Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akutana na kufanya mazungumzo na
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika
katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika
siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini hum...