April 15, 2014, Muungano bado kashesheKikao cha Bunge maalum la katiba kinaendelea leo hii, kinachojadiliwa hasa ni sura ya kwanza na sita ya Rasimu ya Katiba.
Kama ilivyo kawaida, wajumbe wanaendelea kulumbana, Chama Cha
Mapinduzi wakikazania Muundo wa serikali...
Lori la mchanga likiwa limeangukia gari dogo eneo la Lugalo, Makongo jijini Dar mapema leo.
Dereva wa gari dogo aina ya Toyota Cresta 'GX 100' akiwa amenasa katika gari lake baada ya kuangukiwa na lori.
AJALI hii imetokea leo asubuhi baada ya magari kusimamishwa ghafla
eneo la Lugalo, Makongo ili...
Wawakilishi
wa Global Publishers, Sifael Paul (anayeandika kwenye daftari) na Elvan
Stambuli mwenye kizibao, wakiandika mchango wa Kampuni ambao ni
shilingi 500,000 kabla ya kuwakabidhi ndugu wa marehemu Muhidini Gurumo
leo jioni nyumbani kwa marehemu Makubuli, Dar, leo. Atazikwa kesho
Masaki,...