Friday, 10 July 2020

Mwanasheria Akaro-Simba Richmond Achukua Fomu Ya Kugombea Urais Kupitia CHADEMA

...
Mwanasheria Akaro-Simba Richmond  amechukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania, kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
 

Simba amekabidhiwa fomu hiyo leo Ijumaa tarehe 10 Julai 2020 katika Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni jijini Dar es Salaam na  Mkurugenzi wa Uchaguzi Chadema  Reginald Munisi
 
Mtia nia huyo anakuwa wa saba ndani ya Chadema kugombea Urais wa Tanzania, tangu zoezi hilo lianze tarehe 4 Julai 2020. Zoezi hilo litafungwa tarehe 19 Julai mwaka huu.


Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger