Sunday, 2 October 2022

MJUMBE WA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM RAIS DKT. MWINYI ASHIRIKI UCHAGUZI WA CCM WA VIONGOZI WA NGAZI YA WILAYA

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Ndg. Talib Ali Talib na Viongozi wengine alipowasili katika viwanja vya Afisi ya...
Share:

TANESCO DODOMA YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WATEJA KUHUSU UTARATIBU WA KUPATA HUDUMA ZA UMEME

Afisa Uhusiano Tanesco Mkoa Dodoma Sarah Libogoma ,akizungumza na wananchi wa Kata ya Nala Mtaa wa Seguchini Mkoani Dodoma wakati wa kampeni ya uelimishaji juu ya huduma za TANESCO zilizofika mitaa hiyo kupitia mradi wa umeme wa REA. WANANCHI wa Mtaa wa Seguchini wakimsikiliza Afisa Uhusiano...
Share:

WAZIRI DKT MABULA AWATAKA WAKURUGENZI HALMASHAURI KWENDA NA KASI YA RAIS SAMIA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza wakati wa kuhitimisha Kikao kazi kilichowaunganisha wakurugenzi wa Halmashauri na watalaam wa Sekta ya Ardhi nchini kilichofanyika jijini Dodoma Oktoba 1, 2022. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Dkt Allan Kijazi na kulia...
Share:

SERIKALI YAONYA UBADILISHAJI MATUMIZI YA ARDHI BILA SABABU ZA MSINGI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza katika Kikao kazi kilichowaunganisha wakurugenzi wa Halmashauri na watalaam wa Sekta ya Ardhi nchini kilichofanyika jijini Dodoma Oktoba 1, 2022. Sehemu ya washiriki wa kikao kazi kilichowaunganisha wakurugenzi wa Halmashauri...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI OKTOBA 2,2022

...
Share:

Saturday, 1 October 2022

KARIBU BUILDING SOLUTION DESIGNING KWA HUDUMA ZA UCHORAJI RAMANI ZA NYUMBA

 ...
Share:

SAUTI PROGRAMU KUZALISHA MIFUGO BORA KWA MAHITAJI YA SOKO LA NDANI NA NJE YA NCHI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki (wa pili kushoto) akizungumza na vijana waliochaguliwa kujiunga kwenye vituo atamizi (hawapo pichani) wakati alipotembelea Chuo cha Mafunzo ya Mifugo (LITA) Kampasi ya Mabuki mkoani Mwanza ambapo amewaeleza vijana hao malengo na matarajio ya serikali...
Share:

TAMISEMI NA WATAALAMU SEKTA YA ARDHI WATAKIWA KUJIPANGA KUTATUA CHANGAMOTO ZA ARDHI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza katika Kikao kazi kilichowaunganisha wakurugenzi wa Halmashauri na watalaam wa Sekta ya Ardhi nchini kilichofanyika jijini Dodoma Oktoba 1, 2022. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Dkt Allan Kijazi na kushoto ni Katibu...
Share:

SAMAF NA ITEL ZAUNGANA KURUDISHA TABASAMU KWA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU CHA AMANI NA MIHAYO

Na Mwandishi wetu,Morogoro  UMOJA wa waandishi wa habari wanawake Dar es Salaam chini ya asasi ya sauti ya matumaini Foundation SAMAF kwa kushirikiana na Kampuni ya Simu ya Itel  wametembelea Kituo cha kulelea watoto yatima wenye ulemavu na wanaoishi katika mazingira magumu cha Amani...
Share:

MGODI WA BUCKREEF WASHIRIKI MAONESHO YA MADINI GEITA -2022

Afisa Usalama wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu Buckreef Charles Kafuku (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo kwa mgeni aliyetembelea Banda la Kampuni hiyo Bw. Roy Mwinga (wa pili kulia) aliyemuwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara wa Zambia katika Maonesho ya Madini yanayofanyika Mkoani Geita. (PICHA...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger