Tuesday, 18 December 2018

Picha : WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI ZANAKI WATEMBELEA HIFADHI ASILI YA MAGAMBA LUSHOTO, TANGA

Afisa Utalii wa Hifadhi ya Mazingira Asili ya Magamba iliyopo Lushoto, Tanga Samiji Mlemba (katikati) akitoa maelezo kwa wanafunzi wa Sekondari ya Zanaki jijini Dar es Salaam waliopata ufadhili wa kutembelea hifadhi hiyo waliopewa na Wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) na Bodi ya Utalii Tanzania...
Share:

KILA KIJIJI KILICHOPITIWA NA MRADI WA REA KIPATE UMEME

Na Mwandishi wetu Ruvuma. Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amewataka wataalam katika Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuwa makini katika kazi ya upangaji wa vijiji vinavyopaswa kupelekewa umeme kwenye wilaya zenye majimbo mawili ya uchaguzi ili kuepusha malalamiko ya kupendelea upande mmoja wa Wilaya. Aliyasema hayo jana wakati alipokuwa akikagua miradi...
Share:

MADIWANI SIMAMIENI MIRADI YA MAENDELEO ILI KUFIKIA MALENGO YA SERIKALI

Na Stephen Noel -Mpwapwa. Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma wametakiwa kuweza kusimamia Halmashauri zao na kuisadia serikali kufikia Malengo yaliyo kusudiwa. Kauli Hiyo imetolewa na Kamanda wa Tasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa wilayani Mpwapwa Bi July Mtui alipo kuwa akiwasilisha Mada ya wajibu wa madiwani wa Halmashauri ya Mpwapwa dhidi ya nafasi ya madiwani Katika...
Share:

MVUA YAUA WAWILI KANISANI KAHAMA, 10 WAJERUHIWA

...
Share:

MOURINHO 'OUT' MAN UNITED, MRITHI ATANGAZWA

Kocha Jose Mourinho amefutwa kazi na Manchester United ikiwa ni siku moja tu imepita tangu afungwe mabao 3-1 na Liverpool. Kupitia taarifa yake leo, Man United imeeleza kuwa imefikia uamzi huo ili kunusuru mwenendo wa klabu katika michuano mbalimbali inayoshiriki ikiwemo EPL na klabu bingwa Ulaya. "Klabu...
Share:

TRA KUWASAJIRI WABADIRISHA FEDHA MIPAKANI

Na Kahinde Kamugisha , Ngara Wafanyabiashara  ya kubadilisha fedha  katika wilaya ya Ngara mkoani Kagera  wameshauriwa   kujisajili na kutambulika kisha kuwa na leseni kwa mujibu wa sheria kupitia benki kuu  ya Tanzania BOT na  shirika la fedha duniani IMF. Kaimu afisa Mfawidhi wa kituo cha forodha Kabanga wilayani Ngara Seifu Mkilindi ametoa ushauri huo mbele ya...
Share:

KERO YA USAFIRI WA MELI KUPUNGUA.

Ujio wa Meli mpya ya safari za Baharini umeleta matumaini mapya kwa wasafiri wanaofanya safari za Dar es salaam na Zanzibar Meli hiyo mpya ya Kampuni ya Sea Star, ina uwezo wa kubeba Mizigo tani 1,400 na Abiria 1,500, imewasili Bandarini Zanzibar kwa ajili ya kuongeza huduma za usafari wa Baharini katika mwambao wa Bahari ya Afrika Mashariki Hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la wanaofanya safari...
Share:

Form One Selection 2019 – Waliochaguliwa kidato cha kwanza 2019 Lindi Region for 2019/2020 Lindi

Form One Selection 2019 – Waliochaguliwa kidato cha kwanza 2019 Lindi Region for 2019/2020 Lindi The List of Selected Candidates is available for each Ward Education Coordinator, Each Board’s Advertising Boards and the Office of the Regional Head Office, Check it here Form one selection for the academic year 2019/2020  The following students have been selected to join form one for Lindi Secondary...
Share:

Monday, 17 December 2018

TANGAZO LA KUTEMBELEA MBUGA YA SADAN DISEMBA 24 2018

...
Share:

Thursday, 6 December 2018

ANGALIA NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO USINGOJE AJIRA IJE MLANGONI

               13 JOB OPORTNITIES AT SOKOINE UNIVESITY OF AGRICULTURE                                   bofya hapa chini                                   ...
Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYIO VYA UFUNDI VETA 2019

The Vocational Educational and Training Authority (VETA) was established by an Act of Parliament No. 1 of 1994 charged with broad tasks of coordinating, regulating, financing, Promoting and providing vocational education and training in Tanzania. The history of VETA dates back to 1940 when the Apprenticeship Ordinance was enacted to guide training in the industry. The Vocational Training Act of...
Share:

Thursday, 30 August 2018

UTATA WATAWALA KIFO CHA MTAWA BUGANDO...MAPYA YAIBUKA

Suala kifo cha Mkurugenzi wa Fedha na Mipango wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa Bugando (BMC), Mtawa Suzan Bartholomew, limechukua sura mpya baada ya taarifa kusambazwa zikieleza huenda aliuawa. Juzi, baada ya taarifa kwamba Mtawa huyo alijiua kwa kujirusha kutoka ghorofa ya pili kusambaa,...
Share:

Friday, 13 July 2018

HAYA HAPA MATOKEO KIDTO CHA SITA 2018(ACSEE RESULTS 2018)

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA ACSEE 2018 NA MITIHANI YA UALIMU 2018 YAMETANGAZWA Link 1: CLICK HERE TO SEE  FORM SIX RESULTS 2018(ACSEE)LINK 2: CLICK HERELINK 3: CLICK HERELink 2: CLICK HERE TO SEE THE TEACHERS COLLEGES RESULTS (MATOKEO UALIMU 201...
Share:

Saturday, 16 June 2018

PDF:SELECTION KIDATO CHA 5 NA VYUO VYA UFUNDI 2018/2019

Tamisemi imetangaza rasmi majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2018/2019. Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG hua hatupendi upate shida ya kuangalia majina. Tunatoa huduma ya kuangalizia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kwa gharama ya tshs 1000 tu kwa jina moja ili uangaliziwe shule unayokwenda, 1.tuma jina lako na shule utokayo kwenda namba 0768260834 2.tuma pesa kwenda namba...
Share:

BREAKING NEWS:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI 2018/2019

Tamisemi imetangaza rasmi majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2018/2019. Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG hua hatupendi upate shida ya kuangalia majina. Tunatoa huduma ya kuangalizia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kwa gharama ya tshs 1000 tu kwa jina moja ili uangaliziwe shule unayokwenda, 1.tuma jina lako na shule utokayo kwenda namba 0768260834 2.tuma pesa kwenda...
Share:

Wednesday, 23 May 2018

BREAKING NEWS:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WALIOPANGIWA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA 2018

Kama kawaida yetu maswayetu blog tunakupa kitu roho inapenda,yafuatayo ni majina ya wanafunzi kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga JKT kwa mujibu 2018 Kuyaona majina hayo bonyeza hapo chini kwa kambi unayoenda, MAjina wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga jkt2018 BULO...
Share:

Tuesday, 8 May 2018

MPYA:BODI YA MIKOPO IMETANGAZA RASMI SIFA NA VIGEZO VYA KUOMBA MKOPO 2018/2019

IMPORTANT NOTICE TO ALL LOAN APPLICANTS FOR 2018/2019 This is to inform all expected loan applicants (new and continuing students) for 2018/2019 that our online loan application window will be open from Thursday,May 10th, 2018 to Sunday, July 15th, 2018.  For now, expected loan applicants...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger