Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Utalii, Deogratius Mdamu na kumsimamisha kazi Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa wizara, Flora Masami kutokana na mapungufu na ubadhirifu mkubwa kwenye Mfuko wa Maendeleo ya Utalii (TDL).
0 comments:
Post a Comment