Wednesday, 22 September 2021

Viwanja Vinauzwa Bunju Mwisho Kwa Bei Nzuri Kabisa

...

 Viwanja: Bunju Mwisho

Nauza viwanja Bei nafuu sana, sh 13,000 tu kwa sqm moja, hapa vipo viwanja kuanzia million 4. Mil 6, mil 8, mil 10, mil 12 na mil 16.
Viwanja vipo mpakani mwa Mapinga Bunju, mtaa wa Kimele, km 3 tu kutoka Bunju B na km 2 tu kutoka main road (Bagamoyo Road).

Viwanja vimepimwa, ni vizuri sana na viko juu (sio bondeni).
Huduma za maji na umeme zipo. Wahi uvione na ufanye malipo bank.

Hakuna dalali/udalali.
Nipgie, Mhusika: 0758603077 au whatsap:0757100236


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger