Wananiita Priscilla Kishama na bwanaangu ni mfanyabiashara mashuhuri ambaye ana magari za abiria nyingi mno na kwa siku yeye hutengeza hela nyingi anazoziweka kwa hazina ya benki.
Kwa kweli sisi ni matajiri! Lakini kumbuka kuwa tulipopatana naye alikuwa mtu maskini asiyejiweza; hata chakula...
Mkurugenzi wa Idara ya Sheria Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Michael Luena akizungumza katika kikao Kazi na Mafunzo cha Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba nchini kinachoendelea mkoani Tanga tarehe 4 April 2022
Sehemu ya Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya wakiwa...
Na Alex Sonna
SIMBA na RSB Berkane zimetinga kibabe hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kupata ushindi katika mechi zao za mwisho Kundi D.
Simba akicheza uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam wameichapa US Gendarmerie mabao 4-0 bao la kwanza...
Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja (NIC), Bw.Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa mbio za Bima marathon za kilometa 21 kwa uppande wa wanaume zilizofanyika leo Aprili 03,2022. Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja (NIC), Bw.Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi zawadi...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula (Kulia) akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdlah Ulega mara baada ya kutua na helikopta mkoani Tanga wakati timu ya Mwaziri wa Wizara za Kisekta ilipokwenda kutoa mrejesho wa utatuzi wa migogoro ya matumizi ya ardhi...