INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Mwaka ujao wa masomo 2015/16 bodi ya mikopo itatoa mikopo kwa wanafunzi wa masters.Ili ufadhiliwe masomo yako ya post graduate na Bodi ya mikopo inakubidi uwe na sifa zifuatazo;
Mwaka ujao wa masomo 2015/16 bodi ya mikopo itatoa mikopo kwa wanafunzi wa masters. Ili ufadhiliwe masomo yako ya post graduate na Bodi ya mikopo inakubidi uwe na sifa zifuatazo;
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY BODI YA MIKOPO:"HIVI HAPA VIGEZO VITAKAVYOKUFANYA UPATE MKOPO KUTOKA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU MWAKA WA MASOMO 2015/2016"-PIA ANGALIA KOZI ZA KIPAUMBELE HAPA
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeanza rasmi kupokea maombi
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa,
Mei 1, 2015) imetoa mwongozo kwa wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba
mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2015/2016 unaotarajiwa
kuanza miezi michache ijayo.