Sunday, 5 December 2021

MBUNGE WA DARASA LA SABA APATA PhD...SASA NI Dr. MSUKUMA

...

Mbunge wa Geita mjini, Joseph Kasheku maarufu kama "Msukuma" leo ametunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi (Honorus Causa in Politics and Leadership) na Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani, kama sehemu ya kutambua mchango wake kwenye siasa na uongozi nchini. 

Sherehe za kutunukiwa udaktari huo wa heshima zimefanyika Jijini Dodoma.

Dkt. Joseph Msukuma amesema pamoja na kupata elimu hii kubwa ya Udaktari,bado ataendelea kuwasemea wananchi kama alivyokuwa akifanya kipindi akiwa na elimu ya darasa la saba



 
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger