Saturday, 2 April 2022

OJADACT, ERC WATOA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI ZA UCHOKONOZI KWENYE UHALIFU WA MAZINGIRA

Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Mhe. Yonas Alfred  akifungua Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu  wa masuala ya uhifadhi wa mazingira. Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi...
Share:

MUME MWENYE HASIRA AMUUA JAMAA ALIEMFUMANIA AKIRARUA TUNDA LAKE LIVE KITANDANI

Mume wa umri wa miaka 53 aliyapandwa na mori amemuua jamaa mwenye umri wa miaka 35 baada ya kumpata akirarua tunda lake. Ripoti ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ilifichua Edwin Komen aliuawa kwa kukatwakatwa Alhamisi, Machi 31, usiku huko Ukwala, Keringet,...
Share:

ALIYEKUFA, AKAZIKWA MWAKA 2021 ADAIWA KUFUFUKA

Binti Eurélia Manuel Benjamim Raia wa Msumbiji ambaye alidhaniwa kuwa amefariki dunia na ambaye mazishi yake yalifanyika mwezi Novemba mwaka jana ametokea kijijini kwao Lindi nchini Msumbiji. Eurélia Manuel Benjamim anatajwa kama Mtu aliyefufuka kutoka kwa wafu lakini yeye mwenyewe anasema alikuwa...
Share:

VILE BIBI YANGU ALIVYOANZA KUSHIKA MIMBA. NASHUKURU KIWANGA!

  Majina kamili naitwa Maish kutoka Mtopanga Tanzania nilikozaliwa yapata miaka ishirini na minane iliyopita. Nina Stori flani. Mwaka jana nilikutana na mrembo flani na nikampenda kisha tukaanza kuchumbiana na kuanza maisha kwenye chumba kimoja cha kukodisha tukaishi kama bibi na bwana. Maisha...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRILI 2, 2022

Magazetini leo Jumamosi April 2 2022 ...
Share:

Thursday, 31 March 2022

Breaking : HII HAPA ORODHA YA MAJINA YA MAKATIBU WA WAZAZI CCM NA BAADHI YA WATUMISHI WANAOKWENDA MAKAO MAKUU

KIKAO Maalum cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana Dodoma tarehe 30, Machi, 2022 pamoja na mambo mengine ikifanya uteuzi wa watendaji wa Jumuiya ya Wazazi ngazi ya wilaya.Sambamba na kufanya uhamisho kwa baadhi ya watendaji wa wilaya na makao makuu...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger