Rais
wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia wa
wakazi wa Kahama mkoani Shinyanga mara baada ya kuwasili akitokea Nzega
mkoa Tabora Julai 31,2016 Rais
wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mbunge wa
zamani wa Kahama James Lembeli mara baada ya kuwasalimia...
July 31 2016 mwili wa marehemu Mwanahabari Joseph Senga umeagwa
Dar es salaam leo kuelekea Mwanza kwa ajili ya maziko, baadhi ya
viongozi wa serikali na siasa wameshiriki wakiwemo...
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jana July
30 2016 ameendelea na ziara yake katika Mkoa wa Tabora akitokea Mkoa wa
Singida.
Mkoani
Tabora, Rais Magufuli alizungumza na wananchi waliosimamisha msafara
wake katika vijiji vya Nanga na Ziba na...
MTUHUMIWA wa ujambazi Msafiri Suleiman maarufu kama Juma Msukuma ameuawa wakati akijaribu kuwatoroka Polisi.
Kamanda
wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi alisema jana kuwa tukio hilo
lilitokea Julai 28 mwaka huu majira ya saa 10.30 jioni katika eneo la
Igoma kata...
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema imejipanga kuhakikisha inahamia Dodoma kabla au ifikapo Agosti 15 mwaka huu.
Kumekuwa na hekaheka kwa taasisi na wizara mbalimbali za umma kuhamia
Dodoma ili kuunga mkono tamko la Rais John Magufuli ambaye Jumamosi ya
wiki iliyopita aliuahidi ...
Katika mwendelezo wa ziara yake ya siku nne katika Mikoa ya Singida,
Tabora, Shinyanga na Geita, Rais Magufuli amefanya mkutano Igunga.
Katika kuonyesha jinsi ambavyo wananchi wengi wanakubaliana na mtazamo
na mwelekeo wake katika hatma ya Taifa, Mwenyekiti wa CHADEMA amewaomba
sana walinzi wa...