Friday, 10 July 2020

BREAKING: Majina Matatu Yaliyopitishwa na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Kwa Ajili ya Kugombea Urais Zanzibar

...
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM  umepitisha majina matatu ya wagombea Urais wa Zanzibar, ambao ni ;

1.Dk Khalid Salim Mohamed,
2. Dkt Hussein Ali Mwinyi na 
3. Shamsi Vuai Nahodha.

Wagombea walikuwa 31, Lakini waliopitishwa Tano bora Urais Zanzibar  walikuwa ;

1.Prof. Makame Mbarawa
2.Dkt.Khalid Salum Mohamed
3.Shamsi Vuai Nahodha
4.Dkt.Hussein Mwinyi
5.Khamis Musa Omar

Mkutano bado unaendelea ambapo litapendekezwa jina moja kati ya hayo matatu. Endelea kuwa nasi


Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger