Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameshindwa kura za maoni Jimbo la Kyela Mkoa wa Mbeya kwa kupata kura 252 dhid ya mshindi Ally Mlagila Kinanasi aliyepata kura 502.
Mshindi wa pili ni Hanta Albert Mwakifuna amepata kura 288.
Mshindi wa pili ni Hanta Albert Mwakifuna amepata kura 288.
0 comments:
Post a Comment