The University of Dodoma (UDOM)
wishes to announce the names of candidates selected for admission into
various graduate programmes for the academic year 2016/17 which starts
on October, 2016. Admission letters for successful candidates will be
available in our website (www.udom.ac.tz)...
Mbunge
wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amekamatwa na polisi muda
mfupi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Ikungi,
Singida.
Wakati
Lissu akiwa mikononi mwa polisi, Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter
Msigwa jana alifanya mkutano wa hadhara na...
Je,wewe ni muhitaji wa huduma yeyote ya kielimu? usijali Maswayetu blog tumeamua kuanzisha huduma kwa wadau wake.
Tunafanya yafuatayo;
1.Tunaangalizia watu majina vyuo walivyochaguliwa mfano.vyuo vya afya,mifugo,kilimo, etc. kwa gharama nafuu
2.Tunatoa ushauri wa kielimu kuhusiana na maksi ulizopata ktk masomo yako,ili upate kozi nzuri yenye ajira ili usije sumbuka mtaani,pia tutakusaidia kuapply...
Mwanafunzi
wa mwaka wa kwanza, Kitivo cha Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha
Dodoma (UDOM), Fredrick Joseph (25), ameuawa kwa kushambuliwa kwa kipigo
na watu wanaosadikiwa kuwa ni wanafunzi wenzake wakati akitoka klabu ya
pombe (Bar).
Tukio
hilo lilitokea usiku wa kuamkia...