Zoezi la kuhesabu kura za maoni jimbo la Kishapu limekamilika, ambapo Suleiman Nchambi amepata kura 544, akifuatiwa na Kishiwa Francis Kapale kura 54 na Boniphace Butondo kura 40.
Jumla ya Wajumbe waliopiga kura ni 882 na kura zilizoharibika 2
Jumla ya Wajumbe waliopiga kura ni 882 na kura zilizoharibika 2
0 comments:
Post a Comment