Tuesday, 21 July 2020

MRISHO GAMBO ANG'AA UCHAGUZI KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA ARUSHA MJINI

...

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameibuka mshindi wa kura za maoni za jimbo la Arusha Mjini kwa kupata kura 333 akifuatiwa na Philemon Mollel kura 68 na wakili Albert Msando akipata kura 19.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger