke wangu kipenzi alifikia hatua ya kuondoka japo niliweza kupata mtoto moja kutoka kwake.
Kwa kuwa nilikuwa nimeisha pata mtoto kutoka kwa mke wangu wa pili hivyo sikuwa na mawazo ya kutafuta mwanamke mwingine zaidi ya kumuhudumia mtoto wangu.
Maisha yangu yaliendelea vizuri ila kila siku moyo wangu ulikuwa unaniuma sana haswa nilipokuwa naalikwa katika sherehe tofauti na kadi yangu inakuja imeandikwa kuwa nahitajika na mke wangu.
Kutokana na heshima niliyokuwa nayo katika jamii na kazini kwangu, kitendo cha kutokuwa na mwanamke ni jambo ambalo lilikuwa la kushangaza.
Siku moja nikiwa natoka ofisini na rafiki yangu mmoja nilimueleza kinachosababisha wanawake kuniacha, ndipo akaniambia kuwa kuna mtaalamu ambaye anamfahamu anaweza nisaidia ila yupo nchi jirani ya Kenya. Niliomba mawasiliano ya African Doctors na kuwasiliana naye.
Kwa haraka sana niliweza kuongea na African Doctors kisha nikamuomba kufika ofisini kwake, alipangia siku ambayo naweza kumuona, siku ilipofika niliweza kufika ofisini kwake kisha nikapewa dawa na kurudi kwetu Tanzania.
Nilitumia ile dawa kwa siku 14 tu, ndani ya hizo siku mashine yangu kila mara ilikuwa inahitaji kuwa uwanjan kwa ajili ya mechi ya kukata na shoka.
Siku ya kwanza kuingia uwanjani kweli hata mimi nilikubali maana tangu nizaliwe nilikuwa sijawai kuwa uwanjani kwa dakika 90 na zaidi kuweza kucheza mechi tatu ndani ya usiku mmoja.
African Doctors alinieleza kuwa wanashughulika mambo tofauti hasa yanayotokea katika jamii zetu kila siku kama kumrudisha mpenzi aliyekuwacha, kupata mpenzi wa ndoto zako, kusafirisha nyota yako na kurejesha furaha, upendo na amani katika familia.
Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com.
Mwisho.