INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana (2005-2010) jijini Mwanzakwa
tiketi cha Chama cha Mapinduzi(CCM) Lawrence Masha leo hii amejiunga na
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jijini Arusha wakati wa
kumtabulisha mgombea wa UKAWA na CHADEMA mheshimiwa Edward...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mgombea urais wa UKAWA Mh. Edward
Lowassa ameendelea na ziara yake ya kutafuta wadhani ambapo alianzia
jijini Mbeya tarehe 14/8/2015 katika viwanja vya Rwanda nzovwe maarufu
kama uwanja wa Dr Slaa na kufuatiwa Jijini Arusha tarehe 15/8/2015
katika viwanja vya Tindigani...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Binti wa miaka kumi na mmoja nchini
Paraguay aliyedai kubakwa na baba yake wa kambo amejifungua mtoto wa
kike baada ya mamlaka nchini humo kumzuia asitoe ujauzito aliokua nao.
Madaktari katika mji mkuu wa Asuncion wamesema binti huyo na mtoto wake aliyejifungua kwa...