Saturday, 23 July 2016

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JULY TAREHE 23.7.2016

IMG_20160723_045329
IMG_20160723_045343
IMG_20160723_045413
IMG_20160723_045429
IMG_20160723_045452
IMG_20160723_045511
IMG_20160723_045540
IMG_20160723_045556
IMG_20160723_045615
IMG_20160723_045632
IMG_20160723_045649
IMG_20160723_045708
IMG_20160723_045726
IMG_20160723_045743
IMG_20160723_045802
IMG_20160723_045820
IMG_20160723_045838
IMG_20160723_045858
IMG_20160723_045917
IMG_20160723_045942
IMG_20160723_050000
IMG_20160723_050019
IMG_20160723_050035
IMG_20160723_050056
IMG_20160723_050110
IMG_20160723_050127
IMG_20160723_050145
Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CERTIFICATE & DIPLOMA VYUO VYA AFYA ,UALIMU, KILIMO NA MIFUGO 2016/2017

Nacte wametoa majina ya wanafunzi waliofanikiwa kuchaguliwa katika vyuo mbalimbali afya,ualimu ,kilimo na mifugo kwa level ya cheti na  diploma.

Pia inakaribisha maombi mapya kwa wanafunzi wapya.

Baraza linapenda kutoa taarifa kuwa Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) umefunguliwa tena kuanzia tarehe 22 Julai 2016 ili kujaza nafasi za udahili zilizo wazi baada ya Baraza kuchagua waombaji udahili waliowasilisha maombi yao kuanzia tarehe 4 Machi 2016 hadi tarehe 3 Juni 2016. Mwisho wa kuwasilisha maombi ni  tarehe 5 Agosti 2016 saa sita usiku.

Waombaji wapya na baadhi ya waombaji walioshindwa kukamilisha maombi yao kupitia mtandao ilipofika tarehe 3 Juni 2016, wanaarifiwa kuanza kuwasilisha maombi ya udahili kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) ili kujaza nafasi zilizo wazi. Waombaji wanahimizwa kutumia muda huu wa nyongeza ili kuwasilisha maombi.

Baraza linapenda pia kuwaarifu waombaji udahili na umma kwa ujumla kuwa vikao vya Kamati za kuidhinisha majina ya waombaji udahili kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) vilipitisha orodha ya majina  ya wenye sifa za udahili kulingana na nafasi za udahili kwa kila kozi zitolewazo na vyuo husika kati ya tarehe 18 Julai 2016 na 21 Julai 2016. Majina ya waombaji waliochaguliwa kwa kila kozi itolewayo na chuo husika yamekabidhiwa vyuoni kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS). Waombaji waliochaguliwa nao wamearifiwa kupitia kurasa (profile) zao binafsi au kwa kubofya hapa. Waombaji ambao hawakuchaguliwa wamejulishwa sababu zilizowafanya wasichaguliwe kupitia kurasa (profile) zao pia.  

Kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza waliowasilisha maombi yao kupitia NACTE, Baraza linapenda kuwaarifu kuwa, mashauriano kati ya NACTE na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yanaendelea kufanyika ili kufanikisha udahili wa waombaji wa kozi za Shahada ya Kwanza kama Serikali ilivyoagiza.

Imetolewa na
Ofisi ya Katibu Mtendaji
NACTE
Tarehe: 22 Julai, 2016

AU
Share:

Breaking news:TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA MFUMO WA UDAHILI WA PAMOJA (CAS) UNAORATIBIWA NA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) NA KUTANGAZWA KWA MAJINA YA WAOMBAJI UDAHILI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KOZI ZA CHETI NA DIPLOMA 2016/2017

Baraza linapenda kutoa taarifa kuwa Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) umefunguliwa tena kuanzia tarehe 22 Julai 2016 ili kujaza nafasi za udahili zilizo wazi baada ya Baraza kuchagua waombaji udahili waliowasilisha maombi yao kuanzia tarehe 4 Machi 2016 hadi tarehe 3 Juni 2016. Mwisho wa kuwasilisha maombi ni  tarehe 5 Agosti 2016 saa sita usiku.

Waombaji wapya na baadhi ya waombaji walioshindwa kukamilisha maombi yao kupitia mtandao ilipofika tarehe 3 Juni 2016, wanaarifiwa kuanza kuwasilisha maombi ya udahili kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) ili kujaza nafasi zilizo wazi. Waombaji wanahimizwa kutumia muda huu wa nyongeza ili kuwasilisha maombi.

Baraza linapenda pia kuwaarifu waombaji udahili na umma kwa ujumla kuwa vikao vya Kamati za kuidhinisha majina ya waombaji udahili kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) vilipitisha orodha ya majina  ya wenye sifa za udahili kulingana na nafasi za udahili kwa kila kozi zitolewazo na vyuo husika kati ya tarehe 18 Julai 2016 na 21 Julai 2016. Majina ya waombaji waliochaguliwa kwa kila kozi itolewayo na chuo husika yamekabidhiwa vyuoni kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS). Waombaji waliochaguliwa nao wamearifiwa kupitia kurasa (profile) zao binafsi au kwa kubofya hapa. Waombaji ambao hawakuchaguliwa wamejulishwa sababu zilizowafanya wasichaguliwe kupitia kurasa (profile) zao pia.  

Kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza waliowasilisha maombi yao kupitia NACTE, Baraza linapenda kuwaarifu kuwa, mashauriano kati ya NACTE na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yanaendelea kufanyika ili kufanikisha udahili wa waombaji wa kozi za Shahada ya Kwanza kama Serikali ilivyoagiza.

Imetolewa na
Ofisi ya Katibu Mtendaji
NACTE
Tarehe: 22 Julai, 2016 

Share:

Friday, 22 July 2016

VYUO VYA SUA,UDSM,MWL.NYERERE VYASOGEZA MBELE FIELD PRACTICALS KWA WANAFUNZI KWA SABABU HAKUNA PESA

Image result for SUANET

Kufuatia zoezi linaloendelea la kuhakiki wanafunzi wanufaika kwa mikopo kupitia bodi ya Mikopo, Chuo kimeagizwa kusogezwa mbele mafunzo kwa vitendo yaani "Field practical and Teaching Practice session"

Share:

SECOND SELECTION KIDATO CHA TANO 2016,KUTANGAZWA MDA WOWOTE

Waziri wa TAMISEMI amesema kwamba awamu ya pili inasubiri nafasi zitakazojitokeza kutokana na wanafunzi watakao acha kuripoti kwa kupelekwa na wazazi wao kwenye shule binafsi au vyuo binafsi na vya serikali.
Pia Mheshimiwa Simbachawene aliziagiza mamlaka zinazohusika na kuwapokea wanafunzi wapya wa kidato cha tano kuhakikisha kuwa miundombinu yote muhimu inakamilika ikiwemo mabweni, madarasa vyoo na Maabara, samani (vitanda, Meza na Viti huduma za Maji na Umeme zinatekelezwa na kukamilika kwa wakati.
Katika mwaka 2016 jumla ya shule mpya za kidato cha tano 50 zimeanzishwa kutokana na maombi ya mikoa kwenye maeneo yao ili kuendana na lengo la Serikali la kuongeza Shule za Kidato cha Tano na Sita.
Hivyo, Waziri Simbachawene amewataka Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha kuwa shule zote zina walimu na vitabu vya kujifunzia na kufundishia na pia kuhakikisha chakula kwa wanafunzi wa bweni kinaandalaiwa kabla wanafunzi wapya wa kidato cha tano hawajaripoti.
Share:

BONYEZA HAPA KUFANYA APPLICATION ZA VYUO TCU 2016/2017

tcu banner

>>>>>>>>>>>>>>>>CLICK HERE<<<<<<<<<<<<<<<<<<<
Share:

MPYA:USHAURI KOZI ZA KUCHAGUA KWA FORM SIX COMBINATION ZA PCB,PCM,CBG,HKL,HGK,HGL,EGM,HGE NA PGM

 Image result for TCU.GO.TZ
Habari yenu?
Kutokana na wadau weng kuuliza kuhusu ushauri wa kozi gani za kuchagua kutokana na matokeo aliyopata,nimeamua kuweka hapa ushauri ambao naamini kwa asalimia zaidi 90% nitagusa kila mtanzania,mwenye haja ya kujua haya mambo.

KAMA ULISOMA PCB/CBG

 PCB ni moja ya combination ambayo inajumuisha masomo ya PHYSICS,CHEMISTRY NA BIOLOGY.Wengi wa wanafunzi wanaoenda kusoma masomo haya a level,ndoto zao ni kuwa madaktari,wafamasia,lab technologist na nursing.

Ukweli ni kwamba baada ya matokeo ya kidato cha sita malengo ya wengi huwa yanapotea kutokana na kupata maksi ambazo haziridhishi kwenda chuo kikuu kusomea masomo hayo ya afya.

Nina recommend:kama umepata PCB DIV III pts 13 kwenda-14,15 etc.Ninakushauri usisumbuke kuomba MEDICINE/PHARMACY hii inawahusu wote wenye D D,C E, kupata kozi hizo ni ngumu sana kwa vyuo vya MUHIMBILI,BUGANDO,KCMC,UDSM sio kwamba hauna sifa,sifa unazo ila tatizo ni competition.

Note:medicine CBG hawapokei,so nakuomba usijisumbue kuomba.

Ninakushauri uombe kozi za kilimo -zilizopo SUA kama agronomy,agri general,hortculture,aqualculture,animal science,food science and technology,human nutrition etc.zipo pale sua.

Nursing:Vile vile kama hauna matokeo mazuri ya form six ninakuomba usiombe kozi hii,hii ni kutokana na competition.

Ninakushauri kama kwenu wanuwezo wa kukulipia ada ya kuongezea omba chuo cha KAMPALA UNIVERSITY lakini ada yake ni kubwa sana.

Ushauri wangu huu nakuomba uuzingatie kwa umakini sana hii ni kutokana na KUFUTWA KWA KOZI ZA MEDICINE UDOM,IMTU,ST.JOSPEH,ST.FRANCIS maana yake competition itakuwa ni kubwa sana.

hivyo kukufanya wewe ukose chuo.

Pia unaweza kutazama tcu guide book course mbalimbali mpya zitolewazo hapa tanzania,lakini kwa swala la MEDICINE/PHARMACY/NURSING ni ngumu kupata kutokana na matokeo hayo.

MADHARA YA KUKOSA CHUO AWAMU YA KWANZA

Endapo hutazingatia ushauri wangu na ukachagua kozi hizo za afya na wakati ufaulu wako ni mdogo sana,utakosa chuo baada ya hapo,itakulazimu uchague kozi mpya kutoka kwenye vyuo vingine ambavyo vitakuwa vinanafasi.
Hapo ndipo ndoto za wengi hupotea kutokana kulazimika kusoma kitu mabacho hikupendi.FANYA MAAMUZI SAHIHI SASA,KABLA HUJAKOSA FISRT ROUND.

Mwaka jana walikosa zaidi ya wanafunzi 13,000 fisrt round.

 NITAENDLEA..........
Share:

FURSA YA MKOPO NGAZI YA SHAHADA CHUO KIKUU MUM-MOROGORO

Share:

MAGAZETI YA LEO IJUMAA JULY TAREHE 22.7.2016

IMG_20160722_050520
IMG_20160722_050538
IMG_20160722_050603
IMG_20160722_050620
IMG_20160722_050637
IMG_20160722_050657
IMG_20160722_050712
IMG_20160722_050729
IMG_20160722_050744
IMG_20160722_050802
IMG_20160722_050820
IMG_20160722_050838
IMG_20160722_050858
IMG_20160722_050915
IMG_20160722_050935
IMG_20160722_050956
IMG_20160722_051015
IMG_20160722_051032
IMG_20160722_051050
IMG_20160722_051115
IMG_20160722_051137
IMG_20160722_051152
IMG_20160722_051209
IMG_20160722_051231
IMG_20160722_051254
IMG_20160722_051319
IMG_20160722_051342
IMG_20160722_051407
IMG_20160722_051428
IMG_20160722_051445
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger