INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Dodoma.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema madai kwamba yeye ni
tajiri hayana ukweli wowote. Amesema yeye ni mfugaji na anamiliki
ng'ombe zaidi ya 800 katika Jimbo la Monduli, mkoani Arusha.
Lowassa alisema hayo katika mahojiano maalumu yaliyofanyika ofisini kwake wiki iliyopita mjini Dodoma.




