Sunday, 11 May 2014

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI

Share:

Saturday, 10 May 2014

BARAZA KIVULI LA MAWAZIRI (UKAWA)





Share:

UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA 6 MEI 2014

UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA 6 MEI 2014. AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI. AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI. KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI). VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE). INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT.   IMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA

  • AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI.
  • AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI.
  • KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI).
  • VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE).
  • INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT.

IMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA
Share:

MADUKA DDC KARIAKOO YAWAKA MOTO

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba baadhi ya maduka yaliyopo eneo la DDC Kariakoo, Dar yanawaka moto!
Share:

KUWA WAKWANZA KUCHECK NA KUDOWNLOAD OFFICIAL VIDEO: P SQUARE - TASTE THE MONEY (TESTIMONY)

PLAY HAPA CHINI
Share:

SKENDO YA USAGAJI: BINTI WA 1992 AKILI KUA NA MAHUSIANO NA MASTAA 2 TOFAUTI

 


“Siwezi kumwacha, nikimwacha ntakufa” ni maneno makali kutoka kwa binti mdogo wa 1992 ambae amekiri kua yuko kwenye mahusiano sasa na binti mwenzake.

Chanzo cha habari kutoka ndani ya familia ya binti huyu (ambae jina tunalo) mkazi wa Arusha kinasema kua amekua akiaga nyumbani anakuja Dar Es Salaam kwa dada yake na kumbe anaishia kuwekwa kinyumba na msanii maarufu wa bongo movie ambae ameshutumiwa mara kadhaa na vyombo vya habari kua ni msagaji lakini hupinga swala hilo kwa macho makavu yasiyo na aibu.




BONYEZA PICHA ZA UCHI HAPO CHINI

BONYEZA HAPA
Share:

NI ZAIDI YA LAANA, MFANYA BIASHARA MAARUFU AFUMANIWA AKIMRA URODA (KUMLAWITI) SHOGA

OFM walivyomnasa mfanyabiashara wa magari (kushoto) chumbani akitaka kumlawiti modo maarufu.
EEH Mungu! Unaweza kukataa lakini ni ukweli kwamba dunia imekwisha! Mambo yanayotendeka kila kukicha juu ya ardhi yanathibitisha hilo.
Mfanyabiashara maarufu wa magari jijini Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina la Juvenali amekumbwa na aibu ya mwaka baada ya kunaswa mtupu chumbani na mmoja wa wabunifu wa mavazi ‘modo’ maarufu Bongo (jina tunalihifadhi kwa sasa kwa sababu za kimaadili).
...amefungwa pingu.
Tukio hilo la aibu lilimkuta mfanyabiashara huyo nyumbani kwake, Mbezi ya Tangi-Bovu jijini Dar es Salaam hivi karibuni ambapo wawili hao walinaswa chumbani wakiwa watupu katika mtego maalum.

KISA KILIPOANZIA
Chanzo cha kufichuka kwa taarifa hizo ni modo huyo kumwonesha kaka yake (naye jina tunalo) meseji ‘tamutamu’ kutoka kwa mfanyabiashara huyo kwenda kwake akimshawishi kumlawiti.

KAKA MTU ACHARUKA
Ilidaiwa kuwa kaka mtu alikasirika, aliamini kitendo cha mfanyabiashara huyo kutaka kumlawiti mdogo wake ni kuidhalilisha familia.
“Kaka akamwambia mdogo wake kwamba ni lazima wamtege jamaa huyo ili kumshikisha adabu na ache tabia hiyo,” kilisema chanzo.
                               ...Akitatiwa na Polisi.
KAKA ACHUKUA GAZETI, APIGA SIMU OFM
Baada ya kukubaliana na mdogo wake, kaka huyo alitafuta Gazeti la Amani na kukutana na namba za Kamanda wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ na kuzipiga.
Kaka: Jamani poleni na kazi, hapo ni OFM?
OFM: Tumepoa ndugu, ndiyo sisi, tena unaongea na mimi kamanda mwenyewe. Niambie ndugu yangu, bila shaka unataka kutupatia kazi, tupo tayari.
Kaka: Ni kweli, kuna jamaa mmoja ni mfanyabiashara wa magari, anamtumia meseji mdogo wangu akimshawishi amlawiti. Tukio hili limenikera sana. Naomba tukutane ili tupange jinsi ya kumnasa ili kukomesha tabia hii.
Nimeshazungumza na mdogo wangu na yupo tayari kwa jambo hilo ili tumtege, tukamilishe hiyo kazi kukomesha huu upuuzi.
OFM: Sawa kabisa, inawezekana.
Kilichoendelea hapo ilikuwa ni OFM kumpa baadhi ya maelekezo kaka mtu, wakakubaliana kila kitu namna mchezo ambavyo ungekamilika kwa mbinu za kitaalam za makachero wa OFM.
        ...Mfanyabiashara  huyo akichukuliwa na polisi.
OFM YAPOKEA KAZI, YARIPOTI POLISI
Baada ya kukutana na kaka wa modo huyo na kupanga kila kitu, OFM iliwasiliana na Jeshi la Polisi Kituo cha Mbezi - Makonde, Dar ambapo taarifa za uovu huo zilikuwa na dalili ya kufanyika karibu na maeneo hayo.
Mkuu wa kituo hicho alitoa ‘vijana’ wake wawili, shupavu waliojitambulisha kwa majina ya Afande Nassoro na Afande Sele. Wakakamavu kabisa.
    
    ...Safari ya kuelekea kituo cha polisi cha Kawe.
KATIKA ENEO LA TUKIO
Fasta, OFM na askari hao walielekea Mbezi Tangi - Bovu, kituo cha daladala eneo la mtego ambapo mfanyabiashara huyo alimuahidi kijana huyo akamchukulie hapo kwenda naye kwenye nyumba ya kumfanyia usodoma.

MFANYABIASHARA AFIKA NA GARI
Wakiwa mita kadhaa, OFM na polisi, walimuona mfanyabiashara huyo akiwasili na gari aina ya GX 100 (namba za usajili tunazo). Alifunga breki miguuni kwa kijana huyo, akamfungulia mlango, naye akazama ndani.
Safari ilianza kuelekea upande wa Bagamoyo lakini mita chache gari hilo lilikata kulia. OFM na maafande walikuwa wakifuatilia kwa nyuma bila kujulikana.
                        ...Akiwa kituo cha polisi.
GARI LAFIKA NYUMBA YA TUKIO
Baada ya mwendo wa kama kilometa mbili, gari hilo lilifika kwenye nyumba  moja na kupiga honi kisha geti  likafunguliwa, gari likaingia na geti likafungwa.

MODO NDANI YA CHUMBA CHA TUKIO
OFM, maafande wakiwa nje, wawili hao tayari walikuwa chumbani ambapo dogo huyo aliwasiliana na ‘makachero’ wa nje na kuwaambia kwamba mfanyabiashara huyo alishasaula nguo na yupo kama alivyozaliwa, alikuwa katika hatua za awali za kutaka kukamilisha ufirauni wake. Hapo sasa OFM na polisi wakajipanga kuchoma ndani kuzuia unyambisi huo.

KIZINGITI
Hata hivyo, OFM na askari hao walishindwa kuingia baada ya geti kufungwa kwa ndani na aliyefunga kutoka nje kwa kutumia mlango mwingine.
Hata hivyo, askari walitumika ukomandoo, ‘timu’ ikafanikiwa kuzama ndani moja kwa moja na kwenda kugonga katika chumba husika (wale askari hatari sana aiseee!).

AFUNGUA MLANGO BILA WASIWASI
Bila kujua kuwa OFM na polisi ndiyo waliogonga mlango,  jamaa huyo alifungua mlango na kukutwa akiwa mtupu sanjari na modo huyo.

SHETANI ATUPIWA ZIGO
Maafande walimuuliza ‘biznesmani’ huyo ni kwa nini wamekutwa uchi tena wanaume watupu chumbani, alijibu kuwa walikuwa wanahisi joto ndiyo maana waliamua kuvua nguo zote.

Lakini akaongeza: “Jamani niacheni. Hii ni aibu, nitawapeni chochote kile mnachotaka, shetani ndiye alinipitia jamani.”

SAFARI KUELEKEA LUPANGO
Mfanyabiashara huyo alichukuliwa na askari hao hadi polisi lakini baadaye akahamishiwa Kituo cha Kawe ambako shauri hilo liliandikishwa na kupewa jalada la kesi namba KW/RB/1747/2014.
Baada ya kuchukuliwa maelezo, mfanyabiashara huyo aliswekwa lupango akisubiri sheria kuchukua mkondo wake.

OFM
OFM kama ilivyotambulishwa awali, ipo kwa ajili yako wewe Mtanzania unayeona uovu katika jamii na vyombo husika vikashindwa kuchukua hatua, kwa OFM kila kitu kinawezekana! Wanaweza kuingia popote na kuchunguza uovu wowote kwa mafanikio makubwa – tuletee kazi tutaifanya.
Share:

KUWA WAKWANZA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD OFFICIAL AUDIO: DIAMOND PLATNUMZ - KITORONDO

http://bongosound.com/admin/audio_images/kitorondo.jpgSIKILIZA HAPO CHINI
CHANZO: www.bongosound.com


 PIA WAWEZA KU PLAY HAPA BOFYA HAPA
Share:

MWANAFUNZI WA MIAKA 11 AFARIKI PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI MKOANI MBEYA.

Mwanafunzi wa shule ya msingi Jangurutu darasa la tano aliyetambulika kwa jina la Habibu Dismass (11) amefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na gari lenye namba za usajili T.120 AMV aina ya Camry lililokuwa likiendeshwa na derava Otino Mwampamba (48) mwalimu shule ya sekondari, Mbarali. 


Tukio hilo limetokea jana majira ya saa 10:15 jioni huko katika kijiji cha Mabanda, kata na tarafa ya Rujewa wilaya ya Mbarali mkoa wa Mbeya. Chanzo cha ajali ni mwendo kasi. Dereva amekamatwa na gari lipo polisi-Rujewa. 
Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi Ahmed Msangi anatoa wito kwa madereva kuwa makini wanapotumia vyombo vya moto hasa kwa kuzingatia sheria na alama za usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kuepukika. 
Aidha anatoa wito kwa watembea kwa miguu kutembea pembeni mwa barabara na kuvuka sehemu zenye vivuko ili kuepuka ajali.
Share:

Friday, 9 May 2014

MAJINA YA VIJANA MUJIBU WA SHERIA-WALIOCHAGULIWA KWENDA BULOMBORA 2014

Image by FlamingText.com
  MAJINA YA VIJANA MUJIBU WA SHERIA-WALIOCHAGULIWA ...:
  S0302 ARUSHA SEC. SCHOOL F HAWA MAGONGO
ARUSHA S0302 ARUSHA SEC. SCHOOL F ESTER S NZOA
ARUSHA S0302 ARUSHA SEC. SCHOOL F ESTHER S RAPEMO
ARUSHA S0632 BONDENI SEC. SCHOOL F HAWA A TASSAMA
ARUSHA S3646 DULUTI SEC. SCHOOL F HAPPY E MAWERE
ARUSHA S3646 DULUTI SEC. SCHOOL F JOSEPHINE I NGONYANI
ARUSHA S0629 EDMUND-RICE-SINON SEC. SCHOOL F BERTHA ALBOGAST MARCO
ARUSHA S0629 EDMUND-RICE-SINON SEC. SCHOOL F HAPPY C KIRIA
ARUSHA S0629 EDMUND-RICE-SINON SEC. SCHOOL F HAPPY M MAPANDE
ARUSHA S0629 EDMUND-RICE-SINON SEC. SCHOOL F HELENA MWAKASAKA
ARUSHA S0629 EDMUND-RICE-SINON SEC. SCHOOL F HELLEN MUSHI
ARUSHA S0629 EDMUND-RICE-SINON SEC. SCHOOL F EVALINE JOSEPH KILLEO
ARUSHA S1549 ENGUTOTO SEC. SCHOOL F HAPPYNESS J KONINA
ARUSHA S1549 ENGUTOTO SEC. SCHOOL F JOSEPHINE E MLAY
ARUSHA S1285 FLORIAN SEC. SCHOOL F ESTA AMI SLAA
ARUSHA S1268 KISIMIRI SEC. SCHOOL F HELENA T NYATO
ARUSHA S1268 KISIMIRI SEC. SCHOOL F ESHE ALOYCE SEMLAMBO
ARUSHA S0857 LONGIDO SEC. SCHOOL F HEAVENLIGHT PAUL MOLLEL
ARUSHA S0246 MAASAE GIRLS LUTHERAN SEC. SCH F HAPPYNESS JOHNSON
ARUSHA S0246 MAASAE GIRLS LUTHERAN SEC. SCH F EVALINE SAITOTI
ARUSHA S0329 MAKUMIRA SEC. SCHOOL F EVELYNE MATHEW MGOMA
ARUSHA S0526 MRINGA SEC. SCHOOL F HAPPYNESS D KAWICHE
ARUSHA S4039 ST. THERESA OF THE CHILD JESUS F BETTY L WAINAGE
ARUSHA S4039 ST. THERESA OF THE CHILD JESUS F HAPPINESS ELIKANA LEKEI
ARUSHA S4039 ST. THERESA OF THE CHILD JESUS F HAPPINESS SHIMIGWA SILAS
ARUSHA S4039 ST. THERESA OF THE CHILD JESUS F HELLEN CYPRIAN MBWAGI
ARUSHA S4039 ST. THERESA OF THE CHILD JESUS F ESTER ALFRED KAPINGA
ARUSHA S4039 ST. THERESA OF THE CHILD JESUS F ESTHER STEVE
ARUSHA S0454 ST.JOSEPH NGARENARO SEC. SCHOOL F EUNICE E MOSHI
ARUSHA S1198 TANZANIA ADVENTIST SEC. SCHOOL F HELEN J WANG'UBA
DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F HAPPINESS WILSON MBAHI
DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F HAPPY NELSON KISARE
DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F ESTHER ADOLPH KINYANGULI
DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F ESTHER G MAGESA
DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F ESTHER G MWIGUNE
DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F ESTHER NDEMASI MNENEY
DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F ESTHER STEPHEN SOOI
DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F EVELYN KAMALA VENANT

BONYEZA HAPA KUONA MAJINA ZAIDI 
Share:

MAJINA NA KAMBI MABALIMBALI WALIZOPANGIWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA -WALOCHAGULIWA KWENDA JKT 2014



MAELEZO MUHIMU

  1. Vijana wote wenye ulemavu unaoonekana waripoti kikosi cha RUVU-PWANI
  2. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia info@jkt.go.tz au piga 0758536534
Share:

MEZA YA MAGAZETI:SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA 09/MAY/2014

1_81498.jpg
2_26178.jpg
3_ef8c9.jpg
4_a89d6.jpg
5_16397.jpg
7_24f31.jpg
8_41148.jpg
9_dac4a.jpg
10_2995c.jpg
11_bc604.jpg
12_a211f.jpg
13_ada82.jpg
14_14681.jpg
15_ebff3.jpg
16_4149e.jpg
Share:

MAGARI ZAIDI YA MIA YAKWAMA ENEO LA MANZESE BARABARA YA DAR ES SALAAM MTWARA

 Malori na Mabasi yakiwa kwenye msururu mrefu mara baada ya kushindwa kuendelea na safari kwa takribani masaa zaidi ya nane katika eneo la Manzese lililopo Kilwa barabara ya Dar Es salaam kuelekea Mtwara hapo jana kutokana na eneo hilo kuharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha na kupelekea magari zaidi ya mia kukwama
Baadhi ya wasafiri kwenye mabasi yaendayo Dar Es Salaam kutoka Mtwara, Lindi na Kilwa na yale yatokayo Jijini Dar Es Salaam kuekelea mikoa ya Kusini wakiwa wamesimama kushuhudia juhudi zinazofanya na vijana wa eneo la Manzese na baadhi ya madereva wa malori na mabasi pamoja na abiria kuhakikisha wanasaidia magari kuvuka ili kuweza kuendelea na safari zao.
 Wasafiri na wakazi wa Eneo la Manzese wakishuhudia greda lililofika kwaajili ya kusaidia kusawazisha eneo hilo na kutoa magari yaliyonasa kutokana na eneo hilo kujaa maji na tope zito yaliyosababisha magari kukwama kwa takribani masaa zaidi ya nane hapo jana.
Mabasi yatokeayo Mikoa ya Kusini kuelekea Bara yakiwa yamekwama katika eneo la Manzese - Kilwa kutokana na barabara kuwa mbovu katika eneo hilo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kupelekea kusababisha magari zaidi ya mia kunasa na kutoendelea na safari zao kwa zaidi ya masaa nane.
Greda likiondoa tope na kusawazisha eneo hilo ambalo lilileta usumbufu mkubwa sana kwa watumiaji wa barabara ya Dar Mtwara na kupelekea magari zaidi ya mia kukwama katika eneo hilo lililoaharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha. 

--
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger