Wednesday, 20 May 2020

WHO: Kupulizia dawa ya kuua viuatilifu barabarani, sokoni (fumigation) hakuondoi Virusi Vya Corona

...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa zoezi la kupulizia dawa ya kuua viuatilifu(fumigation) barabarani au sokoni hakuondoi virusi  vya Corona na badala yake kunahatarisha afya.
 
Taarifa ya WHO imesema, kufanya hivyo hakuwezi kuwa na tija katika kukabiliana virusi vya corona



Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger