Zoezi la kujinadi kwa watia nia Ubunge Jimbo la Tunduma limeanza, David Silinde amepiga magoti kuwaangukia wajumbe kumpatia kura zote.
Jumla ya wagombea 33 wanajinadi kupeperusha bendera ya CCM kuutaka Ubunge.
Credit:ITV
Jumla ya wagombea 33 wanajinadi kupeperusha bendera ya CCM kuutaka Ubunge.
Credit:ITV
0 comments:
Post a Comment