Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Geita Iddi Kassim Iddi leo Julai 16, 2020 amechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Msalala kupitia CCM. Kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Kahama Emanuel Lameck Mbamange akimkabidhi fomu Iddi Kassim Idd.
0 comments:
Post a Comment