Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemzuia shahidi wa kwanza
katika kesi inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na
wenzake watatu, kujibu swali linalohusu mamlaka ya kikatiba ya
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kufuta uchaguzi
uliofanyika...
Mahakama
Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa zuio la muda kuzuia Mwenyekiti wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe asikamatwe na
Polisi hadi maombi yake, aliyoyaomba ya kutaka asikamatwe,
yatakaposikilizwa kesho.
Katika
kesi hiyo ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017,...
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA
WANAFUNZI WASIO NA SIFA KATIKA VYUO VYA ELIMU YA JUU
Tume ya Vyuo Vikuu
Tanzania (TCU) inautangazia Umma kuwa zoezi la uhakiki wa sifa za wanafunzi
wanaondelea na masomo kwenye Vyuo vya Elimu ya Juu nchini kwa mwaka...
Serikali kupitia wizara ya elimu,sayansi na teknolojia imesisitiza kusitisha pesa za mikopo ya nauli za kwenda masomoni na malipo mengine yote yaliyokuwa yanatolewa kwa wanafunzi wanapata ufadhili wa masomo kutoka kwa nchi rafiki ikiwemo nchi ya China.
Kauli hiyo imetolewa kupitia barua(ya tarehe...
HIZI HAPA HABARI KALI SIKU YA LEO JUMANNE FEB 21 2017
MBOWE APEKULIWA USIKU ARUDISHWA POLISI,SOMA ZAIDI HAPO>>>>>https://goo.gl/T5jbX8
MAGAZETI YA LEO JUMANNE FEB TAREHE 21.2.2017,SOMA ZAIDI HAPO>>>>>https://goo.gl/PHqMKK
SHAMSA FORD AMLILIA MUMEWE ALIEKAMATWA KWA KESI YA MADAWA YA KULEVYA,SOMA ZAIDI HAPO>>>>>https://goo.gl/6s58nV
NECTA...
Mwigizaji
Shamsa Ford ambaye ni mke wa Mfanyabiashara Chidi Mapenzi aliyeitwa
Polisi kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya,
ameandika yafuatayo ikiwa ni mara ya kwanza toka aitwe Polisi kuhojiwa....