Tuesday, 15 June 2021

Aweso Atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sengerema

...


Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtengua Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sengerema, Mhandisi Robert Lupoja na kumteua Mhandisi Sadala Hamis katika nafasi hiyo.

Kabla ya uteuzi huo Mhandisi Sadala alikuwa mtumishi katika Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) DDCA.

Katika hatua nyingine Waziri Aweso, ameivunja bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sengerema.


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger