Tuesday, 14 March 2023
MWANAUME AUAWA AKIJARIBU KUMUOKOA JAMAA ALIYEKUWA ANAPIGWA NA MKE
KAMATI YA SIASA CCM IMESELA YATISHWA HALI MBAYA YA VYOO SHULE YA NYIKA...YATOA MAAGIZO
Monday, 13 March 2023
WANAFUNZI WA KIKE 96 WA SHULE ZA SEKONDARI KUPATIWA MAFUNZO YA TEHAMA DIT
Naibu Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam Taaluma (DIT), Utafiti na Ushauri wa Kitaalam Prof.Ezekiel Masige Amri akifungua Mafunzo ya Siku Tano (5) ya TEHAMA kwa wanafunzi 96 wa kike wa kidato cha tatu shule za Sekondari nchini ambapo yanafanyika katika Ukumbi wa DIT kuanzia leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kituo cha Umahili wa Tehama DIT, Dkt.Petro Pesha akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Mafunzo ya Siku Tano (5) ya TEHAMA kwa wanafunzi 96 wa kike wa kidato cha tatu shule za Sekondari nchini ambapo yanafanyika katika Ukumbi wa DIT kuanzia leo Jijini Dar es Salaam.
Bw.Alexius Revocatus Kagunze kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Mafunzo ya Siku Tano (5) ya TEHAMA kwa wanafunzi 96 wa kike wa kidato cha tatu shule za Sekondari nchini ambapo yanafanyika katika Ukumbi wa DIT kuanzia leo Jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Bw.Abraham Mangesho akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Mafunzo ya Siku Tano (5) ya TEHAMA kwa wanafunzi 96 wa kike wa kidato cha tatu shule za Sekondari nchini ambapo yanafanyika katika Ukumbi wa DIT kuanzia leo Jijini Dar es Salaam.
Badhi ya wanafunzi wa Kidato cha tatu Shule za Sekondari nchini wakiwa katika ufunguzi wa Mafunzo ya Siku Tano ya TEHAMA kwa wanafunzi 96 wa kike, Mafunzo ambayo yanafanyika katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Jijini Dar es Salaam.KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAELEKEZA LUGHA ZA KIINGEREZA NA KISWAHILI KUTUMIKA WAKATI WA UTUNGAJI WA SHERIA .




Picha : VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE LA AFRIKA VIKIENDELEA LEO MACHI 13,2023
JIPATIE MGAO WA TSH 3M MERIDIANBET UKIJISAJILI NA KUCHEZA
Jisajili, weka pesa katika akaunti yako na cheza moja ya sloti bomba kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, uwe mmoja ya washindi wa mgao wa bonasi wa TZS 3,000,000 kwaajili ya kucheza michezo mbalimbali katika tovuti yetu. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Jisajili kwenye APP au tovuti ya www.meridianbet.co.tz kuanzia tarehe 08.03.2023 mpaka tarehe 31.03.2023, na uweke angalau TZS 5,000 na soka na michezo ya kasino ya mtandaoni ujiwekee nafasi ya kushinda bonasi ya pesa ya TZS 1,000,000. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Unavyoweka pesa zaidi, kubashiri kwa odds kubwa na kuzungusha – nafasi ya kushinda moja ya zawadi zetu inaongezeka. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Zawadi zitatolewa kama ifuatavyo:
Nafasi ya 1 – TZS 1,000,000 Bonasi ya pesa
Nafasi ya 2 – TZS 500,000 Bonasi ya pesa
Nafasi ya 3 – TZS 300,000 Bonasi ya pesa
Nafasi ya 4 – TZS 200,000 Bonasi ya pesa
Nafasi ya 5 mpaka 24 – TZS 50,000 Bonasi ya pesa
· Promosheni itadumu kuanzia tarehe 08.03.2023 mpaka tarehe 31.03.2023 saa 5:59 usiku
· Washindi watatangazwa tarehe 01.04.2023
· Kwa kujisajili na www.meridianbet.co.tz wateja watakuwa wamekubaliana na vigezo na masharti ya promosheni.
· Ofa hii ni kwa ajili ya mchezaji mmoja au IP adress mmoja pekee.
· Meridianbet wakali wa kasino ya mtandaoni wana haki ya kutotoa zawadi, kusitisha au kubadili sheria za promosheni wakati wowote.


















