INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Aliuawa na kundi la watu walioingia
katika nyumba yake kwa madai kuwa walitaka kupangisha chumba katika
nyumba yake jijini Dhak...
TAARIFA YA VYOMBO VYA HABARI
Mchakato
wa kuwapata wagombea wa nafasi ya Ubunge, Uwakilishi na Udiwani ndani
ya CCM ulioanza tarehe 15/07/2015 unaendelea vizuri na unakaribia katika
hatua za mwisho za uteuzi. Kwa nafasi ya Ubunge na Uwakilishi
tunategemea kufanya uteuzi tarehe 13/08/2015.
See mo...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
ADMISSION DEAD LINE EXTENSION FOR EDUCATION PROGRAMMES
The Ministry of Education and Vocational Training (MoEVT) in
collaboration with the National Council for Technical Education (NACTE)
would like to inform the public that the deadline for application into
Ordinary Diploma and...
Jeshi la polisi linatangaza majina ya
wanafunzi kidato cha SITA waliomaliza shule mwaka 2014 na kujaza fomu
za kujiunga na jeshi la polisi walipokuwa shuleni.
Wanafunzi hao wanatakiwa kufika kwenye usaili kama ambavyo inaonekana hapo chini.
Kama kawaida MASWAYETU BLOG tunaendelea kutoa huduma...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge
wa Segerea anayemaliza muda wake, Mhe. Dkt. Makongoro Milton Mahanga
akizungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake Segerea Mwisho
jijini Dar es Salaam, ametangaza kujiondoa uanachama wa Chama cha
Mapinduzi (CCM)...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tume ya vyuo vikuu tanzania imesem-
a kuwa kuna baadhi ya wanafunzi ambao wametuma barua ya kuruhusiwa kuomba vyuo mwaka huu lakini taarifa zao zimekuwa ni za uongo hivyo basi wametakiwa kutuma upya taarifa zao ili waweze kuruhusiwa kuomba vyuo upya mwka huu wa...