Friday, 10 July 2020

Breaking News: Dkt Hussein Mwinyi Apitishwa na CCM kuwa mgombea wa Urais wa Zanzibar

...
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM  umempitisha Dkt Hussein Mwinyi kuwa mgombea wa Urais wa Zanzibar baada ya kupata kura 129 sawa na asilimia 78.65 akiwashinda Shamsi Vuai Nahodha  na Dk Khalid Salim Mohamed


Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger