Friday, 1 February 2019

NANI HUDANGANYA ZAIDI KATI YA WANAUME NA WANAWAKE?

Ndiyo, wanaume huongopa zaidi ya wanawake, hayo ni matokeo ya utafiti mkubwa uliofanyika kuhusu udanganyifu. Taarifa za tafiti  565 zikihusisha watu 44,000 zilichakatwa na taasisi ya Max Planck na Technion za Ujerumani na Israel. Lakini,wanawake si wakweli kihivyo. 42% ya wanaume waligundulika...
Share:

WANNE WASHIKILIWA NA POLISI KWA MAUAJI,MWINGINE KWA KUMDHALALISHA RAIS MAGUFULI

Na Dinna Maningo, Tarime. Jeshi la Polisi mkoa wa Polisi Tarime / Rorya linamshikilia mtu mmoja kwa kosa la kumdhalilisha Rais John Magufuli kupitia mtandao wa Whatssap na  linawashikilia watuhumiwa wanne kwa kosa la mauaji. Kamanda wa Polisi mkoa wa Polisi Tarime/Rorya Henry Mwaibambe alisema kuwa januari,24, 2019 majira ya saa nne  polisi walifanikiwa kumkamata  Sabato Marwa kwa...
Share:

NYOKA WA AJABU AUA WATU WATANO SUMBAWANGA..HUUA SIKU ZA JUMAPILI

Na Gurian Adolf -Sumbawanga Maofisa Maliasili wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wameamua kushirikiana na mtaalamu wa tiba za jadi wa kijiji cha Kinambo, Tarafa ya Milepa, kumsaka nyoka wa ajabu anayedaiwa kuua watu watano kwa nyakati tofauti kijijini hapo.  Diwani wa Kata...
Share:

MBUNGE ATUPWA JELA KWA KUCHAPISHA UONGO TWITTER

Mbunge na aliyekuwa waziri wa zamani wa michezo Ivory Coast, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kusambaza taarifa za uongo kupitia ukurasa wake wa Twitter. Alain Lobognan aliandika katika ukurasa wake wa Twitter tarehe 9 Januari kuwa mkuu wa upelelezi ametoa tamko la kukamatwa kwa...
Share:

Picha : WATAFITI WATAKIWA KUONGEZA NGUVU KATIKA UTAFITI WA UGONJWA WA MALARIA

Mtaalamu wa magonjwa ya Damu, Vinasaba na Saratani Professa Lucio Luzatto wa Chuo cha MUHAS akiwasiliasha mada katika kongamano la Kisanyansi la Kitafiti ambalo Mada ilikuwa ni Mchango wa Chuo Kikuu MUHAS katika mapambano dhidi ya Malaria Tanzania lililofanyika leo jijini Dar es Salaam. Picha zote...
Share:

CHADEMA WAMJIBU NDUGAI,WADAI ANAONGOPEA BUNGE NA UMMA WA WATANZANIA

Ndugu wanahabari na watanzania wote, bila shaka mmemsikia Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Job Ndugai tarehe 31 /01/2019 akitoa taarifa bungeni au kile alichakuwa akikiita kuwa ni ufafanuzi juu ya malalamika ya malipo ya matibabu ya Mh Tundu Lissu (MB) wa Singida Mashariki na...
Share:

Thursday, 31 January 2019

SIMBA YAMUUZA KICHUYA MISRI

Kichuya (kushoto) akiwa na Okwi Baada ya jana klabu ya Simba kuweka wazi kuwa ipo kwenye mazungumzo ya mwisho na klabu ya Pharco ya Misri juu ya uhamisho wa Kichuya, hatimaye leo dili hilo limekamilika na Kichuya sasa si mchezaji wa Simba tena. Akiongea na www.eatv.tv Mtendaji mkuu wa Simba Crescentius...
Share:

YANGA SC YAITOA BIASHARA UNITED KWA MATUTA, YATINGA 16 BORA ASFC

Yanga SC imefanikiwa kwenda hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa penalti 5-4 kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 90. Waliofunga penalti za Yanga SC ni Heritier Makambo, Paul Godfrey, Ibrahim Ajibu, Thabani Kamusoko na Matheo Anthony, za Biashara United...
Share:

TGNP MTANDAO YATOA MAPENDEKEZO MANNE TUKIO LA MAUAJI YA WATOTO NJOMBE

Mkurugenzi Mtendaji TGNP Mtandao Lilian Liundi TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UKATILI DHIDI YA WATOTO HAUKUBALIKI, HAUVUMILIKI, TUWALINDE WATOTO. TGNP Mtandao kwa kushirikiana na wadau wa haki za wanawake, watoto  na usawa wa kijinsia tunatoa salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza...
Share:

KIKOSI CHA INTELIJENSIA CHAINGIA RASMI NJOMBE KUONGEZA NGUVU YA UPELELEZI WA MAUAJI

Na.Amiri kilagalila Kamishna wa operesheni na mafunzo ya jeshi la polisi nchini NSATO MARIJANI akiwa na wataalamu wengine wa intelijensia wamefika mkoani Njombe ili kuungana na jeshi la polisi mkoani humo katika kupambana na mauaji dhidi ya watoto wadogo. kikosi hicho maalumu kimewasili mkoani Njombe Ikiwa ni siku moja imepita tangu naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi amuagize IGP SIMON SIRRO...
Share:

TUNDU LISSU AMJIBU NDUGAI " BUNGE HALIJAWAHI KUNILIPA HATA SENTI MOJA'

Tundu Lissu amesema Bunge la Tanzania halijawahi kutoa hata senti moja kugharamia matibabu yake. Lissu ambaye ni mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Januari 31, 2019 saa chache tangu Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kusema Desemba 2018, Lissu alikuwa amelipwa...
Share:

BAWACHA TAIFA WALAANI VITENDO VYA MAUAJI YA WATOTO NJOMBE

Baraza la wanawake Chadema Tanzania (BAWACHA) wameungana na watanzania wengine hususani wananchi wa mkoa wa Njombe kulaani vitendo vya mauaji ya watoto yaliyotokea hivi karibuni mkoani humo . Katika taarifa iliyotolewa na mwenyekitiki wa Baraza hilo Taifa HALIMA MDEE imeeleza kuwa Kwa kipindi cha takriban mwezi mmoja sasa kumekuwa na habari za kutisha kutoka mkoani Njombe ambapo vyombo vya habari...
Share:

MALORI 8 YALIYOSHEHENI MBAO NA MKAA YAKAMATWA NA TRA NJOMBE KWA KUKWEPA KODI

Na Amiri kilagalila Mamlaka ya mapato Tanzania TRA mkoa wa Njombe inayashikilia Magari makubwa 8 yaliyosheheni mizigo ya Mbao kwa makosa ya kukwepa kulipa Kodi. Akizungumza na waandishi wa habari mapema siku ya leo katika kituo cha ukaguzi wa Magari kilichopo kibena njia panda ya kuelekea lupembe halmashauri ya mji wa Njombe,meneja wa TRA mkoa wa Njombe MUSA SHAABAN alisema kuwa malori hayo yanashikiliwa...
Share:

WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATNUMZ USO KWA USO.. WAZUA GUMZO LA AINA YAKE

Msanii wa Bongo Fleva, Wema Sepetu na Diamond Platnumz leo Alhamisi Januari 31, 2019 wamekuwa kivutio katika viwanja vya Leaders Club ambako mkutano kati ya wasanii na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda unatarajiwa kufanyika. Diamond amewasili viwanja hivyo majira ya saa 9:15 alasiri akiwa...
Share:

MABINTI WACHAPANA MAKONDE BAADA YA JAMAA KUWAAMBIA ANAOA MREMBO MWINGINE

Picha haihusiani na habari hapa chini Mabinti wawili wanauguza majeraha ya kuwekeana baada ya kutwangana makonde wakizozania jamaa mmoja eneo la Kithyoko Kaunti ya Machakos nchini Kenya waliyekuwa wakimmezea mate.  Inadaiwa kwamba jamaa huyo aliwaalika kwake na kuwaarifu kuhusu mipango yake...
Share:

NDUGAI : NI VYEMA WATANZANIA WAKAJUA HUYU MWENZETU 'ZITTO KABWE' NI MUONGO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai amemtaka Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe amwogope Mungu na aache kuwa mwongio kwenye taarifa zake ikiwa ni pamoja na tuhuma za upotevu wa Shilingi trilioni 1.5. Akizungumza bungeni leo Alhamisi Januari 31, 2019 Ndugai amesema...
Share:

KESI YA MBOWE NA MATIKO YAPANGIWA HAKIMU MPYA

Kesi inayowakabili baadhi ya viongozi wakuu wa Chama na Wabunge 7 wa Chadema, imeendelea leo ambapo imepangiwa Hakimu mpya anayejulikana kwa jina la Kelvin Mhina. Hatua hiyo ya kesi hiyo Na.112/2018 kupangiwa Hakimu mpya imekuja baada ya aliyekuwa Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Dar es salaam, Wilbard...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger