Tuesday, 6 May 2014

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO,RIDHIWANI KIKWETE NA GODFREY MGIMWA WAAPISHWA


Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza leo mei 6, 2014.
Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma leo Mei 2014.
Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akila kiapo Bungeni mjini Dodoma leo Mei 6, 2014.
Mbunge Mpya wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia kwenye Ukumbu wa Bunge Mjini Dodoma, leo Mei 6, 2014
Mbunge Mpya wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akila kiapo Bungeni Mjini Dodoma,leo Mei 6, 2014.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akimpongeza Mbunge Mpya wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete baada ya kuapishwa, Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 6, 2014.
Waziri wa Nchi,Sera na Uratibu wa Bunge,Mh. William Lukuvi akimpongeza Mbunge Mpya wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete baada ya kuapishwa, Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 6, 2014.
Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiwa Bungeni Mjini Dodoma Mei 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema nchimbi.
Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete na familia wakiwa Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma , Dr. Rehema Nchimbi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Share:

MHESHIMIWA MBUNGE MPYA WA CHALINZE MH. RIDHIWANI & WIFEY AT MJENGONI DODOMA MATAYARISHO YA KUAPISHWA



Share:

BUNGE LA BAJETI LAANZA LEO

Spika wa Bunge Anna Makinda
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo linaanza kikao chake cha Bajeti, ambapo muda wa kuchangia na kuwasilisha bajeti za wizara mbalimbali, umepunguzwa.

Katika mkutano wake na waandishi wa habari jana, Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, John Joel, alisema muda wa kuchangia Bajeti hiyo, umepunguzwa kutoka dakika 10 hadi saba na muda wa uwasilishaji wa bajeti za wizara mbalimbali, pia umepunguzwa.
Alisema kutokana na mabadiliko hayo, sasa kila wizara itapewa siku moja ya kuwasilisha bajeti yake na kujadiliwa. “Tumepima muda tukaona unatosha,“ alisema.
Share:

Liverpool's dream is almost over & it's time for Suarez to join Real Madrid

 Liverpool's dream is almost over & it's time for Suarez to join Real Madrid
Correspondent Column: The Merseysiders' star man has been in sensational form this season but he should leave Anfield if he gets the chance to the Liga giants this summer


Luis Suarez faces Crystal Palace tonight needing two more goals in Liverpool’s remaining two fixtures to break the Premier League scoring record over a 38-game season.

It would be the perfect way for the Uruguayan to finish a sensational individual campaign before moving on to bigger and better things.

Suarez has been the outstanding player in the division this season with a stunning record of 30 goals in 31 league matches, a strike rate that propelled Liverpool up the table into an unlikely title race.

The Reds can still win their first league title in 24 years if Manchester City slip up - but whatever happens, Suarez should be seriously considering a summer move to Real Madrid.

Player Ranking — English Barclays Premier League

#PlayerGPTeamGoals
1Luis SuarezLuis Suarez32Luis SuarezLiverpool31
2Daniel SturridgeDaniel Sturridge28Daniel SturridgeLiverpool21
3Yaya TouréYaya Touré33Yaya TouréManchester City19
The noises are already growing in football circles that Suarez is this year’s chosen Galactico of Real Madrid president Florentino Perez after the Spanish giants spent a world record £86 million on Gareth Bale last summer.

Bale joined Madrid as the best player in England having won the PFA and FWA player of the year awards.

SUAREZ AT THE DOUBLE
SUAREZ NAMED FWA PLAYER OF THE YEAR
Suarez will find himself in the same situation this summer.

The 27-year-old will find he has plenty of reasons to stay at Liverpool. He signed a four-and-half-year contract in December worth £200,000 a week as a reward for his outstanding form; he has improved dramatically under the guidance of Brendan Rodgers; Liverpool are one of the most famous clubs on the planet and will be back where they belong in the Champions League next season.

But they are not Real Madrid.

Suarez claims he is "very happy" and "nothing is going to happen" in the summer, but the chance to move to the Spanish capital is one that few players are able to turn down.

Cristiano Ronaldo pushed through the move in 2009, Bale did the same in 2013. It was an opportunity, they were warned, that might not come again.

One win away from that holy grail of a 10th European title, Madrid have built a team in no small part based on targeting the best Premier League talent. Ronaldo, Bale, Luka Modric and Xabi Alonso all arrived from England.

If Suarez wants to truly be considered one of the very best on the planet, perhaps even one of the greatest of all time, he must follow the same path.

He has conquered the Premier League, now it is time for a new challenge.

At Real Madrid, alongside Bale and Ronaldo, he could have a genuine chance of one day winning the Ballon d'Or.
Share:

Liverpool news and transfer rumours: Steven Caulker to swap the Championship for the Champions League?


The Reds saw their Premier League title hopes take a serious blow on Monday evening - leaving Brendan Rodgers to lament their 'Roy of the Rovers football'

Share:

Mnyika: Tutaandamana kudai maji Ikulu


Mbunge  wa Ubungo John Mnyika,  amesema endapo Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, hatachukua hatua  na kutoa majibu yanayoeleweka  katika Bunge la Bajeti juu ya tatizo la maji jijini Dar es Salaam, ataungana na wananchi kuandamana hadi Ikulu.
Mnyika alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari na kusema baada ya kuona hakuna majibu ya ufumbuzi wa tatizo hilo kutoka kwa viongozi husika aliamua kumuandikia barua Rais Jakaya Kikwete yakumtaka aitishe kikao cha kuzungumzia tatizo hilo, lakini hadi sasa hamna majibu yaliyotolewa.
Aidha, alisema atakwenda katika Bunge la Bajeti kupambana na Profesa Maghembe ampe majibu yanayoeleweka na kuhakikisha anachukua hatua bila hivyo ataungana na wananchi kwenda Ikulu kumtaka Rais Kikwete kuingilia kati tatizo hilo kwa sababu linawatesa sana wananchi.
Mnyika alisema katika ziara aliyofanya jimboni kwake tatizo la maji ni kubwa na baadhi ya kata hazijapata maji kwa kipindi cha miezi mitatu sasa pamoja na kwamba wananchi wamelalamika kwa mamlaka husika, lakini hakuna jitihada zozote zinazofanyika kutatua kero hiyo sugu.
Share:

MEZA YA MAGAZETI LEO



1506735_703147413083053_9054932768362148632_n_cc3ae.jpg
10246482_703158553081939_6099235377665356183_n_6a462.jpg
10256236_703147503083044_3015223493227094400_n_ee309.jpg
10247328_703161696414958_152988039840626609_n_0ec51.jpg
10320542_703151336415994_962908345419091122_n_a2375.jpg
1901461_703162279748233_5558975247416653902_n_7a96c.jpg
10257005_703162353081559_8865931891459161722_n_0fcf9.jpg
10247328_703161696414958_152988039840626609_n_f42b8.jpg
10273990_703161806414947_1992692135699357825_n_58e31.jpg
10341559_703148576416270_2199473650083849939_n_621ee.jpg
10295724_703161389748322_3098293238147890533_n_9416c.jpg
FFF_500a8.jpg
ED_fbfc7.jpg
Share:

AJARI MBAYA YASABABISHA KIFO CHA MTOTO MCHANGA

AJARI MBAYA YASABABISHA KIFO CHA MTOTO MCHANGA

20140504_070421_3485b.jpg
20140504_070445_3cc0b.jpg
Gari aina ya Nhoa ikiwa imegonga ukuta wa nyumba ambamo palilazwa kichanga hicho maeneo ya kaliakoo leo asubuhi
Share:

TANKI LA MAFUTA LALIPUKA NA KUSABABISHA ADHA KUBWA KWA WASAFIRI SHELUI, SINGIDA‏

5 4 3 2 111
Msururu wa magari ukiwa mkubwa katika eneo hilo baada ya kushindwa kupita kutokana na moto mkubwa uliokuwa ukiwaka.
7
Baadhi ya wananchi wakipiga picha wakati tanki la mafuta la kampuni ya B. Clarke Haulege Construction, Tanki hilo ni mali ya Bw. Bundala Kapela wa Igunga ni namba T634 BCZ lenye vyumba vinne na uwezo wa kubeba lita 40.000 za mafuta ya Petroli lililipuka majira ya Saa 11:00 katika barabara kuu ya Dodoma Mwanza eneo la Shelui mkoani Singida wakati breki za tanki hilo upande wa kushoto zilipojam na kusababisha moto, Jambo lililomfanya dereva wa roli lenye namba za usajiri T 164 CGF aina ya Scania lililokuwa likivuta tanki hilo kusimamisha na kukata haraka tanki hilo huku akiondoa haraka injini ili kuepusha madhara zaidi ambayo yangeweza kutokea, Katika tukio hilo lililosababisha usumbufu mkubwa kwa abiria na msururu wa magari kushindwa kupita katika eneo hilo kutokana na moto mkubwa uliochanganyika na moshi kutishia usalama wa watumiaji wengine, hata hivyo baada ya moto kupungua kiasi askari wa usalama barabarani waliamuru magari yaanze kupitia pembeni mwa barabara hiyo ili kuendelea na safari hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa katika tukio hilo. 
 10
Wananchi na wasafiri mbalimbali wakitoka kuangalia tukio hilo.
 8
Askari wa usalama barabarani akihakikisha mambo yanakwenda sawana usalama unaimarishwa katika eneo hilo.
Share:

FID Q SINA BIFU LOLOTE NA WEUSI


Screen Shot 2014-05-05 at 4.04.45 PMHii inahusisha show iliyofanyika Maisha Club Dar May 4 2014 usiku ambayo Adam Mchomvu ndio alikua mwenye show pamoja na kuzindua video yake mpya ya ‘au sio’ kisha Fid Q ndio akawa MC.
Miongoni mwa watu waliokuwa wanapanda kwenye stage kutoa burudani ni kundi la Weusi lakini ilipofika zamu yao kupanda, MC Fid Q hakuwataja kwamba ndio wanapanda kwenye stage bali walipanda kimyakimya.
Gossip cop Soudy Brown alizipata stori kwamba WEUSI walikataa kuitwa kwenye stage na Fid Q, yani hawakutaka Fid awataje kwamba ndio wanapanda.
Fid Q alipoulizwa ilikuaje akajibu ‘Zile ni style za show tu mtu anakuja anasema sisi tufanye kama suprise lakini sio kwamba walikua hawataki, mimi na WEUSI tuko poa’
Soudy Brown: Mbona watu wanasema tuzo ulizoshinda ndio zimeleta matatizo?
Fid Q: Hapana na sidhani kama zinaweza kuleta matatizo kwa sababu nina uhakika hata WEUSI wanajua tuzo niliyopewa ninastahili labda kama wao sio hiphop.. hatuna matatizo, hata jana baada ya kuchukua tuzo nilikua kwenye viwanja tofautitofauti na Joh Makini.
Screen Shot 2014-05-05 at 4.07.16 PMSoudy Brown: Eti kipindi cha nyuma kuliwahi kuwa na tatizo kati yako na WEUSI?
Fid Q: Hakujawahi kuwa na tatizo isipokua mashabiki ndio waliwahi kuhisi kuna matatizo, wakati mwingine inabidi uache fans wawe fans.
Baada ya hayo maneno ya Fid Q Soudy Brown alimpata msemaji wa WEUSI ambae ni rapper Nikki wa II aliesema ‘hakuna ukweli kwamba tumekataa kutambulishwa na Fid Q, kama umefatilia show zetu nyingi huwa hatuna utaratibu wa kutambulishwa kwa sababu huwa imezoeleka kila mtu akiingia anatambulishwa, ni kitu ambacho kimezoeleka sana, hata Fiesta yenyewe huwa tunatokea tu bila kutambulishwa’
Kwa kumalizia Nikki wa II amesema labda tofauti iliyopo kati yake na Fid Q ni rasta au majina ila wako sawa na mtu yeyote.
Soudy Brown: Mlipatana lini?
Nikki wa II: ‘Kwani tuliwahi kugombana?’
Share:

MASWAYETU: MENINAH-MWANAMKE MREMBO KATIKA TASNIA YA BONGO FLA...

MENINAH-MWANAMKE MREMBO KATIKA TASNIA YA BONGO FLA...: Hakika ni Mrembo wa Haja Anayewakilisha Vyema Wanawake katika Tasnia ya Music wa Bongo Flava....Nani mwingine anakutia uzuri wake kati...........
Share:

BILIONEA HOME SHOPPING CENTRE AHAMA NCHI,NI YULE A...

TUANGAZE BONGO: BILIONEA HOME SHOPPING CENTRE AHAMA NCHI,NI YULE A...: KUNA  madai mazito kwamba, yule bilionea  kijana anayemiliki kampuni ya uuzaji na usambazaji wa vifaa vya nyumbani ya Home Shopping Centre ...
Share:

MGANGA WA DIAMOND AIBUKA NA MAPYA BAADA YA TUZO SABA


Yule mganga maarufu wa mastaa nchini ambae
aliwahi kutangaza kuwa amekuwa na ukaribu na
mwanamuziki Diamond ameibuka na kusema
kuwa tuzo hizo saba alizozipata zinamaana
kubwa sana kwenye kazi zake anazozifanya.

alisema" Niliongea na Diamond wiki moja kabla
ya shoo nikamueleza kuwa atapokea tuzo nyingi
sana mwaka huu na hizo tuzo ni ishara tosha ya
kudumu kwenye game kwa miaka kama hiyo ya
tuzo zake kwa maana ya miaka saba mbele yote
nyota yake itaendelea kung'ara" Alisema Dokta
Kamdege
Aidha Mganga huyo aliendelea kusema" Unajuwa
haya mambo ya maagano yapo muziki na miti
shamba zinaendana kwani kwenye dunia hii ya
leo maadui ni wengi kuliko marafiki kwani wapo
watakaokuchukia bila sababu za msingi hivyo ni
vyema ukalijua mapema hilo na kujikinga kama
ilivyo kwa Diamond" Alisema mganga huyo
mwenyeji wHa Mkoa wa Tabora
Hata hivyo mganga huyo aliendelea kuto uwito
kwa watanzania popote walipo duniani
waendelee kupata huduma zake kwani hii ni
kama baraka kwa taifa la Tanzania.
Dokta Kamdege amekuwa akitumiwa sana na
vigogo wa Serikali, wasanii na watu mbalimbali
duniani kufanikisha mambo yao kwa kuwapatia
baraka kupitia miti shamba.
Share:

BAADA YA MPOKI KUWANANGA NA KUWAPA MANENO YA KEJELI WASANII SIKU YA TUZO..HII NDIYO KAULI YA MWANAMITINDO HUYU




Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger