Zikiwa zimesalia siku chache tu Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu ‘SHY PARK HOTEL’ ifunguliwe Rasmi mwezi Agosti 2020; Mkurugenzi wa SHY PARK HOTEL anawatangazia nafasi za kazi wale wote waliosomea na wenye uzoefu wa Masuala ya Usimamizi wa Hoteli.
SHY SPARK HOTEL IKO WAPI?
SHY PARK HOTEL inapatikana Lubaga Mjini Shinyanga karibu na Ikulu pembezoni mwa Barabara ya Old Shinyanga.
HUDUMA ZINAZOPATIKANA SHY SPARK HOTEL
Shy Park Hotel inatoa huduma za malazi ‘vyumba vya kulala’ ,vyakula ikiwemo nyama choma, vinywaji, kumbi za sherehe/harusi na mikutano, Swimming pool kwa watoto na watu wazima, michezo mbalimbali ya watoto, Sauna, Massage, Gym, Car wash, Car Parking n.k
NAFASI ZA KAZI
Shy Park Hotel inakaribisha maombi ya kazi kwa waliosomea masuala ya Usimamizi wa Hoteli ‘Hotel Management na wenye uzoefu wa kutoa huduma tajwa hapo juu.
SIFA ZA WAOMBAJI WA KAZI
Sifa za muombaji awe na umri wa miaka kuanzia 20, awe na taaluma ya Usimamizi wa Hoteli ‘Hotel Management’ au mwenye uzoefu wa usimamizi wa hoteli. Watume maombi wakiambatanisha na barua ya udhamini iliyopitishwa na serikali ya mtaa.
KUTUMA MAOMBI
Barua za maombi ya kazi ziwasilishwe ofisini, Fika SHY PARK HOTEL
Au kupitia Email info@shypark.co.tz au Whatsapp namba 0759096494
Kwa Mawasiliano zaidi piga simu namba 0621288344
Mwisho wa kutuma maombi ni Julai 17,2020 saa sita mchana, usaili ‘Interview’ itafanyika Julai 18,2020
Karibu SHY PARK HOTEL

Muonekano wa vitanda
Muonekano sehemu ya Sauna
0 comments:
Post a Comment