Monday 8 September 2014

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWA KA WA MASOMO 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                          
                                                 
WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO 
YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWA
KA WA MASOMO 2014/2015
MAELEKEZO:
Waombaji waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka 
wa masomo 2014/2015 wanatakiwa kuripoti katika Vyuo waliv
yopangiwa tarehe 06/10/2014. Fomu za maelekezo (Joining 
Instructions) zitatolewa na chuo husika na zitatumwa kwa walio
chaguliwa tu. Waliochaguliwa wanatakiwa kufika vyuoni wakiwa
 na mahitaji yaliyoainishwa kwenye fomu ya kujiunga na Chuo. 
Aidha, fomu hizi zinapatikana pia kwenye Tovuti ya Wizara:
www.moe.go.tz; NACTE:www.nacte.go.tz; na 
TAMISEMI: www.pmoralg.go.tz
Muhimu:

1. Waombaji waliochaguliwa ni wale wenye ufaulu wa Daraja
 la I hadi III
Share:

Thursday 4 September 2014

BREAKING NEEEEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WALIMU NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA TAKRIBANI 12000 WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                             

 Habarri yenu tena wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG LEO TENA TUMEWALETEA majina ya wanafunzi waliochaguliwa vyuo  vya ualimu mwaka wa masomo 2014/2015 .
Kama ilivyo kawaida yetu tutatoa huduma ya kuangalizia majina kwa wale wote mtakao hitaji huduma yetu,ili kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo:

1.Tuma jina lako na shule uliyomalizia.
2.Tuma tsh.800 kwa mpesa kama huna mpesa tuma kwa salio kwenda namba 0768260834.(pesa ya huduma)

3.Hatutajibu mtu ambaye hatatuma pesa.
4.Kama unatumia tigo,airtel au zantel tafadhali tafuta mtu mwenye voda utume pesa hiyo hatupokei vocha number.
5.Utajibiwa mda mfupi mara tu utakapotuma pesa yako.
6.endapo utamtumia namba hii mwenzako mwambie atume pesa ndo atajibiwa.

USIPIGE SIMU TAFADHALI HATUTAPOKEA SIMU YA MTU YOYOTE

Kuangalia majina hayo bonyeza hapo chini
Share:

Monday 1 September 2014

KAMBI YA MAKUTUPORA JKT NA MGAMBO JKT YAPUNGUZA MAJINA TOKA HERUFI Z HADI E - YA WALIMU DIPLOMA YALIYOKUWAPO AWALI ,TAFADHALI MPE TAARIFA MWENZAKO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

HABARI YENU WADAU WA BLOG HII PENDWA YA MASWAYETU BLOG KATIKA KUFUATILIA MAJINA YA WALIMU WANAOTAKIWA KWENDA JESI SEPTEMBER TUMEGUNDUA KUWA MAJINA YAAMEPUNGUZWA NA MENGINE YAMEBADILISHWA.
                                                    

YAFUATAYO CHINI NDIO MAJINA YA WALIMU WATAKAORIPOTI SEPTEMBER 13 2014,KAMA JINA LAKO HALIPO INA MAANA UTAKWENDA JANUARY 2015.

BLOG YA MASWAYETU INAPENDA KUTOA HUDUMA WA KUANGALIZIA MAJINA KWA WALE WATAKAOHITAJI KUJUA NA KUHAKIKISHA KUWA  WANAENDA KAMBI GANI.

ILI KUPATA HUDUMA HII UNATAKIWA KUTUMA SMS YENYE JINA LAKO NA NAMBA YAKO YA MTIHANI. KWENDA NAMBA 0768260834,HUDUMA HII UTATOZWA TSHS.500 AMBAYO UNATAKIWA KUITUMA KWA MPESA.(tafdhali usipige simu-HUTAJIBIWA KABLA YA KUTUMA PESA HIYO).
MPE TAARIFA NA MWENZAKO.
 KUANGALIA MAJINA HAYO BONYEZA HAPO CHINI;
Share:

Sunday 31 August 2014

BREAKING NEEEWZ:MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI(SECOND SELECTION) TAKRIBANI 8101 KIDATO CHA TANO 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                            

Habari yenu wadau wa blog hii pendwa wa MASWAYETU LEO TUNAWELETEA MAJINA YA WANAFUNZI TAKRIBANI 8101 YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2014/2015.
Kama ilivyo utaratibu wetu kuangalizia majina ya wale wote mtakaohitaji,tutaoa huduma hiyo.
Ili uwezue kuambiwa umechaguliwa shule gani tafadhali fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO NA NAMBA YAKO YA SHULE ULIYOMALIZIA KWA SMS KWENDA NAMBA 0768260834.
2.HUDUMA HII ITAKUGHARIMU KIASI CHA TSHS.500
   AMBAYO UTAITUMA KWA MPESA,KAMA UNATUMIA AIRTEL,TIGO AU ZANTEL TAFADHALI TUMA VOCHA YA JERO.

3.UTAJIBIWA NDANI YA DAKIKA MOJA.
NB:USIPIGE SIMU,TUMA KWANZA PESA NDO UJIBIWE,PESA YA HUDUMA ITUMWE KWENDA NAMBA 0768260834.
SOMA TAARIFA HIYO YA UCHAGUZI HAPO CHINI. 
Share:

Friday 29 August 2014

BREAKING NEWZ:ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WAPYA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA AFYA/UUGUZI 2014-2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Habari zenu wadau wapendwa wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT Leo tunawaletea majina mapya ya wanafunzi  waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya milembe na maramba tanga kwa mwaka wa masomo 2014/2015;hii inwahusu wale wote mlioomba vyuo vya afya 2014/15.
Kama ilivyo utaratibu wetu tunaenedelea kutoa huduma ya kuangalizia majina endapo utataka kuangaliziwa jina lako,unachotakiwa kufanya ni ;
Tuma jina lako kamili katika form ifuatayo Mfano. JOHN PAUL(AFYA).
Tafadhali huduma hii itakukugharimu tshs.400 ambayo itakubidi uitume kwa MPESA kwenda namba 0768260834.
NOTE:TUTAJIBU SMS YAKO MARA BAADA YA KUKOCONFIRM JINA LAKO LIPO AU HALIPO MDA MFUPI BAADA YA KUTUMA SMS YAKO.
-SMS ZOTE LAZIMA ZIJIBIWE.
-kwa watumiaji wa airtel,tigo,smart,ttcl na zantel itakubidi utume namba za vocha ya 500..kama huna MPESA.
-HATUTAJIBU SMS YA MTU YOYOTE KAMA HUTATUMA PESA YA HUDUMA THANKS.

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VYA AFYA/UUGUZI 2014/2015
MPE TAARIFA NA MWENZAKO.
Share:

Thursday 28 August 2014

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA KAZI SERIKALINI KWA WALIOSOMA NJE YA NCHI, WALIOPOTEZA VYETI NA WENYE MAJINA TOFAUTI NA VYETI VYAO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tanzania

Sekretarieti ya ajira katika kutekeleza majukumu yake ya uendeshaji wa mchakato wa ajira Serikalini imekuwa ikikabiliana na changamoto mbalimbali ikiwemo tatizo la baadhi ya waombaji kazi kupoteza, kuibiwa, kuharibikiwa au kuunguliwa vyeti vya kitaaluma pamoja na vitambulisho vinginevyo. Kutokana na baadhi ya waombaji kazi kutokufahamu taratibu za kufuata pindi wanapopoteza vyeti vyao au wanapobadilisha majina huamua kuwasilisha nyaraka pungufu Sekretarieti ya Ajira jambo ambalo husababisha kukosa nafasi ya kuchaguliwa au kukosa fursa ya kufanya usaili kwa kutokuwa na nyaraka zinazohitajika.
Share:

Sunday 24 August 2014

MABADILIKO YA TAREHE YA KURIPOTI KAMBI ZA JKT KWA WALIMU(DIPOLOMA&CHETI) NA KIDATO CHA SITA SEPTEMBER 13

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

TANGAZO

JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAWATANGAZIA VIJANA WOTE WANAOTAKIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWEZI SEPTEMBA KUWA WANATAKIWA KURIPOTI VIKOSINI TAREHE 13 SEPTEMBA 2014 BADALA YA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014.

VIJANA WANAOTAKIWA KURIPOTI  NI KAMA IFUATAVYO:-
1. WALIMU WOTE NGAZI YA CHETI (GATCE)2014. (WALIOMALIZA 2014).
2. WALIMU ELFU TATU NGAZI YA DIPLOMA (DSEE) (WALIOMALIZA 2014).
Share:

Friday 22 August 2014

BREAKING NEWS:ORODHA YA MAJINA KUTOKA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU WALIOKOSEA APPLICATIONS,MFANO KUKOSEKANA KWA PICHA,SAHIHI,VYETI 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                              
Hatimae bodi ya mikopo yatoa majina ya wanafunzi ambao wamekosea kutuma maombi ya mikopo kwa ajili ya kujiunga na chuo kikuu mwaka 2014/2015.
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG hatupo mbali katika kukuletea kitu ambacho kinagusa maisha yako kwa ujumla.
Pia huduma yetu ya kuangalia jina lako kama lipo kwenye list inaendelea ,tutaangalia majina ya wale wote mtakaopenda kungaliziwa majina yenu.
Unachotakiwa kufanya ni kutuma jina lako kwenda namba 0768260834,mfano: tuma jina katiaka form ya  JOHN PAUL(heslb) ,Gharama ya huduma tshs.1000 ambapo utatuma kwa MPESA,Kama una AIRTEL AU TIGO tuma vocha ya 500 kuepusha usumbufu.
Hatuta jibu sms ya mtu ambaye hatatuma pesa ya ghrama kwa ajili ya sms.

VISION:MASWAYETU TUPO KAMILI,MAKINI NI WACHAPA KAZI WAZURI,HIVYO TUTAANGALIA JINA LAKO KWA UMAKINI WA HALI YA JUU. thanks.


CALL FOR LOANS APPLICANTS TO CORRECT THEIR LOAN APPLICATIONS

During the verification exercise of the 2014/2015 loan application forms, the Board has come across loan applications which are incomplete or are missing some vital information for further loans processing. For that reason, the Board would like to inform concerned Loan applicants that such incomplete applications will not be processed until the missing information is provided.  
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger