Tuesday, 12 April 2016

MATOKEO YA UEFA LEO TAREHE 12.4.2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

MAN.CITY VS PARIS SG
REAL MADRID VS WOLFSBURG
 
Share:

New AUDIO | Salam Tmk - Mfuko | Download

Share:

HIZI NDIO KOZI ZOTE ZITAKAZOTOLEWA NA CHUO KIKUU KIPYA CHA KILIMO CHA MWL.NYERERE KUANZIA OCTOBER 2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Image result for SERIKALI YA TANZANIA

Undergraduate Programmes

The university is set to kick-start academic programmes effective October 2016; starting with five programmes in science education as well as six in the agricultural economics and agribusiness and allied ones. Science programmes are planned to be hosted at Oswald Mang'ombe Campus whereas, the business oriented ones will be offered at Bunda Campus.  More academic programmes at undergraduate degree and technical levels at the two campuses; the Butiama Campus [Main Campus] and other campuses will be rolled in based on the planned phased road-map of university's development.  The programmes due for commencement in the 2016/17 academic cycle are as shown below.  

  • Degree Programmes
  • Diploma Programmes
  • Certificate Programmes
Oswald Mang'ombe College of Education

1.       BSc with Ed. (Mathematics and Information Communication Technology )
2.       BSc with Ed (Mathematics and Chemistry),
3.       BSc with Education (Mathematics and Geography),
4.       BSc. with Ed (Biology and Geography).
5.       BSc with Ed (Biology and Chemistry)

Bunda College of Business Studies

1.    Bachelor of Agricultural Economics and Agribusiness 
2.       Bachelor of Agricultural Financing
3.       Bachelor of Marketing Management
4.       Bachelor of Entrepreneurship Development
 5.       B.A Economics
6.       Bachelor of Human Resource Management

NB:


Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WATU WALIOCHAGULIWA KUFUNDISHA KATIKA CHUO KIKUU CHA KILIMO MWL.JULIUS NYERERE 2016

Share:

MAJINA YA WATU WALIOITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU CHA MWL.NYERERE CHA KILIMO-MJNUAT 2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Applicants for whom the Management of MJNUAT Requires more Information
The below mentioned attended interview held at Sokoine University of Agriculture on the 22nd February, 2016 and Ardhi University on the 7th & 8th March, 2016. They have been requested to ask their referees to submit reference letters in respect to their application for employment by MJNUAT. The MJNUAT Management is yet to receive sufficient number of referee reports for these applicants inspite of its various efforts. Each candidate below is therefore requested to ask his/her respective referees to submit reference letters to the undersigned postal address as soon as possible. An advance signed and scanned electronic copy should be sent as e-mail attachment to: dvc_pfa@mjnuat.ac.tz   Please note that each candidate is supposed to have at least two referee’s reports.

CADRE
SN
NAMES
GENDER
RECEIVED REFEREES’ REPORT
TUTORIAL ASSISTANT (FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY))
1
EMMANUEL FABIAN MWAKASEGE
M
1
TUTORIAL ASSISTANT (HORTICULTURE)
1
NYAMASIJA F. NYAKEKO
F
1
INSTRUCTOR I (PROCUREMENT AND SUPPLIES MANAGEMENT)
1
ANTHONY RWABUSIMBI MAJURA
M
0
PLANNING OFFICER II
1
BONIFACE ERNEZA MADEGHE
M
1
ESTATE OFFICER II
1
DAMAS T JOACHIM
M
1
2
RAJABU SAIDI KIJIBA
M
0
SENIOR ESTATE OFFICER II
1
IPYANA EPHRAIM GILLIAS
M
0
SENIOR HUMAN RESOURCE AND ADMINISTRATIVE OFFICER II
1
ANITA CHRISTOPHER KABWOGI
F
0
2
JOEL CHARLES BALISIDYA
M
0
ARTISAN II (ELECTRICAL)
1
GASTO RUGALABAMU VEDASTO
M
0
ARTISAN II (MASONRY)
1
DANIEL ELIAS MWAFONGO
M
0
SENIOR PLANNING OFFICER II
1
JOSEPH ORINGO YONGO
M
0
OFFICE ASSISTANT II
1
SARA PAUL UGULA
F
0
PERSONAL SECRETARY I
1
STELLA S. ADEMBA
F
0
TOTAL
14



 Issued by:
 Prof. Msafiri M. Jackson
 Deputy Vice Chancellor – Planning, Finance, and Administration
 Mwalimu Julius K. Nyerere University of Agriculture and Technology
 PO Box 976
 MUSOMA

 E-mail address:  dvc_pfa@mjnuat.ac.tz
 Phone Number: +255 655 263 995 or +255 754 263 995

 For more information visit www.mjnuat.ac.tz
Share:

MPYA:APPLICATION NAFASI ZA KUJIUNGA OPEN UNIVERSITY-OUT UNDERGRADUATE PROGRAMMES MWAKA WA MASOMO 2016/2017

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
  admission
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMANNE APRIL TAREHE 12.4.2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MAGAZETI YA LEO JUMANNE APRIL TAREHE 12/4/2016
MAGAZETI YA LEO JUMANNE APRIL 12 2016
MAGAZETI YA LEO JUMANNE APRIL TAREHE 12-4-2016
Share:

Monday, 11 April 2016

BREAKING NEWS:RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA MKOA ANNE KILANGO MALECHELA KUANZIA LEO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais Magufuli atengua uteuzi wa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anne kilango Malecela kuanzia leo.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dr.John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa shinyanga Ana kilango Malecela kuanzia leo.
Utenguzi huo umetokana na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Ana kilango Malecela kutungaza kwenye vyombo vya habari kuwa mkoa wake hauna watumishi hewa jambo ambalo lilisababisha Ikulu kufanya uchunguzi wake na kubaini kuwepo kwa wafanyakazi hewa 45 katika awamu ya kwanza na awamu ya pili ya uchunguzi bado inaendelea.
 
Akiongea Ikulu jijini Dar es Salaam wakati akipokea hundi ya shilingi bilioni sita zilizotolewa na Ofisi ya Bunge baada ya kubana matumizi kwa ajili ya kununulia madawati Rais Magufuli ameeleza kusikitishwa na hali hiyo na kuagiza Mkuu wa Mkoa na Katibu Tawala wa Mkoa kuondolewa ofisini mara moja.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger