Thursday, 10 March 2016

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAR 10/03/2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Piga Kura Kwa Amani Upate Maendeleo Nchini.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

Mechi za Leo 10.03.2016 - Ligi Kuu Tanzania Bara

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
16:00SIMBA SC - : -NDANDA FC
16:00MBEYA CITY - : -STAND UNITED
Share:

Wednesday, 9 March 2016

PROF. NDALICHAKO AZIMA MGOMO WA WANAFUNZI ST. JOSEPH NA KUWASIHI WARUDI MADARASANI WAJIANDAE NA MITIHANI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi prof. Joyce Ndalichako akieleza jambo wakati akiwa kwa viongozi wa chuo kikuu cha St. Joseph leo asubuhi. (picha na Adrian Mgaya)

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako leo amewapa siku tano wanafunzi wa chuo kikuu cha St. Joseph tawi mama lililoko maeneo ya Mbezi Jijini Dar es salaam ili wafanye mitihani yao ili wafunge chuo na kupisha ukarabati wa baadhi ya maeneo ambayo yatatumika kwa ajili ya mafunzo stadi ya wanafunzi hao.

Mbali na kutoa agizo hilo waziri ndalichako alitumia fursa hiyo kuwaomba wanafunzi wote nchini waache kulalamika bali wasome kwa bidii na kuwa na nidhamu ya kutosha.

katibu mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) Prof. Yunus Mgaya (kushoto) akiwa na katibu mkuu wa wizara ya Elimu. Sayansi Teknolojia, na Mafunzo ya Ufundi wakisikiliza kwa makini maneno ya Waziri wa Elimu Prof Ndalichako, hayupo pichani (picha na Adrian Mgaya)
waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini maelezo aliyokuwa anayazungumza Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako

wanafunzi wa chuo cha St. Joseph wakimsikiliza waziri wa Elimu Prof. Ndalichako (hayupo pichani).
waandishi wa Habari wa gazeti la The Hill Observer lichapishwalo na Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha St.Joseph Mwendwa Ramadhani Mwendwa.
Share:

NAFASI YA KAZI TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES (TCU) TUMA MAOMBI YAKO MAPEMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES (TCU)
EMPLOYMENT OPPORTUNITY

The Tanzania Commission for Universities (TCU) is a semi-autonomous statutory body under the Ministry of Education, Science and Technology. TCU is mandated recognized, approved, register and accredit universities operating in Tanzania. TCU also coordinates the proper functioning of all university institutions in Tanzania so as to foster a harmonized higher education (HE) in the country.
Tanzania Commission for Universities now invites applications from qualified Tanzanians to fill the following vacant position:

1. Director of Accreditation and Quality Assurance
Age: Forty(40) years of age and above

MODE OF APPLICATION

Applicants who meet the stated requirements for the advertised post and would like to serve the Tanzania Public Service through Tanzania Commission for Universities, should send their applications to:

The Executive Secretary
Tanzania Commission for Universities
P.O. Box 6562
Dar es Salaam

NOTE: Only shortlisted candidates who meet the above criteria will be contacted and those who will not hear from us should consider themselves unsuccessful
Share:

Download Tekno-where

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Official VIDEO | Mr Nice - Kioo

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
https://youtu.be/h2LCf4DzIzM

Share:

Easy Man Ft. Chege & Kayumba - TOTO | Mp3 Download [New Song]

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Easy Man Ft. Chege & Kayumba - TOTO | Mp3 Download [New Song]

https://my.notjustok.com/track/download/id/74328/by/sAWQ4ooBdE
- See more at: http://www.johventuretz.com/2016/03/easy-man-ft-chege-kayumba-toto.html#sthash.pZdSg2K2.dpuf

https://my.notjustok.com/track/download/id/74328/by/sAWQ4ooBdE
Share:

New AUDIO | PNC Shino - Ekotiteee | Download

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
http://old.hulkshare.com/dl/t7sx6jdlpibk/PNC_Shino_-_Ekotiteee.mp3?d=1
Share:

Official VIDEO | Linah - Malkia Wa Nguvu | Watch/Download

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

https://youtu.be/t8cbP6_5ZeQ?t=9s

Share:

AJALI YA FUSO NA COSTA DAR LEO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Ajali Mbaya imetokea leo asubuhi eneo la Tabata Matumbi jijini Dar es Salaam ikihusisha malori mawili na daladala iliyo kuwa ikitokea Gongo la Mboto kuelekea Ubungo

Kwa mujibu wa mganga mkuu Hospitali ya Amana, Dr Stanley Binagi, watu wanne wamefariki dunia huku 25 wakijeruhiwa.

Inaelezwa kuwa, Chanzo cha ajali hiyo, ni Lori lililobeba Mchanga ambalo liliikuwa kwenye mwendo kasi, kwenda kuligonga Daladala hilo kwa nyuma, hali iliyopelekea Daladala hilo kukosa mwelekeo na kwenda kugongana na Lori lingine lililokuwa limepakia Ng'ombe waliokuwa wakipelekwa Pugu Mnadani. 
Share:

MAJINA YA WANAFUNZI 65 WA ST.JOSEPH DIPLOMA WALIOHAMISHIWA SUA,HAYA HAPA

Share:

MAGAZETI YA LEO JUMATANO MARCH 09 2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger