Thursday, 31 January 2019

MBUNGE WA CHADEMA GODLESS LEMA ATANGAZA KUJIUZULU

Mbunge wa Arusha mjini (CHADEMA), Godbless Lema. Mbunge wa Arusha mjini (CHADEMA), Godbless Lema amesema kuwa endapo Spika wa Bunge Job Ndugai atalithibitishia bunge kuhusu kauli yake dhidi ya matibabu ya Lissu, yeye atakuwa tayari kujiuzulu. Lema ametoa kauli hiyo kwenye ukurasa wake wa 'twitter'...
Share:

NDUGAI SASA KU- DILI NA TUNDU LISSU "ADAI AMELIPWA MIL 250 KUTOKA BUNGENI"

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuanzia sasa ataanza kumjibu mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu kwa kuwa ana amini amepona na kwamba tayari ameshalipwa Sh250milioni kutoka bungeni. Ndugai ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Januari 31, 2019 bungeni mjini Dodoma baada ya...
Share:

RUFAA YA DHAMANA YA MBOWE NA MATIKO KUANZA KUSIKILIZWA FEBRUARI 18

 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa rufaa ya kupinga dhamana iliyokatwa na upande wa mashtaka dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko itaanza kusikilizwa Februari 18, 2019 katika Mahakama ya Rufaa. Taarifa hiyo umetolewa leo Alhamisi...
Share:

MKE AMCHOMA MMEWE KWA MAJI YA MOTO SEHEMU ZA SIRI

Jamaa mmoja mwenye umri wa makamo amekimbizwa hospitalini kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya baada ya mkewe kumchoma kwa maji moto kwenye sehemu nyeti/sehemu za siri.  Inaelezwa kuwa jamaa huyo alipigiwa simu na mmoja wa wateja wake wa kike akimjuza kuhusu nafasi ya kazi ila mkewe alidhani alikuwa...
Share:

FEDHA ZA TANAPA MILIONI 200 ZALETA KIZAAZAA ,MADIWANI TARIME WATAKA USHAHIDI WA WARAKA.

Na Dinna Maningo,Tarime. Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Tarime mkoani Mara wameitaka halmashauri kuwaonyesha ushahidi wa waraka wa mapokezi ya fedha milioni 140 kutoka Hifadhi za Taifa TANAPA huku wakidai kuwa pesa zilizotolewa ni milioni 200. Agizo hilo limekuja wakati Madiwani wakiuliza maswali ya papo kwa papo ambapo Diwani wa kata ya Nyanungu Ryoba Mang’eng’i (Chadema) alihoji kiasi gani...
Share:

WAZIRI UMMY ATOA MABATI 200 KUSAIDIA UJENZI WA SHULE TANO ZA SEKONDARI JIJINI TANGA

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) Ummy Mwalimu kulia akimkabidhi Mabati 200 Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga Hamis Mkoba. Waziri...
Share:

MKURUGENZI MPYA BENKI YA CRDB ATAMBULISHWA RASMI MWANZA

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini (CRDB), Abdulmajid Nsekela (aliyesimama) ametambulishwa rasmi kwa wafanyakazi na wateja wa benki hiyo Kanda ya Ziwa Mwanza na Shinyanga. Hafla ya kumtambulisha Mkurugenzi huyo aliyechukua nafasi ya Dkt. Charles Kimei imefanyika...
Share:

CHANGAMOTO ZAAINISHWA UTEKELEZAJI SERIKALI MTANDAO

Kaimu katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Micky Kiliba akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha Serikali mtandao kilichofanyika leo jijini Dodoma Kaimu katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Micky Kiliba...
Share:

WADAIWA KUNYWA DAWA ZA ARV BILA KUPIMA VIRUSI VYA UKIMWI

Mkurugenzi mkuu wa Tume ya Kupambana na Ukimwi Tanzania (Tacaids), Dk Leonard Maboko amesema Watanzania wengi wana mwamko wa kutumia dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi (ARV) kuliko kujua hali zao. Dk Maboko alibainisha hayo jana wakati akizindua mpango mkakati wa miaka mitano wa taasisi ya kupambana...
Share:

Wednesday, 30 January 2019

SOT, PRALENA KUCHANGISHA MILIONI 45

Taasisi ya Michezo ya watu wenye Ulemavu wa Akili Tanzania, Special Olympics inahitaji shilingi milioni 45 kwa ajili ya kuisaidia timu ya Taifa inayotarajia kushiriki michezo ya Dunia itakayofanyika mwezi Machi mwaka huu, Abu Dhabi Falme za Kiarabu (UAE). Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini...
Share:

POLISI ALIYEUA MKE NA MTOTO AMEJIUA KWA KIPANDE CHA CHUPA

Afisa mmoja wa polisi aliyeshtakiwa kwa madai ya kumuua mkewe pamoja na mtoto mwenye umri wa miaka 5 katika kambi ya maafisa wa kupambana na wezi wa mifugo eneo la Suswa Machi 2018, amejiua.  Cosmas Kipchumba Biwott, 27, ambaye alikuwa amesimamishwa kazi kwa muda, alijiua Jumanne, Januari 29...
Share:

SAKATA LA MAUAJI YA WATOTO NJOMBE LATUA BUNGENI…LUGOLA ASEMA NI USHIRIKINA.

Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola amesema imebainika kuwa mauaji ya watoto mkoani Njombe ni ya imani za kishirikina. Lugola ametoa kauli hiyo leo Jumatano Januari 30, 2019 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la nyongeza lililoulizwa na mbunge wa Mufindi Kusini (CCM), Mendrad Kigola. Mbunge huyo amehoji ni mkakati gani umewekwa na Serikali katika kukomesha mauaji ya watoto...
Share:

IGP SIRRO AAGIZWA KUTUMA TIMU YA WATAALAMU NJOMBE KUSAIDIA UPELEZI MAUAJI YA WATOTO

Na.Amiri kilagalila Naibu waziri wa mambo ya Ndani ya nchi HAMAD MASAUNI amemuelekeza Inspecta genarali wa polisi SIMON SIRRO kutuma timu ya wataalamu mbali mbali mkoani Njombe ili kusaidiana na jeshi la polisi mkoani humo kupambana na vitendo vya utekaji na mauji ya watoto wadogo. Agizo hilo limetolewa mkoani Njombe wakati waziri wa mambo ya Ndani akizungumza na waandishi wa habari na kutoa tathmini...
Share:

Tanzia : ALIYEZAWADIWA MILIONI 100 NA JPM KWA KUGUNDUA MADINI YA TANZANITE AFARIKI DUNIA

  Mvumbuzi wa madini ya Tanzanite, Jummane Ngoma amefariki dunia leo Jumatano Januari 30, 2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu. Mtoto wa marehemu, Hassan Ngoma amesema, “Ni kweli Mzee amefariki leo jioni hii hapa Muhimbili,” amesema Ngoma Hassan amesema...
Share:

FACEBOOK KUUNGANISHA WHATSAPP, INSTAGRAM NA MESSENGER

Facebook ina mipango ya kuunganisha huduma zake za kutuma ujumbe katika Instagram, WhatsApp na Facebook Messenger. Licha ya kwamba huduma zote tatu zitasalia kuwa programu huru zitashirikiana kupitia ujumbe utakaotumwa kutoka huduma moja hadi nyingine. Facebook imeambia BBC kwamba ndiyo mwanzo wa...
Share:

POLISI YAMSHIKILIA MWANAUME NA MCHEPUKO KWA KUMUUA MKE WAKE

Mary Wambui  anadaiwa kuuawa na mume wake Joseph Kori kwa ushirikiano na mwanamke(mchepuko) Judy Wangui.  Wangui alikuwa mfanyakazi wa zamani wa Kamangara na kulingana na ripoti zilizosambaa ni kwamba alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mume wa bosi wake.  Inadaiwa kulitokea ugomvi...
Share:

TAARIFA ZA SIRI ZA WATU 140,000 WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI ZAIBIWA NA KUVUJISHWA MTANDAONI

Taarifa za siri za watu zaidi ya 14000 waliyo na virusi vya HIV wakiwemo raia wa wageni zimeibiwa nchini Singapore na kuvujishwa mitandaoni. Udukuzi huo unakuja miezi kadhaa baada ya rekodi za watu milioni 1.5 wa Singapore akiwemo waziri mkuu Lee Hsein Loong kuibiwa mwaka jana. Taarifa za kibinafsi...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger